JK aapa kuwatoa kafara wala rushwa: ASEMA WAMEMCHOSHA, ATAKAYEKAMATWA ATAKUWA MFANO

Mambo ya rushwa kando.........Uso wa rais unaonyesha amechoka.

Rais wetu ana nini kinamsibu moyoni au mwilini????

Hii nchi Magufuli angeshika Urais hata mwaka mmoja tu watu wangenyoka sana manake wanajua kuwa hanaga funikafunika, Minilitamani Jk ampe uwaziri mkuuu ili uozo wa halmashauri upungue.Nampenda magufuli, Mkapa ndio alikuwa anamkubali Magufuli na kumpa ulinzi baaada yawabaya wake kumtisha lakini Ujasiri wamagufuli ulikuwa palepale. Big up Mhe. Magufuli. Mungu akulinde, hao wabaya wanaotaka kukuangusha pamoja namkuu wa inch washindwe nawalegee wache utimize sheria.

Leo nimeelewa kumbe traffic wanatakiwa wakague waipa wakati wa msimu wa mvua tu. Watanikoma sasa. Kazi tunayo.

mkuu hapo kweli kazi ipo! Ila yeye hatokuwepo wkt unachaniwa kile kikaratasi cha njano kwa kosa hilo2 la weipa!

I miss u a lot, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere!

Mambo ya rushwa kando.........Uso wa rais unaonyesha amechoka.
Rais wetu ana nini kinamsibu moyoni au mwilini????

Kuongoza nchi yenye matatizo kila kukicha si rahisi hata kidogo....na kuongoza wananchi ambao wameshakuchoka wanaona kila unaloongea halina uzito na wamepoteza imani na wewe ndo ngumu zaidi.

Hapa anaongelea rushwa kuwafanya mfano wataokamatwa wakati anawajua ana majina yao mezani kwake na ni maswahiba wake wa karibu lakini bado tu anaendelea kuwaachia kwa nini asiwafanye mfano hao washakuwa implicated na rushwa???

hizi porojo dhidi ya rushwa tumechoka kusikia. kwanini wasinyamaze tu.....jamani. aarghh!!
miaka michache ilopita alisema nawafahamu wala rushwa` kwa hiyo waache hizyo tabia,
punde kadai na wauza dawa za kulevya pia nawafahamu....
sasa leo tena porojo eti nitawatoa kafara.....
kesho utasikia
---na majambazi nawafahamu, waache wizi mara moja
---na maharamia nawafahamu.........waache mara moja kuteka meli
---na wana jf nawafahamu....

chukua hatua dhidi ya rushwa mai friend, vita dhidi ya rushwa ni matendo bro.

mimi nahuhakika hawezi kukbiliana na maovu kwa ajili ya urafiki na kuogopa lawama. uwezo anao wa kisheria na hata akikosea kwa katiba yetu hatashitakiwa sasa kigugumizi cha nini? hali huku chini ni mbaya acheni utani tuchati tu kwa sababu tumewezeshwa kufika hapa tulipo.wananchi wanapata shida kweli kweli sio vitu vya mzaa kila siku unaanza. hebu fanya kimoja siku moja tukuandike vizuri mfano tutajie japo maskofu wanaouza dawa za kulevya ili tuelewe imani yetu ikoje kwao tusilete chai kwa wanachi watu wanapata shida mno na hasa rushwa na madawa ya kulevya vijana wanaangamia halafu unawaambia unawafahamu wajirekebishe?! tia ndani ala!

mi najua ilikuwa hana cha kuzungumza ndio maana kasema hivyo! na wala yeye hamaanishi ni nyinyi tu vimbelembele vyenu

hizi porojo dhidi ya rushwa tumechoka kusikia. kwanini wasinyamaze tu.....jamani. aarghh!!

miaka michache ilopita alisema nawafahamu wala rushwa` kwa hiyo waache hizyo tabia,

punde kadai na wauza dawa za kulevya pia nawafahamu....

sasa leo tena porojo eti nitawatoa kafara.....

kesho utasikia

---na majambazi nawafahamu, waache wizi mara moja

---na maharamia nawafahamu.........waache mara moja kuteka meli

---na wana jf nawafahamu....

chukua hatua dhidi ya rushwa mai friend, vita dhidi ya rushwa ni matendo bro.

mwambie labda safari hii atakusikiliza,! Si nasikia mkuu huyu anatatizo la kutosikia au ameshopona baada ya kunywa kikombe LOLIONDO?? Kazi tunayo ....!

"RAIS Jakaya Kikwete amesema ataanza kuchukua hatua kwa watendaji wakuu wa Serikali na wadau wa sekta ya ujenzi wenye tabia ya kuomba na kupokea rushwa wakati wa mchakato wa zabuni ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hiyo."

Hiki ni kichekesho!!.. Mkubwa anakumbuka shuka asubui!!?? Muda wote huo alikua wapi asichukue hatua??? Nchi inakaribia kubakia mifupa mitupu yeye ndio anakurupuka!!!! Hayo ni mafuta kwa mgongo wa chupa wakubwa...

“Sasa hivi kila kona rushwa, ukienda barabarani polisi wanaomba rushwa, watendaji wakuu wa Serikali wanachukua rushwa na makandarasi nao wanatoa rushwa ili waweze kupata zabuni, ni tatizo, lazima tuikemee, itatufikisha kubaya,” alisema Rais Kikwete.

Rushwa itufikishe pabaya mara ngapi??? Ina maana JK anaweza akawa that much dumb kiasi kwamba asijue madhara yaliyokwisha lipata Taifa hili kwa sababu ya rushwa????... Hiki nacho ni kichekesho kingine!!....

Back
Top Bottom