Elections 2010 JK aonekana Mchomvu..ataanguka tena kesho kama 2005/2010!!!?

Phillemon Mikael

Platinum Member
Nov 5, 2006
10,534
8,619
Maandalizi ya mkutano kabambe kesho yamekamilika ...nimepita pale jangwani usiku huu...nimekuta mkesha wa walinzi..unaendelea ..,na kuna dalili ya wenye imani mbali mbali kuwa pale kwenye vikundi vyao kuongezea ulinzi huo.....inaonekana wazi kwa namna ya mpangilio pale gharam zimetumika kubwa....

Tayari maandalizi kupitia kwa wajumbe wa ngazi mbali mbali kuhakikisha mkutano wa kesho unahudhuriwa na watu wanafikishwa yamekamilika.....

Hofu ya kikwete kuanguka tena kesho imetanda pale uwanjani...labda kutokana na hali yake kuonekana amekonda sana safari hiii na wazi kuonekana ana msongo wa mawazo ambao ni chanzo kikubwa cha watu wenye sukari kama yeye kuangaka...hii ni iwapo hayajipa muda wa kupumzika usiku wa leo na angalau apate muda wa kulala kidogo mchana kabla ya mkutano..hatutaki fedheha nyingine kesho....

kampeni zinaisha kesho ...CUF wao kama maara ya mwisho walifanya mkutano Jangwani jana ....kesho ccm watakuwa pale na CHADEMA watamalizia kwa SUGU!!!!...leo NCCR wamemaliza...

Mazingira na dalili za JK kuanguka tena kesho ni wazi.....especially kwa tabia yake ya kutumia muda mrefu kuongea porojo atakuwa anaendelea kujichosha ...wanaomtakia mema wamshauri ahutubie amekaa.....pamoja na kuwa ameaza kuwa na vigugumizi na kuruka ruka maneno kama leo kwenye mdahalo...angalau akianguka tusije tukampoteza kwa kuwa atakuwa amekaa a hatagonga kichwa chini!!
 
Anyway hapo jangwani huyu jamaa kuna kitu nini?. Mbona anaanziaga hapo na kumalizia hapo kwa tabia hizi za kuanguka anguka?. Anyway lets see.
 
Lets hope for the best! Lakini lipo tatizo kubwa ambalo tunakwepa kulitanzua. Wakati na matokeo yake ndio yatatupa majibu
 
Maandalizi ya mkutano kabambe kesho yamekamilika ...nimepita pale jangwani usiku huu...nimekuta mkesha wa walinzi..unaendelea ..,na kuna dalili ya wenye imani mbali mbali kuwa pale kwenye vikundi vyao kuongezea ulinzi huo.....inaonekana wazi kwa namna ya mpangilio pale gharam zimetumika kubwa....

Tayari maandalizi kupitia kwa wajumbe wa ngazi mbali mbali kuhakikisha mkutano wa kesho unahudhuriwa na watu wanafikishwa yamekamilika.....

Hofu ya kikwete kuanguka tena kesho imetanda pale uwanjani...labda kutokana na hali yake kuonekana amekonda sana safari hiii na wazi kuonekana ana msongo wa mawazo ambao ni chanzo kikubwa cha watu wenye sukari kama yeye kuangaka...hii ni iwapo hayajipa muda wa kupumzika usiku wa leo na angalau apate muda wa kulala kidogo mchana kabla ya mkutano..hatutaki fedheha nyingine kesho....

kampeni zinaisha kesho ...CUF wao kama maara ya mwisho walifanya mkutano Jangwani jana ....kesho ccm watakuwa pale na CHADEMA watamalizia kwa SUGU!!!!...leo NCCR wamemaliza...

Mazingira na dalili za JK kuanguka tena kesho ni wazi.....especially kwa tabia yake ya kutumia muda mrefu kuongea porojo atakuwa anaendelea kujichosha ...wanaomtakia mema wamshauri ahutubie amekaa.....pamoja na kuwa ameaza kuwa na vigugumizi na kuruka ruka maneno kama leo kwenye mdahalo...angalau akianguka tusije tukampoteza kwa kuwa atakuwa amekaa a hatagonga kichwa chini!!

wamejenga ka'dispensary ka mda nini?
 
icon1.gif
Makamba na sheikh yahya jangwani saa 7 usiku

Leo usiku baada ya hotuba ya "Sultani JK" na kundi lake, "Waandishi njaa, vilaza, Mzee wa Mipasho Yusuf Makamba alipita na Sheikh Mtabiri Yahya na kwenda kwenye Viwanja vya Jangwani kwa muda wa dakika 30, na baadae kutoka mbio kuelekea Ikulu. Vyanzo vyetu pia vimeshuudia viongozi mbali mbali wakielekea uwanjano hapo.Hadi ninaandika, kuna walinzi kibao (polisi) katika eneo hilo. Hivi waungwana, Kuna nini kati ya Jangwani na Ikulu? Makamba ni mshirikina?​

Last edited by FISADI-ORIGINAL; Today at 02:16 AM.​
 
Akianguka kesho ndo haamki tena.. mark my words!! ningekua mim nsingerudi pale, nuksiiii!!
 
Wakuu jamaa keshasema anasumbuliwa na matatizo ya shingo na anasubiria kisu cha shingo, au hamkumsikia jana kwenye mdahalo wake? Neurons zikisumbua tusishangae akikaa chini! Lakini ya Mungu mengi tumuombee uzima ili mapenzi ya Mungu yaonekane kwenye uchaguzi huu. Lazima apatikane kiongozi aliye pata kibali machoni pa Mungu kuitawala nchi hii! Walio mafisadi na vikaragosi wao, washindwe kwa jina la Yesu!!!!!
 
Kweli mkuu,jamaa anajiandalia mazingira ya kuanguka leo, hata mganga wake alisha sema kuwa kunguka kwake ndiyo ushindi wake. Masharti mengine bana, ingekuwa mi sikubali.
 
Mimi wasiwasi wangu ni kuahirishwa kwa uchaguzi tu basi.

Tupo msitari mmojaaaaaaaaaaaaaaa na wewe. Wasiwasi wangu mkubwa ndo huo tu basi. Tunamwombea asianguke tena!
Eee Baba yetu uliye mbinguni msaidie JK asianguke leo pale Jangwani. Umpe nguvu ya kuvumile hadi matokeo yatangazwe ndo aanguke millele amina
 
Back
Top Bottom