Jirani anamaliza kuku wa watu

ELFU-ONEIR

Senior Member
Jun 27, 2012
181
64
Bandugu nimepiga kimya lakini nimeona pia si vibaya tukashirikishana ki mawazo.

Ninajirani yangu ambaye tuna kaa naye nyumba ya kupanga ni mgeni lakin amepiga jitihada hadi kamnanihii mke wa mpangaji mwenzake. Na mbaya zaidi hajaonja akatosheka ni kama anataka kuu-"renoveti" mzinga uliokwisha chongwa na mwenzie, sasa mimi nimekosa la kufanya 1. Niwaache waendelee lkn itazusha tafrani mbeleni au niwaambie? Na nikiwaambia wanaweza kuhisi kuwa na wafuatilia sasa sina jibu juu ya nini kifanyike hasa ukizingatia na mimi mzinga wangu utakamilika soon
 
Umejuaje kama huyo jamaa ndo kafanya mishe au huyo mdada ndo kajilengesha.
 
bora ulete asali ya nyuki wajane kwenye kichupa uwe unalamba tu.

Mizinga peleka Tabora aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom