Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
Sasa huyu Mwakyembe atajigawaje???
It suprises me how the so called "system" works asubuhi Mh JK anamteua Mwakyembe kuwa kwenye kamati....jioni Mh Spika anamteua Mwakyembe kuwa kwenye kamayi nyingine....hakuna mawasiliano?????????????? I mean ya walioko kwenye hiyo "system"!
Mama Lao,
Hawa watu wanashangaza sana.Na yeye huyo aliyeteuliwa hawezi kusema tayari ana mzigo mwingine.Utadhani yupo peke yake mwenye uwezo.
Nashukuru tu hajamteua Mudhihiri Mudhihiri maanake siku ile Bungeni alikua anaongea kama vile ni mtu makini sana kwenye lile suala.
Usishangae kesho au leo jioni kaongeza mjumbe mwingine Adam Malima (Kidding)