JK alitaka mtoto wa nyoka asiwe nyoka!!

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
JK aliwaomba UVCCM kukataa rushwa na kuikwepa katika uchaguzi wao ili kuinusuru CCM. Lakini hilo lilikuwa ni sawa na kutaka mtoto wa nyoka asiwe nyoka kwani UWT rushwa tupu. Sasa yametimia kuwa hata wale ambao wanaandaliwa kuwa viongozi wa CCM na nchi tayari ni wazuri katika rushwa na samaki mkunje angali mbichi sasa samaki hawa wamekwisha kauka.

Rai yangu kwa watanzania ni kwamba hatuitaji kusikiliza kampeni hapo 2015 bali maamuzi yazingatie matukio kama haya. Nawaomba CCM waongeze alama ya noti hasa dollar kwenye ile nembo yao ya chama!!!
 
Back
Top Bottom