Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,331
- 10,752
Ooo so sadEish nimekosana na chansi ya kutrain pamoja.
Ooo so sadEish nimekosana na chansi ya kutrain pamoja.
haaa hata kwenye babewalker hatoshi😅 ni hasara kwa kwelHahahah mume anasukuma simtank😂😂😂
mzee kwani kumeandikwa hayo ulotaja???ukishaambiwa usile wanga hata hizo chapati na maandazi ni wanga pia,unakaa navyo mbali piaKwahio aendelee kula chapati na mandazi vyakula ambavyo vimebeba mafuta kwa wingi and still vyenyewe ni wanga. Yani bora hata ugali kuliko hayo makarangizo
ugali,wali,chapati maandazi,viazi,mihogo viepuke mkuu,tumbo litapungua tu ingawa siyo kwa harakaSawa ntafanyia kazi
Nunua Prado asije akaua shockup za babe walker yako.haaa hata kwenye babewalker hatoshi😅 ni hasara kwa kwel
Pole mkuu...ukidhamiria utapungua...na ukitaka upungue zaid...kila safar zako unazofanya tumia miguu kutembea usipande gar labda kama kuna ulazima sana ...tumia usafir wa umma.zile shida utaona unakata weight...chakula ndo kila kitu.miwanga...sukari acha..mim niliacha kula vtu vya sukar mda sana natumia artificial sugars kwenye chai...znauzwa nying tu kwenye maduka makubwa..zungne ni kama vijidonge zingne ni unga kabisa...bei ndogo tu...misoda mijuisi acha..soda kunywa zenye 0 calories kama zile zero..coke etc.....mi napenda sana ugali.hapo nimefail.ila najitahid kwenye vtu vyenye sukar situmii kabisa.kwanza sivipend...itakusaidia sanaMkuuu..unavyo tuponda sisi wenye miili yetu..nliivyoona comment yako nkacheka Sana...nkakumbuka yule demu wako Kibonge ulivyokuwa unamchukia.....vipi ulishamuacha?
Mkuu niliiguwa Sana nikawa bed ridden ndo maana nkanenepa..ila fresh napambana kurudisha mwili
Unene una sababishwa hasahasa na taking high amount of carbs..glucose inakuwa nyingi mwilini na inabadilishwa kuwa fats na kutunzwa mwilini na ndo unene huo.Sikia.
Tukiwa tunanyanyua vyuma tunakua directed kula protini kwa wingi as protini hunenepesha mwili.
Ndiyo maana supplements nyingi zina protini nyingi sana.
Wanga? Asile wanga? Unajua kama wanga ndiyo inaupa mwili nguvu?
Mimi Ni Ke..Nina tumbo kuubwa, nimejaribu njia Tofauti Tofauti ila sijapata matokeo.
Nlikua nafanya mazoezi na nikipata matokeo chanya ..ila nikashtuka goti..nikifanya mazoezi linauma goti.
Je nitumie.njia gani.mbadala wa mazoezi ili nifikie lengo.
.nakosa confidence na hili tumbo langu.
N.B Picha Siwezi tuma kwa wale wapenda picha.
Unene unasababishwa hasahasa na taking high amount of carbs..glucose inakuwa nyingi mwilini na inabadilishwa kuwa fats na kutunzwa mwilini na ndo unene huo.
Protein ni upande wa muscles tu
Pharmacognosy..Kula gomba kila siku,hakiyamungu utanyooka kama rula.
Mihadatari siitakiPharmacognosy..
Khat(Gomba/Veve/Mirungu) inatumiwa na watu wanaotaka kupungua maana inakosesha hamu ya kula..Sema sasa Khat ina madhara yake na kutokula pia kwa muda mrefu na yenyewe ina madhara yake..ila kama ataweza kumoderate awe ana kula kidogo basi in few days atapata matokeo fresh
Huwezi Amini hichi kitabu Mama alinunua..ila sijawai kukisomaKuna kitabu cha dkt mmoja kinaitwa sayansi ya mapishi cha boazmkumbo kinauzwa 20,000 . Mimi kimenisaidia nilikuwa na kilo 82 kwa sasa Nina kila 65 . Tatizo ni ulaji tu na tuna elimu ya uongo kuhusiana na ulaji.
Thus why nimeweka na tahadhari mrembo ili kama utatumia njia hiyo ujue madhara yake..maana hii mihadarati ukiitumia kwa muda mrefu inasababisha dependenceMihadatari siitaki
Huwezi Amini hichi kitabu Mama alinunua..ila sijawai kukisoma
Sasa nianze kukimbizana na vitu vyenye madhara kiafya...Alafu serekali inakatza... Kisa TU kupungua..nijikute jela.Thus why nimeweka na tahadhari mrembo ili kama utatumia njia hiyo ujue madhara yake..maana hii mihadarati ukiitumia kwa muda mrefu inasababisha dependence
Uko sahihi kabisa juu ya wanga kua fat. Swali ni je "Mwili hauhitaji fat?"Unene una sababishwa hasahasa na taking high amount of carbs..glucose inakuwa nyingi mwilini na inabadilishwa kuwa fats na kutunzwa mwilini na ndo unene huo.
Protein ni upande wa muscles/tissue tu
Kuna vitu vinaitwa Macro na Micro..Macro vinahitajika kwa kiasi kikubwa na Micro ni kwa kiasi kidogo..Fats hazihitajiki sana mwilini na pia mwili unaweza kujitengenezea wenyewe sometimes as long as unapata carbs na protein..na huwezi kula chakula kisichokuwa na fats hata kidogo..Uko sahihi kabisa juu ya wanga kua fat. Swali ni je "Mwili hauhitaji fat?"
Mimi ninavyojua unahitaji fat ina fact science says six packs ni ishara kua hauna fat which is needed.
Na ninachosema mara zote humu ni kwamba... Kiasi chochote na aina yoyote ya chakula unachokula kama kinamatch na mazoezi yako wala siyo tatizo.
Sikushauri pia..maana wewe unaonekana sio risk takerSasa nianze kukimbizana na vitu vyenye madhara kiafya...Alafu serekali inakatza... Kisa TU kupungua..nijikute jela.
Kuna vitu vinaitwa Macro na Micro..Macro vinahitajika kwa kiasi kikubwa na Micro ni kwa kiasi kidogo..Fats hazihitajiki sana mwilini na pia mwili unaweza kujitengenezea wenyewe sometimes as long as unapata carbs na protein..na huwezi kula chakula kisichokuwa na fats hata kidogo..