JK anasa Marekani!!

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Kutokana na kuendelea kwa miripuko ya volcano huko Iceland, mashirika ya ndege
yamesitisha safari zake ambapo yamepelekea rais Kikwete kuendelea kubaki nje ya nchi
kinyume na ratiba yake ilivyokuwa...
Source: Majira

My Intake

Wadau wa JF mnatoa ushauri gani ili mpendwa rais wetu aweze kurudi nyumbani??,-
kwa sababu hii volcano inasemekana inaweza kuendelea zaidi ya miezi miwili,
A- Apande meli
B-Aombe serekali ya US imuazime AIR FORCE 1 or 2
C- Atumie ndege ya Jeshi
D-Helcopter
E-...........
 
ndege ya rais ni gulfstream 550 ina uwezo wa kwenda juu futi 51000 na endurance ya masaa 14, isitoshe sio lazima apitie njia hiyo, ukiangalia ramani hata wewe utapata altenative ya njia nyingine. Kwa mtazamo wangu sidhani kama amekwama kwa ajili hiyo
 
Mi naona azamie kimoja huko huko. Hana faida yeyote. Angekwama Obama, J. Zuma, Jonathan etc ungesikia CNN. Lakini hako kajamaa bure tupu.
 
Kutokana na kuendelea kwa miripuko ya volcano huko Iceland, mashirika ya ndege
yamesitisha safari zake ambapo yamepelekea rais Kikwete kuendelea kubaki nje ya nchi
kinyume na ratiba yake ilivyokuwa...
Source: Majira

My Intake

Wadau wa JF mnatoa ushauri gani ili mpendwa rais wetu aweze kurudi nyumbani??,-
kwa sababu hii volcano inasemekana inaweza kuendelea zaidi ya miezi miwili,
A- Apande meli
B-Aombe serekali ya US imuazime AIR FORCE 1 or 2
C- Atumie ndege ya Jeshi
D-Helcopter
E-...........

abaki HUKO HUKO NGAPULILA WETU
 
Siamini kama hiyo ndiyo sababu kwa sababu kwanza ana ndege yake na pili Ice land iko mbali sana na Marekani. Msimamo ni ule ule, labda ana deal lengine...

Huenda anataka kuenda nchi za ulaya juu kwa juu ili hali huku JAM IMEKUWA NDY ORDER OF THE DAY...
 
Mwacheni akae huko huko kwani asipokuwepo mnafikiri kitaharibika kitu?maisha yataendelea kama kawaida.Mwacheni apumzike baba yetu mpendwa.
 
Kuwepo au kutokuwepo TZ hakuna tofauti. Ukiona kuna jambo baya linalotesa watu kama foleni na umasikini, wakati yeye hajali si bora aanze kuosha vyombo huko na kutawaza vikongwe?
 
Ndo maana shekhe Yahya alisema uchaguzi utaahirishwa hahaha nadhani itakuwa more than two Month ngoja aendelee ku-enjoy life
 
Naamini Mkuu atakuwa kafurahi sana hii milipuko kutokea yeye akiwa matembezini Marekani, hii ni sababu tosha ya ku extend na kuhalalisha kuendelea kukaa US.

Kwa mtu mwingine makini au angalau mwenye wasaidizi makini , ange fly straight mpaka nyumbani, given uwezo wa ndege tuliyomnunulia kwa inflated prices mpaka tukaambiwa ikibidi tule majani hili gulfstream itue bongo.

Mwacheni jamaa aendelee kula bata marekani, wakati huku tanzania wana wa nchi tunateketea na maradhi ya kipindupindu na malaria katika karne ya 21!!

Worry not Mr. Prez, you will still be voted in!!
 
Ha ha haaaaaaaaa! NO HURRY IN AFRICA....
 
Hana lolote huyo, simple Australia - South Africa then Bongo kwa mama ntilie.
 
Kwani aliondoka na debe la unga kwamba siwezi kula, his absence does not have any signficance to my life, back to the topic mlipuko wa ile volcano hauku affect sana bara la Amerika ni Europe na Asia kidogo kwa hiyo haiwezi kuwa sababu afterall kama elienda na ndege yake ni ya masafa marefu.
 
Kuwepo au kutokuwepo TZ hakuna tofauti. Ukiona kuna jambo baya linalotesa watu kama foleni na umasikini, wakati yeye hajali si bora aanze kuosha vyombo huko na kutawaza vikongwe?

Duh!!!,
 
Hana lolote huyo, simple Australia - South Africa then Bongo kwa mama ntilie.

Haitaji kuzunguka hivyo, Delta airlines inafly New York - Joburg almost daily, it is via Dakar for 1hr refueling. Au watasema hii ni tofauti na emirates
 
Wow Bonge la Ekskyuzz, maan hapo hamuwezi mlaumu kwanini ana shinda majuu muda wote, mwache baba ya watu ajichane na mashopping ya kueleweka jamni.
Hakuna cha kunasa wala nini, kwanini asichukue rout ya south America , kupitia Brasil na kuja nayo mbaka South Africa na kuchukau nyingine mbaka Bongo?
Au mdio Sheihk Yahkhya alivyo tabiri kuna raisi ata pindulia wakiwa ndani ya ndege, tulidhani ni wa Poland kumbe labda ni JK kushindwa kusudi kazini on time
 
Du! Mngekuwa nyie ni sampuli wakilishi ya wapiga kura basi rais wenu mpendwa JK angepata sio zaidi ya 10% ya kura zote. Watu sasa mnamuona kama wakazi wa tanzale wanavyotizama mitaro ya majitaka ikipita kandokando ya nyumba zao bila wasi kabisa. Yaani imekuwa ni bora liende tu!
 
Kuwepo au kutokuwepo TZ hakuna tofauti. Ukiona kuna jambo baya linalotesa watu kama foleni na umasikini, wakati yeye hajali si bora aanze kuosha vyombo huko na kutawaza vikongwe?

Nyange una uhuru wa kutoa maoni lakini siyo uhuru wa kutukana. Kama ningekuwa Mod leo ningekupiga ban ya kama siku 14 ukatafakari jinsi ya kuandika. Ukinzingatia kuwa huyu unayemsena ni Rais wa nchi.

Tunahitajika kukosoa au tuna hiari ya kumpenda mtu ila hatuna hiari katika suala la ustaarabu. Just close you eye and think if that person was your father (acha tukuwa rais wa nch)!
 
Atumie nafasi hii kupima afya ya mwili na akili, we still need him for the next 5 years.....lol!
 
Back
Top Bottom