Jionee mwenyewe honda ilivyo fichwa

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,445
[h=6][/h]

Denti wa elimu ya juu akitumia juhudi na maarifa ili asiliwe kichwa kwenye paper la uchumi.
Paja limepigwa na rubber band nondo isiteleze wala isicheze cheze eneo husika.
Hana noma wala nini anakula chabo kiulainiiiii msimamizi mwenyewe kazidiwa maarifa.
 
NGO's zina kazi. Huyu ukimwajiri kwenye mambo ya uchumi si balaa!! ataongea nini zaidi ya kupiga chabo hata speech. Mungu tutie nguvu elimu ya tanzania, kazi kweli kweli
 
Watu kama hawa huwa wanajigamba sana mtaani kama akina Mwigulu Nchemba utasikia nina 1st class kumbe ya kukong'ori
 
wahadhili ndo wanasababisha yote haya....kwa kusahisha mitihani vile watakavyo lakinihta nanyi wanafunzi punguzeni starehe elimu ni vita tena zaidi ya ile ya uganda na tanganyika
 
Haya madesa yanaliangamiza taifa sana,nadhani anjua kazi ya kichwa huyu dada kuotesha hjizo rasta zake and not otherwise
 
Kwa namna hiyo, unaondoka chuoni kama ulivyokuja.
Usimamizi mbovu, nakumbuka chuoni wenzetu 10 walifukuzwa ck moja kutokana na hako kamchezo, walikua wanaingia na
cm wana google kilakitu.
 
''Hajui kucheza, ingekuwa mm ningefanya hivi, ningefunga'', hayo husemwa na wale walioko nje ya uwanja, ukiwa ndani ya uwanja, siajabu ungeshindwa kufunga, ndugu zangu tusiwalaumu sana wanaofanya hivi, kwani system ya elimu ya TZ imewalazim, kwani mitihani inatungwa na walimu wachuo, na wanasahihisha wenyewe, na pia wanauza maswali kwa wanafunzi, je wangejuaje kuwa majibu ya swali fulani yanatoka, topic gani kama si kuuzwa kwa maswali ili kuwapatia kipato waalimu wetu wakati wa mitihani, najua wengi watakataa, lkn ukipita chuoni utayaona haya nisemayo.
ndiyo utamaduni uliojengeka katika elimu yetu, si yakulaumu.
Nawakilisha.
 
Sasa Mkuu, wewe uliwezaje kuingia na hiyo simu na kuweza kupiga picha maana hata simu zinazuiliwa, ili usipokee madesa kutoka nje ya chumba cha paper !!!
 
Ni mbunifu sema tu ubunifu wake anautumia vibaya ktk kumtengenezea cheti wakati anajuwa wazi kuwa kichwani mwake hamna kitu! Ni bora angetumia muda huo kubuni vitu mbali mbali na kuuza mitaani vingemuinua kiuchumi! Si lazima kila mtu apate PhD.
 
''Hajui kucheza, ingekuwa mm ningefanya hivi, ningefunga'', hayo husemwa na wale walioko nje ya uwanja, ukiwa ndani ya uwanja, siajabu ungeshindwa kufunga, ndugu zangu tusiwalaumu sana wanaofanya hivi, kwani system ya elimu ya TZ imewalazim, kwani mitihani inatungwa na walimu wachuo, na wanasahihisha wenyewe, na pia wanauza maswali kwa wanafunzi, je wangejuaje kuwa majibu ya swali fulani yanatoka, topic gani kama si kuuzwa kwa maswali ili kuwapatia kipato waalimu wetu wakati wa mitihani, najua wengi watakataa, lkn ukipita chuoni utayaona haya nisemayo.
ndiyo utamaduni uliojengeka katika elimu yetu, si yakulaumu.
Nawakilisha.

Nakuunga mkono Mkuu, wengine huwa wanatoa topic za kujisomea, na kwa kuwa mara nyingi maswali hurudiwa madenti huwa wanatafuta maswali ya topic hizo, kuyatafutia majibu na kutinga nayo kwenye exm room !!!
 
Kweli kwani huyu jamaa ameingia vp na cm kwenye paper km sio kawaida yake ku google kila kitu
 
Hahahaha wadada wanaongoza kuingia na madesa vyuoni wanajivunia masketi na magauni yao kwa kuficha nondo.
 
''Hajui kucheza, ingekuwa mm ningefanya hivi, ningefunga'', hayo husemwa na wale walioko nje ya uwanja, ukiwa ndani ya uwanja, siajabu ungeshindwa kufunga, ndugu zangu tusiwalaumu sana wanaofanya hivi, kwani system ya elimu ya TZ imewalazim, kwani mitihani inatungwa na walimu wachuo, na wanasahihisha wenyewe, na pia wanauza maswali kwa wanafunzi, je wangejuaje kuwa majibu ya swali fulani yanatoka, topic gani kama si kuuzwa kwa maswali ili kuwapatia kipato waalimu wetu wakati wa mitihani, najua wengi watakataa, lkn ukipita chuoni utayaona haya nisemayo.
ndiyo utamaduni uliojengeka katika elimu yetu, si yakulaumu.
Nawakilisha.
hata kama una degree ninawasiwasi nayo sana..wenda na wewe ulikula chabo!!!!
 
Inawezekana style hiyo ndo imemfikisha hapo alipo, msafara wa mamba kenge wamo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom