Elections 2010 JK aomba kura, AAHIDI BARABARA YA NJOMBE - MAKETE KUJENGWA KIWANGO CHA LAMI

Zile zile ahadi za mlaji alizosema Dr/ Prof (Not sure) Rwaitama. This gives me the impression that the guy JK is the mediocre, what he pledges can not defend using the manifesto of his party, Does CCM manifesto talk about 400 bajaj to be given to preginant women, does it tailk about small Dubai in Kigoma? Does it talk about meli kubwa to BK . This is not the time to be led by the mediocre, we need a superb kind of leadership.
 
View attachment 14211
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Jakaya Kikwete ,akiwa ameketi chini ardhini kwenye vumbi na nyasi ili kumsikiliza Mama Sara Mageni mkazi wa Wilaya ya Makete, wakati mgombea huyo alipowasili kuhutubia mkutano wa kampeni. Sara alikuwa akitoa shukrani zake kwa Rais
source: Mwananchi
Duh!!!! kwa staili hii kazi ipo kwelikweli!!!!!!!!!!!
 
Zile zile ahadi za mlaji alizosema Dr/ Prof (Not sure) Rwaitama. This gives me the impression that the guy JK is the mediocre, what he pledges can not defend using the manifesto of his party, Does CCM manifesto talk about 400 bajaj to be given to preginant women, does it tailk about small Dubai in Kigoma? Does it talk about meli kubwa to BK . This is not the time to be led by the mediocre, we need a superb kind of leadership.

Hivi anakumbuka ni barabara ngapi alizoahidi kuwa zitakuwa katika kiwango cha lami kwa maana alipokuwa Bumbuli aliahidi tarafa zitaunganishwa kwa barabara za lami huko mikoa ikiwa bado kwa mfano, Arusha haijaunganisha na Manyara wala Mara.
 
View attachment 14211
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Jakaya Kikwete ,akiwa ameketi chini ardhini kwenye vumbi na nyasi ili kumsikiliza Mama Sara Mageni mkazi wa Wilaya ya Makete, wakati mgombea huyo alipowasili kuhutubia mkutano wa kampeni. Sara alikuwa akitoa shukrani zake kwa Rais
source: Mwananchi
Huo mkono kwenye paja la muungwana hautasababisha mzozo wa kifamilia?
ana lengo gani huyu mama? au anadhani anazungumza na shosti wake? aaah nashindwa kufikiria namna salma na wenzake watakavyomshukia mshkaji akirejea home

au jamaa aliishiwa nguvu akaamua kuketi chini kuua soo?
 
Too late jamani, sasa tufanye kweli, kama ni kweli tunapiga kura kuonyesha slaa yuko juu hata kwa vitendo, tufanye kweli. Nashukuru sana kwa sababu ameleta ushindani mzuri ili watu wajue ufeki wa tawala.
 
mie nadhani ule mzuka wa kudondoka ulikuwa unamuingia akayeyusha kukaa chini. I can see hapo alikuwa anasema "aisee". Jk aweza fanya lolote manake usanii anaujua kisawasawa. But haipendizi, it is just too acting, ili watu waseme mtu wa watu? Lol

lol
 
safi raisi wetu kikwete,mungu akusaidie ukipata urais utimize ahadi zako watendaji wako wasikuangushe kama walivyokuangusha miaka tano unayoimaliza.

toa woote ubadilishe wengine jk lakini unaweza ninawasiwasi hapo all the best
ccm oleeee
 
zile zile ahadi za mlaji alizosema dr/ prof (not sure) rwaitama. This gives me the impression that the guy jk is the mediocre, what he pledges can not defend using the manifesto of his party, does ccm manifesto talk about 400 bajaj to be given to preginant women, does it tailk about small dubai in kigoma? Does it talk about meli kubwa to bk . This is not the time to be led by the mediocre, we need a superb kind of leadership.

tatizo ni wale tunaokwenda kuomba pesa ndo wanatudondosha lakini tukipata misaaada yoote yanawezekana. Ndo maana mheshimiwa yeye nikuzunguka tuu utalalaje wakati watoto wanakufa njaa? Atazungusha kibaba kupata chochote kwaajili ya nchi yetu.
Ccm oleeee!!!
 
View attachment 14211
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Jakaya Kikwete ,akiwa ameketi chini ardhini kwenye vumbi na nyasi ili kumsikiliza Mama Sara Mageni mkazi wa Wilaya ya Makete, wakati mgombea huyo alipowasili kuhutubia mkutano wa kampeni. Sara alikuwa akitoa shukrani zake kwa Rais
source: Mwananchi

Ameshastukia Usanii wa majini ya Shekh na Ze Comedy Haumsadii anajaribu tena huu. Kumbe Upresidaa ni mtamu, jamaa nilikuwa namuona akiwa anapanda miti anavaa grovu mikononi na kuwekewa mkeka, sasa leo inakuwaje kwenye kuomba kura anakalia nyasi. USANII MTUPU.
 
Jamani, JK alikuwa na miaka mitano tangu 2005 kusikiliza wananchi lakini hali haikuwa hivyo kwa miaka mitano, kujifanya kuwasikiliza wananchi wakati huu wa kampeni ili apigwe picha halafu ziwekwe kwenye mabango ni kuwadanganya watanzania. Tunahitaji kiongozi anayewasaidia wananchi kwa kutenda yale ambayo wananchi wanataka kwa faida na maendeleo ya taifa. Leo huko huko nyanda za juu wanalalamika mazao yao ya kilimo hayana soko na kusababisha kuishi maisha ya ufukara wa kutupa sasa ndio kuwasikiliza gani huko? Hata huyo mama anayesikilizwa hapo mbona anaonekana ni shabiki tu wa sisiemu na hata jezi kavishwa nyingi tu? hatudanganyiki mwaka huu!!!
 
jk_salimia.jpg
jk_kilema_250_170.jpg
 
Nimemkubali na mbinu zake hizi.Kumbe Ikulu anapataka kwa nguvu namna hiyo.Kwa nini mmoja mmoja,ningetegemea kuwa angekuwa anashangiliwa na watu kila atakapokwenda kwa kazi nzuri kumbe anao idadi hiyo tu.
 
Too late jamani, sasa tufanye kweli, kama ni kweli tunapiga kura kuonyesha slaa yuko juu hata kwa vitendo, tufanye kweli. Nashukuru sana kwa sababu ameleta ushindani mzuri ili watu wajue ufeki wa tawala.

Kura hazipigwi kwenye mitandao.
 
Mimi nawashanga wana JF wanaombeza Mhe DK. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kukaa ardhini kuzungumza na mpiga kura wake. Aidha alimshukuru kwa kumpa bajaji. Hii ni utekelezaji wa Ilani kwa kuwajali walemavu. ACHENI HIZO!!!

ANASTAHILI SIFA APEWE KURA NDIO MHE DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE TAREHE 31 OKTOBA 2010
 
Back
Top Bottom