Jinsi ya kuzuia matangazo simu ya android

Hiyo domain kuna baadhi yatapenya naona kuna baadhi ya ads zinai bypass, kama yatapenya.. waweke hii ya chini

dns.adguard-dns.com
I hope hii inafanya kazi effectively 80-90 parcee... Ile ya kwanza niliiweka, still adds zikawa Zina pop up...

Lakini baada ya kukaba hii yako... No more ads hata moja tena! Hili lisaa la pili sasa
 
  1. Head to Settings > Network and Internet > Advanced > Private DNS.
  2. Choose the option Private DNS Provider Hostname.
  3. Enter "dns.adguard.com" and Save.
  4. That's it! You'll no longer see any in-app ad ads or pop-ups on browsers.
Nimejaribu Mara kadhaa kwenye setting sioni pa kuingilia, mwenye maelekezo/ufafanuzi wa ziada anisaidie. Ninatumia Samsung S6 mbona hakuna hayo maelezo uliyo eleza?
 
Nimeijaribu. Ipo superb.
Natumaini haitaleta makandokando baadaye, kama vile yenyewe kutu-spy kwa manufaa ya mmiliki wake, au baadaye kutudai pesa kidogo.
 
Mkuu miaka yote hiyo kule Jf doctor kule .. Bado unatumia kiswaswadu s6!! Hata SIIAMINI mzizimkavu nikujuae since 2011!?
Ninatumia simu 2 hiyo Samsung S6 na IPhone mimi nipo simple sipo mtu wa kupenda mambo ya kifahari. Wachunguze Matajiri wakubwa duniani kama Bill Gate yupo kivipi?au Ali dangote au mo Dewji wakoje kimaisha? Masikini ndio huwa anapenda mambo ya kifahari Tajiri hapendi mambo ya kifahari.
 
Ninatumia simu 2 hiyo Samsung S6 na IPhone mimi nipo simple sipo mtu wa kupenda mambo ya kifahari. Wachunguze Matajiri wakubw aduniani kama Bill Gate yupo kivipi?au Ali dangote au mo Dewji wakoje kimaisha? Masikini ndio huwa anapenda mambo ya kifahari Tajiri hapendi mambo ya kifahari.
Mkuu hakukuwa na haja ya kujielezea saana, ungemjibu ndio chaguo lako.
Kila mtu na maisha yake, wengine simu simu hizi si vipaumbele vyao, muhimu awepo hewani tu, apate na internet kwisha.
Umejitetea mnoo mkuu 😂🤣

Ila dangote alivyokuja bongo ile simu aliyokuwa anatumia unajua ni sh ngaoi mzee wangu!?
 
Kaji tetea Sana😂🤣🤣🤣, ile simu ya dangote ni 16m+
 
Mi natumia hiyo toka kitambo sana, Hii ni balaa tupu, sema ndo hivo lazima uwe umeroot simu.
Screenshot_2023-12-07-23-50-07-766_org.adaway.jpg
 
Q tetea Sana😂🤣🤣🤣, ile simu ya dangote ni 16m+
Mie sikuona haja ha kujitetea mnoo, simu ni yake maisha ni yake, akiwa tajiri au masikini hakuna anamchangia hela ya kula humu.
Mtaani kuna mzee mmoja don kweli kweli, mpambe wake anakwambia huyo huwezi kumkuta hana milioni 5 anavyotembea.. Mie nyumba nizijuazo za kupangisha huyu mzee ni zaidi ya 30. Ila ukiomuona simple tu, na kama huna adabu akikukosea unaweza mpiga vibao, simu anayotumia ni kawaida saana. Gari zake sasa ni local kinooma, ana viRAV4 viwili kimoja cha milango miwili, kuna prado ya miaka ya 90+ huko, halafu ndio ana prado la miaka ya 2010 na kitu hivi, ila hii hatembelei saana, kwake kwenyewe ukienda ni kawaida nyumba yake ile ile ya toka miaka ya 90 huko.
 
Ninatumia simu 2 hiyo Samsung S6 na IPhone mimi nipo simple sipo mtu wa kupenda mambo ya kifahari. Wachunguze Matajiri wakubw aduniani kama Bill Gate yupo kivipi?au Ali dangote au mo Dewji wakoje kimaisha? Masikini ndio huwa anapenda mambo ya kifahari Tajiri hapendi mambo ya kifahari.
dangote alionekana ana simu simple alipokuja bongo,kumbe inauzwa milion 18.

matajiri sio kwamba hawapendi vitu vya gaharama,ni kwamba sisi ndio hatujui vitu vya gharama ni vipi.

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Mie sikuona haja ha kujitetea mnoo, simu ni yake maisha ni yake, akiwa tajiri au masikini hakuna anamchangia hela ya kula humu.
Mtaani kuna mzee mmoja don kweli kweli, mpambe wake anakwambia huyo huwezi kumkuta hana milioni 5 anavyotembea.. Mie nyumba nizijuazo za kupangisha huyu mzee ni zaidi ya 30. Ila ukiomuona simple tu, na kama huna adabu akikukosea unaweza mpiga vibao, simu anayotumia ni kawaida saana. Gari zake sasa ni local kinooma, ana viRAV4 viwili kimoja cha milango miwili, kuna prado ya miaka ya 90+ huko, halafu ndio ana prado la miaka ya 2010 na kitu hivi, ila hii hatembelei saana, kwake kwenyewe ukienda ni kawaida nyumba yake ile ile ya toka miaka ya 90 huko.
Sasa hela zake anatafuta kwa ajili ya nini?

Hela kama hazibadirishi maisha yako ya hapa duniani, yani yanafanana na ya mqsikini basi hizi ni sawa karatasi tu
 
Huyu jamaa nampa yake.
Nina muda mrefu sana sjaweza itumia tubidy kudowload nyimbo sababu ya matangazo. Ila tangu jana nalipizia zote nilizozikosa.
Asante sana umetufaa
 
Back
Top Bottom