Jinsi ya kuomba mkopo HESLB

RITZDEO

Member
Sep 12, 2014
23
1
mi nimelipia sh 30000 kwa mpesa kwenda HESLB tangu juma tatu, voda wakanitumia ile sms ya uthibitisho ambayo ina ID transaction lakin paka leo hii nikiingiza izo ID transaction kwene OLAS ili niapply wananiambia kwamba invalid transaction wakati nimeshalipia, nikawapigia voda kuwaeleza tatizo wakasema wao tayar wameshatuma taarifa za namba yangu ya 4m4 ambayo ndo nililipia iyo pesa loan, wakanipa namba ya mezani niwapigie loan board kuwapigia hawapokei, kwa anaefaham zaid anisaidie.[h=1][/h]
 
Du pole kwa usumbufu. labda ujalibu kuwaambia voda warudishe hiyo hela kwenye account yako afu ujalibu tena. zaidi sina uzoefu
 
hao jamaa hawapokei simu mkuu.cha muhimu nenda ofisini kwao
 
(Ritzde),hebu nifundishe jinsi ya kuomba mkopo,maana kila nikiingiza reference number inakataa,sijui kwa nini?wewe uliingiza ngapi hiyo reference namba?
 
usiwe na haraka huwa inaweza ikachukua mda kidogo huwezi ukalipa na ukaingiza hizo transaction ID siku hiyohiyo zikakubal inaweza ikachukua hata siku 4 hadi 5

Tumezivamia hizi technology pasipo kujipanga,ni ujuha u-apply leo ili ije kukubali ichukue siku 4,HESLB wajipange waongeze links,waongeze capacity za servers,Servers zao ziwe na capacity ya kuprocess applications nyingi at a time.
 
Wadau imekua tabu kuomba heslb,reference namba ni ngapi?why inasema utility number wrong,mwenye kufahamu tuambiane basi
 
Back
Top Bottom