Jinsi ya kupamba cake kwa kutumia foundant

Siande

Senior Member
Aug 29, 2013
194
58
wapendwa nawasalim sana na hongereni kwa kulipamba jukwaa kwa mapishi mbalimbali.

Msaada ninaoomba kwenu ni kwa yeyote anayejua kupamba cake kwa fondant. nimeeanzisha kamradi ka kutengeneza cake kwa shughulibalimbali ila natumia sana icing sugar. sasa napenda kitembelea kwenye mitandao kupata ujuzi zaidi sasa huko nakutana na kitu kinaitwa foundant ambapo naona inasukumwa kama chapati na kutengenezea ribbon.

naomba anayejua anijuze hiyo foundant inatengenezwa na material/vitu gani na inatengemezwa vipi.
nafikiri mwenye huo ujuzi atanijuza na ntafurahi sana
 
Habari dada mm sina utaalamu huo ndy nataman sana kujua kwa ajili ya biashara na familia kwa ujumla..nisaidie jinsi ya kuchanganya ice sugar ktk upambaji vitu gni hasa vyavkuchanganya...asante
 
Mtafute Shaida yule Dada wa kipindi cha mapishi ITV ana cooking class kwake pesa yako tu, mcheki Instagram au FB just type SHAIDA COOKING CLASS
 
Back
Top Bottom