Jinsi ya kuongoza ndoto za usiku utakavyo (Lucid Dreams)

Vinavyowezekana kama vipi?

Vingi Takutajia Kimoja Au Viwili...

1: history Ya Mtu Au Kitu Mwanzo Hadi Kilipo,,

2: kama una psychic power ya precognition waweza kuona Nusu Au Baadhi Ya Mambo Yajayo Ukiamka Au Baada Ya Siku Mbili Tatu,,

3: waweza Jifunza ramani ya Maeneo mapya Uendayo na siku ukienda unaanza kujiuliza huku kama niliwahi kufika?

4: kuongeza nguvu ya kufikiria kwa haraka zaidi...

5: kutatua tatizo linalokukabili mbele yako...

6: kukijua kitu au kumjua mtu kabla hujaonana nae..

ni mengi mkuu mengine mimi bado sijadiscover ambayo naweza kujifunza lakini pia waweza jifunza lugha za kigeni kwa haraka zaidi.....

"Rakims"
 
Kwakawaida nikiota ndoto ilikuwa inatokea km ilivyo baada ya km sikumbili or inawezakaa atamiaka miwili ikapita but kinatokea kilakitu adi basi una uta nakumbukailendoto na huaga sisahau so naomba niulze nini ivi?
 
huo ni uwezo wa ubongo wa baadhi ya watu waliojaliwa na mwenyezi mungu sio maono wala unabii ni nguvu tu ulionayo inaitwa precognition...

"Rakims"
 
Rakims ni faida gani umeipata kwenye hii Lucid Dreams

kubwa kabisa ni kujifunza mambo nisoyajua kama historia ya maisha ya mtu yaliyopita na yajayo alipanga kufanya nini hata kama ameshafariki, pia amani afya na imani vinaongezeka na uwezo mkubwa wa kutambua matokeo ya tukio lijalo na mara kadhaa kushinda bahati nasibu sipo nazo interest sana maana naamini ni kamali na kwa imani yangu ni makatazo hivyo situmii kwa huko kingine kupunguza maumivu na msongo wa mawazo kama kuover come ndoto na kulala murua... ni nyingi faida zake lakini hizi chache mimi nimeexperience

"Rakims"
 
Mkuu, ahsante kwa darasa zako hapa JF ingawa mara kadhaa nimekumbana na changamoto
nzitonzito baada ya kuanza kujaribu vitu kadhaa, mfano kushtuka ghafla na kuhisi kama kuna
vitu ambavyo si vya kawaida chumbani na kuufanya moyo uende kasi, kushtuka usingizini na kuona
kitu kama Mwanga ambao hupotea baada ya dakika kadhaa, Pia nilikuwa najaribu baadhi ya vitu usiku
wa kuamkia leo lakini nimeshtuka usingizini na kujikuta mwili mzima ukitikisika sijui niseme kutetemeka...
yaani kama ulikuwa unavibrate hivi.

Nafikiri bado sijaweza vizuri haya mambolakini nitajitahidi.
Kikubwa ambacho kinanikera ni hii hofu ya kuhisi kuna watu au vitu vya hatari, vya ajabu chumbani
kwangu.
Rakims
 
Hiyo Ni Negative Thought Na Dark Spirit Zinakuzungukia Kuanza Mazoezi Haya Humpelekea Mto Kusogea Hatua Moja Mbele Ya Ukweli Wa Maisha Yake Kabla Ya Kuanza Kuingia Ndani Zaidi Ya Meditation Jitahidi Kuwa Una Seal Aura Yako Ili Uwe Na Confidence Ulinzi Pamoja Na Uwezo Wa Kufanya Zoezi Lako Vema Ni Hapo Tu Ndio Pana Ugumu Upande Wako I Hope Kama Unania Na Uvumilivu Siku Moja Utatoboa Tu...

Ahsante mkuu, ningependa kueleweshwa unaseal vipi hiyo aura?
 
Lucid Is Is The Best Think To Learn If Sleep Restful Is A Problem To You...
 
Attachments

  • 1434799177348.jpg
    1434799177348.jpg
    54.5 KB · Views: 300

Similar Discussions

Back
Top Bottom