Jinsi ya kuweka javascrip katika sumsung

mgange hussein

Senior Member
Sep 10, 2012
159
43
Amani iwe kwenu wana jamii forums.Nahitaji msaada wa simu yangu Sumsung e 2222.Nikitaka kutumia kuangalia VIDEO katika YOUTUBE inakataa kisha inaleta ujumbe ENABLE JAVASCRIP.Naomba mwenye kujua anielekeze jinsi ya kuondoa hilo tatizo tafadhali.
 
Menu>browser>settings>preferences
hapa utamark pale kwenye javascript
again cheq if the protocol starts with rstp://.. ukiwaunatry streaming hzo videos
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom