JK alimtaka Lema agombee ubunge kupitia CCM Lema akagoma

Wamtake Lema ana nini kuna watu wana upeo mkubwa ndani ya Chadema mtu kama Zitto Kabwe, John Mnyika hawa wanakubali kila sehemu ya Tanzania ukisema wanatakiwa na JK watu wanaweza kukuelewa.

Kwa sababu anakubalika ktk jimbo la uchaguzi la Arusha.
 
Kengemaji watu kama nyie mnachelewesha ukombozi nchi hii,a hate pipo lyk you.wy you defame hon.lema,ivi mtu anaesikiliza maneno ya zombe kichaa nae si kichaa..jina lako lenyewe la kenge maji linajieleza
 
I just dont get it, title and content are like ice cream and ugali!! or is this new style of conveying messages?

prove me that your title is not cooked!
 
Wamtake Lema ana nini kuna watu wana upeo mkubwa ndani ya Chadema mtu kama Zitto Kabwe, John Mnyika hawa wanakubali kila sehemu ya Tanzania ukisema wanatakiwa na JK watu wanaweza kukuelewa.

Binadamu wote atulingani Lema nae ana wapenzi wake na mazuri yake kwa kifupi umeona moto wake Arusha na hata waziri wako mkuu anamgwaya ivyo jua kuwa Lema sio mwenzio kubali lakini sio kuponda.
 
Wamtake Lema ana nini kuna watu wana upeo mkubwa ndani ya Chadema mtu kama Zitto Kabwe, John Mnyika hawa wanakubali kila sehemu ya Tanzania ukisema wanatakiwa na JK watu wanaweza kukuelewa.

Ulitafutwa sana humu wakati matokeo ya Arumeru yalipotoka naona umepata tena ujasiri mtoto wa kike oh! samahani mtoto wa kiume
 
Chadema kwa uwongo hawajambo sasa Lema, ulikuwa wapi kusema haya maneno baada ya kushindwa kesi Arusha ndio umekuja na hiyo single huko ni kutapatapa.
Nyie wapiga debe wa CcM ifikie wakati mkubali ukweli,hivi kwa uelewa wako ww kijana je tokea Mh Lema avuliwe Ubunge alitoa kauli hii hapohapo je mbona IKULU haikukanusha? ila ikakanusha SI kweli Ikulu ilishiriki kumvua ubunge Mh Lema? changanya akili hizo ww usibweteke na hilo chama la machi.zi
 
Paschally Mayega amekubuhu katika uchambuzi wakati mwingine unaweza kulia ukiwa unasoma makala zake, naamini ukongwe wake katika tasnia ya habari akiwa mzee wa Afrika Mashariki ambaye anapigania haki za watanzania wote unamfanya kuwa na busara zaidi,,,,,ebu Tafuta kitabu chake cha Mwalimu Mkuu wa Watu ukisome,,,,naamini utajawa na matumaini na namna njema ya kushika dola ifikapo 2015

Mwalimu Paschal endelea kumlilia rais ipo siku atasikia na akiziba masikio atasikilizishwa
 
Well said, well written; CDM and Lema take Action; Stay focused and may God bless you for the change in Tanzania
 
Nayakubali maneno ya mama mzazi wa Mh. Rais, aliwahi kusema kuwa "tangu utoto mwanangu amekuwa ni mtu wa kisasi". Hilo la Lema ni tisa, kumi nakumbuka kesi ya babu Sea na wanawe kuna watu walimuhusisha mheshimiwa huyo huyo. All in all WHAT GOES AROUND COMES AROUND!
 
JK aache watu wenye akili timamu akamuombe Lema? Lol

Kwani CCM huwa wanachagua? Hata Lusinde walimbeba na wakampa uongozi wa chama.

Hata Tambwe Hizza alipowapelekesha jimbo la Temeke pia walimnunua na kumpa ulaji pale Lumumba.

Tatizo la CCM huwa wanadhani kwamba mtu akiwa anawapelekesha sana kwenye uchaguzi, dawa ni kumshawishi ahame chama na ahadi kem kem wakitegemea kwamba akihama atahama na wafuasi wake. Zama hizo zimeishapita, hizi ni zama mpya, watu hawafuati mkumbo tena.

Wote wanaohamia CCM kutoka upinzani huwa wanaishia kulaani. Muulize aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mbeya, alipewa kadi na JK na kuahidi kwamba ataibomoa CHADEMA maana ni yeye aliijenga so anajua namna ya kuibomoa. CCM wakajua kwamba wamepata wa kuimaliza CHADEMA mkoani Mby. Juzi wametuma salaam kupitia Kata ya Kiwira. Gharika inakuja, uchaguzi wa 2015, wananchi wa Mby wana usongo sana na CCM. Tambwe Hizza na Msabah hata haijulikani wako wapi!
 
Ukitaka kujua maneno haya yamepikwa ili kuwapotosha wananchi, angali yanavyojirudia rudia kwa sababu bila kufanya hivyo yanakosa mvuto.
Hukumu ilikuwa ni kati ya Mdai, mdaiwa na pengine mashahidi, kama mdaiwa alikuwa haelewi lugha angeomba isomwe kwa lugha anayojua. Lakini pia naomba nitofautiane kabisa na wewe kuwa LEMA ni Slaha ya ukombozi, mimi binafsi ukiniambia nikuambie mtu namaba moja ambaye hakustahili kuingia bungeni ni LEMA kutokana na historia yake ya alikotoka, na hapa naomba niwe serious kidogo kwa sababu sitemei kumuita mheshimiwa mtu kama Lema, hana sifa hizo, ni kudhalilisha taifa la Tanzania. Kubwa zaidi kwa taarifa yako ni kwamba hata huku CHADEMA viongozi sasa watapata kupumua japo wamebaki watu wawili ambao wakitoka hakika Chama kitakuwa kistaarabu ile Mbaya.
PUMZIKA salama STEVEN CHARLES KANUMBA.

uneweza ukawa unayajua madhambi mengi ya lema , Lakini jua hayo madhambi ndo yamemjenga na sasa ni mtu mwema kuliko wewe unayeendelea kumhukumu . Yesu alikuja kuwakomboa wenye dhambi si wema , tunawaona ccm wanaoingia madarakani bila 'madhambi' kama mkapa na walichokifanya baada ya kutwaa madaraka
 
Kama kuna mwanasiasa mpole na hasiependa visasi basi ni Rais JK. Ama kweli wahenga wamenena Mkubwa ni jalala na leo twajionea Rais wetu kipenzi cha watu akipewa kila lawama kisa tu yeye ndio Rais.

CDM siasa za kichochezi hatuzitaki sisi wananchi tumechoka na maneno yenu mara nchi haitawaliki mara sijui kutachimbika basi nendeni Syria mkaungane na wanaharakati wa huko muone cha mtema kuni mkirudi ndio mtumie uzowefu wenu hapa Tanzania. Vinginevyo mtakuwa wanafiki juu ya umma wa watanzania.

Acha woga hatuwezi kupata uhuru wa kweli bila kuupigania jk si mpole bali ni rais thaifu sana.
 
Back
Top Bottom