Jipatie vitu used kwa bei rahisi kabisa (magari, vifaa vya nyumbani na ofisini, electronics)

PMWAKA

Senior Member
Aug 29, 2019
191
206
Habari wakuu, karibuni sana muweze kuniunga mkono kwenye biashara yangu.

Hapa takua napost na kuuza vitu used na vipya pia. Ukiona kitu ukakipenda tafadhari wasiliana nami kwa maongezi zaidi, of course discount na bargaining itakuwepo. Pia kama unauza kitu chako chochote iwe gari, iwe nyumba iwe vifaa vya nyumbani (makochi, Tv, radio etc)wasiliana nami ili nikutangazie. Pia fatilia page yangu ya instagram @magari_cars_daresalam kujionea magari na bidhaa mbalimbali tofatuti.

Contact zangu : +255764320475 au email tonnyenjoy@gmail.com

Asante kwa kufanya biashara na mimi na karibu tena.

1.
*TOYOTA ALPHD DSv*
*CC 1990*
*BEI 16.*
*FULL A/C*
*TAIR MPYA*
*GARI KALI SANA*
*NA VUNJA NA GARI YOYOTE*🚖🚖🚖
1fa8779f944f5ed529942413f078f7b.jpg
dc8bc4f1d20983df0c0abeb2b2e3382.jpg
f78bb73d036ebf4f710cac5d10561cd.jpg
 

Attachments

  • baea86c49a14b78793f45ed0766d7b9.jpg
    baea86c49a14b78793f45ed0766d7b9.jpg
    117.8 KB · Views: 7
  • 7f5ac210c649799370d9b2a99bcdec5.jpg
    7f5ac210c649799370d9b2a99bcdec5.jpg
    54.4 KB · Views: 7
  • 6d077538ee8002b4b54e242d0b5b6fa.jpg
    6d077538ee8002b4b54e242d0b5b6fa.jpg
    59.3 KB · Views: 9
Fridge.
Bland : Samsung
Specification : lita 255, non froast, RT 26
Imetumika kidogo sana na ipo katika ubora wake.
Inapatikana Dar es salaam

Price :550,000
 

Attachments

  • 55054f7623ad8643e426f1ad4be77d0.jpg
    55054f7623ad8643e426f1ad4be77d0.jpg
    19.9 KB · Views: 8
  • 1ee4fcf781745b2f11c7ffa802cf466.jpg
    1ee4fcf781745b2f11c7ffa802cf466.jpg
    23.4 KB · Views: 7
LG Washng Machine
Spin and Dry
Inafua na Kukausha
12kg
bado mpya haijatumika sana
price : 950,000
 

Attachments

  • 4b2b36eef181caeb3c3f26b88cc93d5.jpg
    4b2b36eef181caeb3c3f26b88cc93d5.jpg
    61.9 KB · Views: 5
  • c4db0d27ed127b02a72f21afee752dd.jpg
    c4db0d27ed127b02a72f21afee752dd.jpg
    63 KB · Views: 5
  • 139c853959e6b248d0da47e252a7ce4.jpg
    139c853959e6b248d0da47e252a7ce4.jpg
    55.6 KB · Views: 5
  • 193b625e4ceb37569b8bf271dcc9fe4.jpg
    193b625e4ceb37569b8bf271dcc9fe4.jpg
    47.7 KB · Views: 4
Cannon Eos 700
Unapata na stand yake na Mic Moja
Iko full Package.

Price : 1,300,000
 

Attachments

  • 2b8188f60933be1f79b137448ae57bd.jpg
    2b8188f60933be1f79b137448ae57bd.jpg
    54.8 KB · Views: 3
  • 284d0caa946ce41b1057ef3fb654420.jpg
    284d0caa946ce41b1057ef3fb654420.jpg
    42.1 KB · Views: 3
  • b17ed21f7c66ec41dda576e82efc954.jpg
    b17ed21f7c66ec41dda576e82efc954.jpg
    54.7 KB · Views: 4
  • d3ba70d97ef002f0b6e82b39cdf56dc.jpg
    d3ba70d97ef002f0b6e82b39cdf56dc.jpg
    52 KB · Views: 5
Yamaha Tower Speaker
Iko Full Package
Price : 550,000
 

Attachments

  • b019d8b91819801caaeceb79da628f4.jpg
    b019d8b91819801caaeceb79da628f4.jpg
    86 KB · Views: 5
  • b3a84d86af0b37d0aea2f055668e459.jpg
    b3a84d86af0b37d0aea2f055668e459.jpg
    82.1 KB · Views: 5
  • 66b5d904199d35e77365c8c03807e4e.jpg
    66b5d904199d35e77365c8c03807e4e.jpg
    44.4 KB · Views: 5
  • ef37086bbe342daf8d0eead0f427977.jpg
    ef37086bbe342daf8d0eead0f427977.jpg
    44.4 KB · Views: 4
  • 9c54e075f9609d80754e3eb9960e89b.jpg
    9c54e075f9609d80754e3eb9960e89b.jpg
    58.1 KB · Views: 6
Mkuu..plz tuwe wakweli hapo.mtaa wa uhuru machine mpya haifiki 950k!!
Hiyo yako used.... hebu
Washing machine zinatofautiana ndugu, hii ni LG na pia ni imported machine, inafua na kukausha, nyingi za ela ndogo huwa zinafua na kukamua tu hazikaushi, tafadhari pita dukani uangalie bei ya hii nilopost ikiwa mpya then you will see the difference boss.
 
Naweza nkawa nje ya mada lakini naomba kuuliza kama naweza nkapata inverter za sola zenye uwezo wa kuzalisha 10kw
 
Naomba kuulizia zile mashine za kuoshea magari kama naweza kuzipata na bei yake ni ipi na ni saizi gani
 
UPDATE : VACUUME BROWER

Mac Alister vacuum blower
Used from UK
Inapuliza na kuvuta uchafu.

Nzuri kwa matumizi ya nyumbani na ofisini

Mfano : kusafishia gari kwa ndani na kutoa vumbi, kusafishia makochi, blankets , madirisha, makabati etc

Price : 300,000
Screenshot_20200311-215439.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: MUSCLES VIBRATO

Machine ya kushtulia misuri

Ni ndefu unaweza kuafjust zaidi.

Hutumika kwa ajiri ya kushtua misuri ya mwili pale inapokakamaa ama kuhisi kuishiwa nguvu. Ni nzuri kwa umri wowote isipokua kids under 5 years.
Screenshot_20200311-220040.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom