Jinsi ya kumtambuilisha mtoto wa nje kwa mkeo

Swala ni kwamba akibaki huko hatafahamiana na wenzake na hatari yake wanaweza kufanya mahusiano ambayo yatagrarimu zaidi, kama kuoana au kufanyiana vitu vibaya pasipo kufahamiana, na pia ufahamu kwamba huyo ni binadamu na laziam aoe au kuolewa je utafurahi ukiambiwa kuwa mumeo ana kikao cha harusi ya mtoto wake wa nje na wewe humjui????? afadhali kama anaomba msamaha amtambulishe na aendelee kuishi huko huko japo atakuwa na malezi tofauti
mi hainihusu pilau!hainihusu kabisa watajiujua mamake na babake huko huko walikokukatana wakatiana mimba mi sitaki huo upuuzi nyumbani kwangu,nasave kwa ajili ya wattoto wangu sio wa mwanamke mwingine!
 
wazazi huwa wankuwa wabinafsi...kitendo cha kumleta mtoto wa kufikia nyumbani na akajua kuwa huyo anayeishi naye si mama au baba yake tayari ni athari kwa mtoto kisaikolojia

af we una akili wewe!sijui nikuletee bia gani?
 
Mwisho wa siku kila mtu ana maamuzi na maisha yake...nyumba yangu si ya intruders...sikulelewa katika hayo mazingira hivyo kama nitasamehe msamaha wangu hauta include kulea mtoto wa nje...atalelewa na mama yake for his/her own sake nadhani nimeeleweka...siwezi mpenda mtoto wa nje kama mwanagu hiyo ni black and white to me.

akalelewe huko huko na mamake!mi siwezi kusave kwa ajili pia ya mtoto wa nje!no way!nitalea wanangu niliowabeba tumboni miezi tisa,by the way mwanamke unakuwa na guts gani za kuchukua mume wa mwenzio na kisha kumpelekea mtoto wako akulelee mwanamke uliyemdhulumu haki yake kwa mume?huoni kama unampeleka yule mtoto kwenye risk?si sielewi kabisa!
 
Kulea hutamlea
na akija kumsalimia baba yake na ndugu zake?
utamfukuza?
 
Kulea hutamlea
na akija kumsalimia baba yake na ndugu zake?
utamfukuza?
kiukweli kwa kunisaidia tu nisingependa huyo mtoto afike nyumbani kwangu The Boss,mamake na babake watajua watamlea vipi na itakuwaje kwa ndugu zake thts not my case!mambo mengine muwe mnatufkiria wenzenu yani inaumiza kwa kweli na kama mtu una watoto wakubwani ngumu zaidi they will question u,tena bora waishie kuuuliza tu wanaprobe!ilikuwaje mama?ilikuwaje baba ,wat happened?mi katika vitu napenda kuvimantain ni hadhi ya baba nyumbani kwangu,sasa katika hili kwa watoto wangu ninavyowajua itawatengenezea image mbaya sana kwa baba yao,so kuepusha hilo its better off mtoto wa njea akabaki huko huko!
 
Kabla ya kumtambulisha mtoto wa kambo, Mimi naona inategemea huyo mkeo yukoje!(elimu,uzoefu,Umri, uvumilivu wake wa mambo mbalimbali) vitakusaidi ku predict the effect. Halafu pia inategemea huyo mtoto wa nje ulimpata kabla ya kuoa au ndani ya ndoa yake.Vinginevyo itakuwa ngumu.
Just imagine, Waislamu wanasema ukitembea na mke wa mtu, ili uweze kusamehewa dhambi zake ni lazima ukakiri mbele ya yule mume wake kuwa umezini na mkewe na unaomba msamaha huku ukiwa unamkabidhi Panga.Kama ni ngumu jua dhambi zako Hazisameheki.
 
kiukweli kwa kunisaidia tu nisingependa huyo mtoto afike nyumbani kwangu The Boss,mamake na babake watajua watamlea vipi na itakuwaje kwa ndugu zake thts not my case!mambo mengine muwe mnatufkiria wenzenu yani inaumiza kwa kweli na kama mtu una watoto wakubwani ngumu zaidi they will question u,tena bora waishie kuuuliza tu wanaprobe!ilikuwaje mama?ilikuwaje baba ,wat happened?mi katika vitu napenda kuvimantain ni hadhi ya baba nyumbani kwangu,sasa katika hili kwa watoto wangu ninavyowajua itawatengenezea image mbaya sana kwa baba yao,so kuepusha hilo its better off mtoto wa njea akabaki huko huko!

Mkifa wazazi watoto watasumbuana
bora wafahamishwe mapema...
achilia mbali possibnility za sex kwa ndugu
 
mi hainihusu pilau!hainihusu kabisa watajiujua mamake na babake huko huko walikokukatana wakatiana mimba mi sitaki huo upuuzi nyumbani kwangu,nasave kwa ajili ya wattoto wangu sio wa mwanamke mwingine!
snowhite kweli haikuhusu lakini kimetoea na kosa limeumbiwa mwanadamu,bahati mbaya mumeo kaonja tu ka binti kanogewa kakajaza mimba..... lahaula wa kwata mimi nakuuliza utafurahi hao watoto wasifahamiane? maana kuna leo na kesho na huwezi ukajua ni nani atakayekusaidia au watasaidianaje duniani, pia zingatia kuwa mtoto kama mtoto hana kosa lolote kwani amejikuta katika mazingara hayo, kwanini umnyime haki ya kuwafahamu kaka na dada zake? hasira hasara, kama mumeo akiwatambulisha wanao bila wewe kujua si utajisikia vibaya zaid, piga moyo konde muombe MUNGU aepushilie mbali lakini likikukuta au kwa wengine wape ushauri huo
 
mi sijasema haliwezi kunikuta na kwa haya maisha haya inawezekana wapo huko!lakini ninalokataa mimi ni kutambulishwa hao watoto,hayo ya huko mbele yatajiset huko huko,nisichotaka ni kutletewa huyo kid iwe kwa kumlea au kuambiwa tu yupo,nikisha mjua ndo kiwe nini?wanangu wakishamjua ndo inasaidia nini?
 
Mkifa wazazi watoto watasumbuana
bora wafahamishwe mapema...
achilia mbali possibnility za sex kwa ndugu

watasumbuana na wangu no way!naset kila kitu kwa ajili yao!huyo mmwingine sijui anaingilia wapi?mke anahangaika kivyake naye kishtobe ahangaike kivyake kumjenge mttot wake misingi ya maisha ya kueleweka!kuhusu sex baina ya ndugu hayo ni nasibu sana,yanaweza hata kutokea kwa ndgu wengine wasio wajua kihalali sio kwa kufichwa,so i wont bank anything katika kutambulisha mtoto wa nje!
 
mbona simple tuu; unamtoa wife out unampiga na wine za kutosha then mkiwa chumbani baada ya awamu ya kwanza unaanza...yaani wewe mwanamke sijui nikikukosa kama naweza kuishi tena; yaaani sijawahi kuona wa mfano wako na sidhani kama itatokea; lakini bana na wewe huwa unaniuzi sijui kwa sababu unajua ninavokupenda!! Hivi unakumbuka kipindi kileee ulinibania nikatoka kwa hasira nkarudi usiku niko chakari?yaani siku ile nilifanya kosa linaloninyima amani hadi leo; banaeee si nilikutana na msichana fulani hivi alikuwa anasoma na mdogo wangu basi ktk kubadilisha mawazo yaani my blood got hot si tukaduu!na ile mipombe sikukumbuka koti yaani....hapo unatoa machozi kidogo...nitaendelea baadae; ila angalizo unaweza kuwa umevaa helmet wakati wa mazungumzo haya na pia hakikisha hakuna maji yanayochemka karibu
 
Kabla ya kumtambulisha mtoto wa kambo, Mimi naona inategemea huyo mkeo yukoje!(elimu,uzoefu,Umri, uvumilivu wake wa mambo mbalimbali) vitakusaidi ku predict the effect. Halafu pia inategemea huyo mtoto wa nje ulimpata kabla ya kuoa au ndani ya ndoa yake.Vinginevyo itakuwa ngumu.
Just imagine, Waislamu wanasema ukitembea na mke wa mtu, ili uweze kusamehewa dhambi zake ni lazima ukakiri mbele ya yule mume wake kuwa umezini na mkewe na unaomba msamaha huku ukiwa unamkabidhi Panga. Kama ni ngumu jua dhambi zako Hazisameheki.

Mmh! Kama hivyo ndivyo nadhani watakaoingia peponi watakuwa wachache! Ni wanaume wangapi wamefanya hivyo! Nadhani tutaendelea kuingia kwenye Masjid wakati hatujaomba msamaha wa kufanya ukware na wake za watu.
 
af we una akili wewe!sijui nikuletee bia gani?

mkuu shukrani mimi huwa hiyo kitu situmii, ila unaweza nitupia kitu cha Guinness Malt hivi....ila ukweli ndio huo maana mimi nimeona mifano mingi sana kwa ndugu zangu. Inafika kipindi unakuta mtoto anajiuliza ninawezaje kuishi hapa wakati baba/mama yangu yupo hai kimsingi anakuwa hajiamni na hawi huru
 
Back
Top Bottom