Jiwe la wapi hapa?

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Nov 5, 2008
4,728
2,259
IMG_0384.JPG

Wakuu katika tembea tembea yangu nchini hapa nikaona tangazo hili.
Ni wapi hapa?
 
gangilonga iringa.

Kwa wale ndugu zangu wa Iringa Leo imekula kwenu, tofauti kubwa kati ya nawe ya Singida na Iringa ni kwamba Iringa nawe yananing'inia milimani wakati Singida ni tambarare.

Lakini tusife moyo Nina picha elfu kidogo, ya matembezi yangu ya alfu-lela-ulela.
 
Ooh!
Ume patia mkuu, hapo ni kilometa chache tu BAADA ya kutoka Singida kuelekea Manyoni, ni Singida-on-the-Rocks!

Nimefurahi kwa kunikumbusha mambo ya kijasusi, ilikuwaje ukapiga picha hiyo mkuu, au katika kusafiri mambo ya kuchimba dawa!!!!!
 
Back
Top Bottom