Elections 2010 JK alitarajia kutesa kiulaini chaguzi hii sasa apigwa na butwaa...

Mkuu sio haraka hivyo, joto lililopo sasa bado halitoshi kuivisha chakula, utawashangaa saana wapiga kura wa Tanzania pale matokeo ya vituo yatakapoanza kutolewa.

Safari hii Mkwere hana pa kutokea, isipokuwa wizi wa kura kwa msaada wa vyombo vya dola.

Hata wana CCM wenzake (baadhi) wamem-shit.

Huko vijijini kunakoaminika hakuna fikra za mabadiliko, nako kumekucha mwaka huu. Tusubiri wiki mbili zijazo...kitaeleweka.
 
..........mshangao mwaka huu hautakuwepo kwa sababu inajulikana kuwa masanduku ya kura yatachezewa.

Hili ndio tatizo letu, pale matokeo yanapokuwa kinyume na matarajio yetu "hewa", badala ya kujifunza na kuyafanyia kazi makosa na madhaifu yetu kwa ajili ya ukamilifu wa baadae, sie tunafarijiana kwa visingizio hewa.
 
Leo hii hapa Arusha wafungwa walitokea barabara ya njiro kulekea mjini Katika Gari hilo wafungwa waliimba wimbo wao kwamba Dr Slaa achaguliwe na Lazima awe raisi na walikuwa wanaimba kwa nguvu zao wzote wameecha gumzo kubwa kwenye maeneo gari liliko pita
Kila mtu kachoka yuko taabani na huu utawala
 
Leo hii hapa Arusha wafungwa walitokea barabara ya njiro kulekea mjini Katika Gari hilo wafungwa waliimba wimbo wao kwamba Dr Slaa achaguliwe na Lazima awe raisi na walikuwa wanaimba kwa nguvu zao wzote wameecha gumzo kubwa kwenye maeneo gari liliko pita
Kila mtu kachoka yuko taabani na huu utawala

Safi sana hata wafungwa wameichoka ccm. Dah! Kazi ipo.
 
''Human nature can be changed,that is the root of the answer. National economies can be changed, that is the fruit of the answer.World history can be changed, that is the destiny of our age''. Frank Bunchman.

''After you've done a thing the same way for two years, look it over carefully. After five years look at it with suspicion. And after ten years throw it away and start all over". Alfred Edward Perlman.

Things do not change we change them.
 
Mimi nasubiri nione Kigoma itakavyokuwa kama Dubai na Mwanza kama Carlfornia

Kigoma KA Dubai!!!!!!!!!!!!!!!!! Kha!! wacheni uongo jamani alisema lini? Au kigoma nyingine, si ile inayotegemea safari ya tren kwa wiki maramoja, safari ya gari KIGOMA mpaka tabora barabara ya vumbi tu, kigoma mpaka kibondo to ngara barabara ya vumbi, si ni ule mkoa wenye barabara ya mjini moja tu? JAMANI Achen kumuonea.
 
JK anawategema wamarekani ndiyo kutuletea maendeleo kweli hio ni sahihi? Maendeleo ya watanzania yataletwa na watanzania wenyewe wafadhili kazi yao ni kuongeza chachu tu na wla siyo vinginevyo................

Wa-TZ sasa tuamke!! Kila kitu jamaa anakimbilia kuwataja wamarekani hana akili huyu??? yaani sisi kuendelea mpaka tutegemee misaada kutoka nje? Kukitoke tena mtikisiko wa uchumi duniani itakuwaje!!?? Yeye alishasema hajui umaskini wa Wa-TZ unatokana na nini atuache bwana sisi tufanye maamuzi yetu tarehe 31/10/2010.
 
Back
Top Bottom