Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

Kwahio aendelee kula chapati na mandazi vyakula ambavyo vimebeba mafuta kwa wingi and still vyenyewe ni wanga. Yani bora hata ugali kuliko hayo makarangizo
mzee kwani kumeandikwa hayo ulotaja???ukishaambiwa usile wanga hata hizo chapati na maandazi ni wanga pia,unakaa navyo mbali pia
 
Kama una changamoto ya goti huwezi kukimbia (jogging) basi jiwekee mkakati wa kutembea angalau 5Km kwa siku! Hii itakuhitaji kama saa 1 tu. Tembea kwa Kasi yaani walau 10min/km.

Kama upo mkoa wenye milima, jifunze kufanya hiking (of course unahitaji kampani). Ukitoka hiking utakuwa na njaa Kali balaa, usile ugali au chakula heavy, kula mboga mboga, then tulia. Hii unaweza kuwa unafanya mara moja kwa wiki (jmos au jpili). Utaona matokeo fasta sana.


Mengine ni nidhamu ya kula. Achana na mandazi na chapati kila siku, kula walau mara moja au mbili kwa wiki. Mlo wa usiku pia ona namna ya kupunguza kama wadau walivyoshauri. Usishindilie ugali heavy kama mpasua mbao.

Pia usitake matokeo ya haraka, kwa target ya kukata kilo 20, jipe mwaka mzima. Sema kufikia October 2021 ntakuwa na kilo 65. Utakuwa mwenye afya na mabadiliko hayo hayatakuathiri kisaikolojia wala wanaokufahamu hawatakuwa wanakushangaa na kukuonea huruma.
 
Mkuuu..unavyo tuponda sisi wenye miili yetu..nliivyoona comment yako nkacheka Sana...nkakumbuka yule demu wako Kibonge ulivyokuwa unamchukia.....vipi ulishamuacha?

Mkuu niliiguwa Sana nikawa bed ridden ndo maana nkanenepa..ila fresh napambana kurudisha mwili
Pole mkuu...ukidhamiria utapungua...na ukitaka upungue zaid...kila safar zako unazofanya tumia miguu kutembea usipande gar labda kama kuna ulazima sana ...tumia usafir wa umma.zile shida utaona unakata weight...chakula ndo kila kitu.miwanga...sukari acha..mim niliacha kula vtu vya sukar mda sana natumia artificial sugars kwenye chai...znauzwa nying tu kwenye maduka makubwa..zungne ni kama vijidonge zingne ni unga kabisa...bei ndogo tu...misoda mijuisi acha..soda kunywa zenye 0 calories kama zile zero..coke etc.....mi napenda sana ugali.hapo nimefail.ila najitahid kwenye vtu vyenye sukar situmii kabisa.kwanza sivipend...itakusaidia sana

Kuhusu yule dada bonge ..niliachana nae mda yule...sikumpenda kihivyo
 
Sikia.

Tukiwa tunanyanyua vyuma tunakua directed kula protini kwa wingi as protini hunenepesha mwili.

Ndiyo maana supplements nyingi zina protini nyingi sana.

Wanga? Asile wanga? Unajua kama wanga ndiyo inaupa mwili nguvu?
Unene una sababishwa hasahasa na taking high amount of carbs..glucose inakuwa nyingi mwilini na inabadilishwa kuwa fats na kutunzwa mwilini na ndo unene huo.

Protein ni upande wa muscles/tissue tu
 
Kuna kitabu cha dkt mmoja kinaitwa sayansi ya mapishi cha boazmkumbo kinauzwa 20,000 . Mimi kimenisaidia nilikuwa na kilo 82 kwa sasa Nina kila 65 . Tatizo ni ulaji tu na tuna elimu ya uongo kuhusiana na ulaji.
Mimi Ni Ke..Nina tumbo kuubwa, nimejaribu njia Tofauti Tofauti ila sijapata matokeo.

Nlikua nafanya mazoezi na nikipata matokeo chanya ..ila nikashtuka goti..nikifanya mazoezi linauma goti.

Je nitumie.njia gani.mbadala wa mazoezi ili nifikie lengo.
.nakosa confidence na hili tumbo langu.

N.B Picha Siwezi tuma kwa wale wapenda picha.
 
Kula gomba kila siku,hakiyamungu utanyooka kama rula.
Pharmacognosy..

Khat(Gomba/Veve/Mirungi) inatumiwa na watu wanaotaka kupungua maana inakosesha hamu ya kula..Sema sasa Khat ina madhara yake na kutokula pia kwa muda mrefu na yenyewe ina madhara yake..ila kama ataweza kumoderate awe ana kula kidogo basi in few days atapata matokeo fresh
 
Pharmacognosy..

Khat(Gomba/Veve/Mirungu) inatumiwa na watu wanaotaka kupungua maana inakosesha hamu ya kula..Sema sasa Khat ina madhara yake na kutokula pia kwa muda mrefu na yenyewe ina madhara yake..ila kama ataweza kumoderate awe ana kula kidogo basi in few days atapata matokeo fresh
Mihadatari siitaki
 
Kuna kitabu cha dkt mmoja kinaitwa sayansi ya mapishi cha boazmkumbo kinauzwa 20,000 . Mimi kimenisaidia nilikuwa na kilo 82 kwa sasa Nina kila 65 . Tatizo ni ulaji tu na tuna elimu ya uongo kuhusiana na ulaji.
Huwezi Amini hichi kitabu Mama alinunua..ila sijawai kukisoma
 
Ni kitabu Bora kabisa kwenye maswala ya chakula mama yangu alikuwa na sukari 17 now inasoma nane. Mimi mwenyewe sukari ilikuwa nane 8 kwa sasa inasoma 4-5 . Nina afya ya kutosha. Naakuomba usitumie dawa yoyote ni hatari kwa afya yako, asilimia 85 huwa ni ulaji mbaya tu. Nakiomba tena kama upo serious kisomee utakuja kunishukuru.
Huwezi Amini hichi kitabu Mama alinunua..ila sijawai kukisoma
 
Thus why nimeweka na tahadhari mrembo ili kama utatumia njia hiyo ujue madhara yake..maana hii mihadarati ukiitumia kwa muda mrefu inasababisha dependence
Sasa nianze kukimbizana na vitu vyenye madhara kiafya...Alafu serekali inakatza... Kisa TU kupungua..nijikute jela.
 
Unene una sababishwa hasahasa na taking high amount of carbs..glucose inakuwa nyingi mwilini na inabadilishwa kuwa fats na kutunzwa mwilini na ndo unene huo.

Protein ni upande wa muscles/tissue tu
Uko sahihi kabisa juu ya wanga kua fat. Swali ni je "Mwili hauhitaji fat?"

Mimi ninavyojua unahitaji fat in fact science says six packs ni ishara kua hauna fat which is needed.

Na ninachosema mara zote humu ni kwamba... Kiasi chochote na aina yoyote ya chakula unachokula kama kinamatch na mazoezi yako wala siyo tatizo.
 
Uko sahihi kabisa juu ya wanga kua fat. Swali ni je "Mwili hauhitaji fat?"

Mimi ninavyojua unahitaji fat ina fact science says six packs ni ishara kua hauna fat which is needed.

Na ninachosema mara zote humu ni kwamba... Kiasi chochote na aina yoyote ya chakula unachokula kama kinamatch na mazoezi yako wala siyo tatizo.
Kuna vitu vinaitwa Macro na Micro..Macro vinahitajika kwa kiasi kikubwa na Micro ni kwa kiasi kidogo..Fats hazihitajiki sana mwilini na pia mwili unaweza kujitengenezea wenyewe sometimes as long as unapata carbs na protein..na huwezi kula chakula kisichokuwa na fats hata kidogo..
 
Nakufatilia mkuu, shule yako imetulia sana na kama jamaa haelewi ana lake jambo. kiufupi wanga unaohitajika na mwili unapatikana ktk makundi mengine ya chakula. Na mwili hauhitaji wanga kwa kula wanga kama tunavyofanya Ila kutoka kwa makundi mengine. Mimi mwenyewe sijala vyakula vya wanga kwa miaka 3 na nipo fresh na afya tele.
Kuna vitu vinaitwa Macro na Micro..Macro vinahitajika kwa kiasi kikubwa na Micro ni kwa kiasi kidogo..Fats hazihitajiki sana mwilini na pia mwili unaweza kujitengenezea wenyewe sometimes as long as unapata carbs na protein..na huwezi kula chakula kisichokuwa na fats hata kidogo..
 
Back
Top Bottom