Jinsi ya kumuona mchawi kama wewe si mchawi kwa kutumia limao

We utakuwa mchawi namba moja, biblia inasema usimwache mwanamke mchawi aishi
Shida ni kwamba unadhani hata mimi naamini biblia au koran au vitabu vya dini, siviamni na siamini kama uchawi wala shetani na mungu kama wapo.

Uchawi haupo, nilishawapa go aheas wachawi humu waniroge sijaona, nishawapa go ahead wachawi wote wa mtaani waniroge na wengine niliwahi kuwaadhibu nikawapa green light ya kuniroga sijaona nimerogeka.

Wewe ni kile unachokiamini. Siamini katika hayo mambo.
 
Nataman hayo maneno yako ungeyasema huku mtaan kwetu. Kesho tu ungejikuta umelala nje
Hahahaaaa.
Nishawapa go abead wachawi kibao tu wa vijijini, mitaani waniroge sijawahi kuona nimerogeka, kuna kipindi niliwahi kuishi tabora, usiku nikiwa natoka milele nikamkuta mtu nyuma ya ukuta wa nyumba yangu, nikamchapa viboko nikamwambia akaniroge na wenzake sijawahi kuona.

Kuna mwingine tena hivyo hivyo nikamkuta usiku njia panda nikamzaba vibao alikimbia mbaya nikajua ataniroga wap.

Nimekaa bagamoyo nikawapa wachawi go ahaed waniroge wapi.

Kama unamjua mchawi mwambie aniroge namruhusu au kama wewe ni mchawi niroge tu kaka haina shida.
 
Hivi kweli jamani ukimuona mchawi na yeye akuone akuache bila kukudhuru hata baadae, au mleta post anatuambia nikimuona mchawi live huyo (mchawi) atafurahi?
 
Hahahaaaa.
Nishawapa go abead wachawi kibao tu wa vijijini, mitaani waniroge sijawahi kuona nimerogeka, kuna kipindi niliwahi kuishi tabora, usiku nikiwa natoka milele nikamkuta mtu nyuma ya ukuta wa nyumba yangu, nikamchapa viboko nikamwambia akaniroge na wenzake sijawahi kuona.

Kuna mwingine tena hivyo hivyo nikamkuta usiku njia panda nikamzaba vibao alikimbia mbaya nikajua ataniroga wap.

Nimekaa bagamoyo nikawapa wachawi go ahaed waniroge wapi.

Kama unamjua mchawi mwambie aniroge namruhusu au kama wewe ni mchawi niroge tu kaka haina shida.
twende pole pole una maana huna iman na kitu chochote?
 
Wuuuuuuuuhhhhhhh
Wanajamvi.
Katika kuendeleza tamaduni na mila za kiafrica kitengo kimoja cha uendeleza na utfiti wa tiba, katika mkutano wa pamoja wachawi waliombwa walete theory ya ungo ili uboreshwe uweze Kuwa usafiri wa wazi kama vyombo vingine mfano kama hivyo vya Boeing, Mc Donald Douglas Saab, Air Bus nk.
Waliomba muda wa kutoka nje waoongee waliporudi wanasema haiwezekani sababu wasafiri lazima wavue nguo kusafiri...aaaa ikaonekana hii kitu hakuna ni hadisi tu!
 
twende pole pole una maana huna iman na kitu chochote?
Ndio, hasa kinachoweza kubadili maisha ya mtu au kinachohusiana na mstakabali wa maisha ya mtu mfano uchawi, maombi nk.

Vitu hivyo siviamini kabisa hata kama vipo au vitathibitika kuwepo havina madhara kwa maisha ya mtu.
 
Back
Top Bottom