Jitu zima Ovyoo!

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Ni Kutokujali au ubize kupita kiasi?

2qx2urn.jpg
 
Jamani mpatie benefit of doubt. Ni wengi tu huwa tunasahau. Labda kwa vile yeye ni mtu mkubwa. Hata hivyo lilikuwa ni kosa la hatari kwa mtu mwenye jina kubwa kama BPM kuachia dudu yake ining'inie nje.

Labda pressure ilikuwa haijashushwa na wenzake wa CCM ambao sasa wameamua kumfutia kesi kwa kumrudisha bungeni!
 
Ata aliyepiga picha wa kumlaumu kama kweli.
Mtu mzima uyo ana over 70 sasa ila bado anakomaa na siasa
 
jamani kila mtu anapitiwa sometimes,mie mwenyewe siku moja nilitinga jeans yangu mpya sasa sikuwa najua kumbe zipu ilikuwa ina matatizo,inashuka yenyewe taratibu ninavyotembea,sasa nikashangaa tu watu wanavyonikodolea macho,mie nikadhani nimependeza ndo mana wananitizama ndo hadi mama mmoja akaniambia binti umesahau kufunga duka,hapo mbwembwe zote zikaniisha.hivyo kunakupitiwa wanawane!
 
Hahahahaha dah naona wife ake hakumkagua wkt anaondoka home

Mhhhh, Mkuu Fidel,

Hivi wanawake wa dot.com bado wanafanya hiyo kazi ya kuwakagua waume zao? Mimi sijawahi kukagulia labda kuchimbwa mkwara ili nibadilishe baadhi ya nguo ambazo hapendi!
 
jamani kila mtu anapitiwa sometimes,mie mwenyewe siku moja nilitinga jeans yangu mpya sasa sikuwa najua kumbe zipu ilikuwa ina matatizo,inashuka yenyewe taratibu ninavyotembea,sasa nikashangaa tu watu wanavyonikodolea macho,mie nikadhani nimependeza ndo mana wananitizama ndo hadi mama mmoja akaniambia binti umesahau kufunga duka,hapo mbwembwe zote zikaniisha.hivyo kunakupitiwa wanawane!

ni kweli watu wengi tu wanasahau kufunga zipo, kama ulisahau kufunga duka, wanaume wanasauhau kufunga nini? au wanasauhau kufunga ATM!
 
jamani kila mtu anapitiwa sometimes,mie mwenyewe siku moja nilitinga jeans yangu mpya sasa sikuwa najua kumbe zipu ilikuwa ina matatizo,inashuka yenyewe taratibu ninavyotembea,sasa nikashangaa tu watu wanavyonikodolea macho,mie nikadhani nimependeza ndo mana wananitizama ndo hadi mama mmoja akaniambia binti umesahau kufunga duka,hapo mbwembwe zote zikaniisha.hivyo kunakupitiwa wanawane!

ndani kulikuwa hakuna kitu nini? namaanisha chvpi
 
labda alitoka kule mikocheni kwa wachina kupata blowjob:confused2:
 
Hiyo picha ishawekwa hapa JF kipindi flani cha nyuma, mwaka juzi kama sijakosea. So sor for him though ninamashaka na maadili ya mpiga picha on the other hand.
 
jamani kila mtu anapitiwa sometimes,mie mwenyewe siku moja nilitinga jeans yangu mpya sasa sikuwa najua kumbe zipu ilikuwa ina matatizo,inashuka yenyewe taratibu ninavyotembea,sasa nikashangaa tu watu wanavyonikodolea macho,mie nikadhani nimependeza ndo mana wananitizama ndo hadi mama mmoja akaniambia binti umesahau kufunga duka,hapo mbwembwe zote zikaniisha.hivyo kunakupitiwa wanawane!

kama hivi?
 
I wish ningekuwa miongoni mwao wale waliogundua huo "uwazi".ahaaa.

Ila siku hizi bana tofauti na zile enzi za mwalimu, "mijaladio" kibao hata kwa kina dada ilianza na kuogopa bakora shuleni, sasa imekuwa fasheni. Tofauti na zile enzi ambapo hata ukiweka kioo chini waona "sandakalawe, " siku hizi ni ghali mno kujua "kuna nini baada ya uwazi wa zipu"..ukichungulia, utakutana na kitu kizigo (kishort cha jinsi, kisha wakuta kile inaitwa "bana ngozi/skin tight, kabla yake wakuwa ile inakaba tumbo kama lipo tepwetepwe (limetepweta), hapo ndani kabisaaaa ndo unaweza kukutakuwa "VIP" kabla ya kufikia naniiii...
 
Mnashangaa nini ndugu zangu? Hamjasikia kituko cha kigogo mmoja anayeheshimika zaidi ya huyu. Alikwenda mbio amechelewa kuhutubia mkutano. Jasho likawa linamtoka akaingiza mkono mfukoni kutoa kitambaa, akatoka na chupi ya kike ya kike, na kuanza kujipangusa, watu wanacheka yeye anazidi kuendelea bila kujua. Kisha akaiweka mezani ndipo akagundua!
 
tehetehethe....................!hiyo noma mkuu.............!
 
Back
Top Bottom