Point of No Return 19
Senior Member
- Jul 2, 2023
- 194
- 455
Hellow ....
Wapendwa,
Najua kutafuta wateja siyo kazi rahisi hasa kwa mtu ambaye anafanya online business......
Mnatumia mbinu gani kupata wateja wapya?
Mnatumia njia gani kupata wateja wa kilasiku.....mbona Mimi naweza kumaliza mwezi na sipati mteja
Na ninapost kila siku......
Nimegundua kuwa Hakuna mtu mpya anaona bidhaa zangu, wale wanaoona ni wa siku zote.
Nahitaji kutengeneza jina na kupata wateja wapya kwenye online business, kabla sijafungua office kamili
Nimeona niwekeze kwanza kwenye kuwatafuta wateja.
Nifanye Nini ili nipate wateja wapya kila siku?