haki na usawa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 481
- 135
Nini kifanyike kama wezi/wasio na sifa wakapewa uwaziri tena?
Je una taarifa zozote juu yake (mteule) ili kurahisisha kumwondoa kwa kuelezea wizi/ubadhirifu kupitia vyombo vya habari katika nchi hii kabla ya kufisidi nchi hii jitolee kwa kusaidia nchi yako maana yaoneka kuna uhaba katika uchunguzi wa wateule!
Je wawezaje kusaidia kuondoa uteuzi mbovu kwa kufuata urafiki,kulipa fadhila, na nk?