Jinsi ya kumtambua SHOGA aka BWAWA huko jela.

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,062
Kumbe ni Mashoga wa jela ndiyo walianzisha huu mtindo wa Mtepesho? Loohh, kazi kweli kweli.

Ukivaa Huu mtepesho (Pant Sagg) wakakushika masaburi na kukuomba uliwe kidogo, usije ukalialia.

563836_329414927119394_176094182451470_890483_1662854574_n.jpg
 
Ni muhimu urudi Mkuu maana vijana wa siku hizi wanadandia kila kitu kutoka majuu hata kama hawajui maana yake.

Inabidi watu wafahamu wanavaa au kula nini. Siyo kurukia tu mambo ovyo.
nitarudi....
 
Imekuwa kero kwa hawa wanaume kwani wengine mpaka wanatia aibu
 
duuu, hapo naamini ubishoo (usharobaro ) na USHOGA ni kama mapacha ville
 
Boflooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo?
 
Kumbe ni Mashoga wa jela ndiyo walianzisha huu mtindo wa Mtepesho? Loohh, kazi kweli kweli.

Ukivaa Huu mtepesho (Pant Sagg) wakakushika masaburi na kukuomba uliwe kidogo, usije ukalialia.

563836_329414927119394_176094182451470_890483_1662854574_n.jpg

Daaah...!!! Mbona maeneo ya "Mfereji wa laana" wa huyo jamaa yanatamanisha hivo?
 
Yaani huwezi kuamini. Sharo anavamia tu mambo kwa mbele.

Ona sasa wanashindana na Boflo kutangaza soko bure bure. Wakikushika Makalio kama Aunt Ezekiel, unakuja juu.

Sharobaro pandisheni suruali bana. Si lazima muwe kama Pedeshee ila zipande kidogo kuficha KUFULI.
duuu, hapo naamini ubishoo (usharobaro ) na USHOGA ni kama mapacha ville
 
Boflo unaitwa huku na wenzako.............

Sina uhakika kama jamaa na yeye anavaa mtepesho.

fashion-fail-pants-sagging.jpg
Sikonge ....mimi ni mnyamwezi mwenzako na wanyamwezi wengi ni mapunga except me & I doubt u r among

them..........na hii inatokana na kuchanganyika sana na waarabu

9Ru5fzTDz5OsZwAAAABJRU5ErkJggg%3D%3D
X

Last edited by a moderator:
Hahahaa, Sasa Mami vipi tena bana? Wanyamweziwepi hao unasema? Labda wa USA.

Au Unyamwezi wako ni kama King Kong III anavyosema hapo juu kuwa wewe ni FREEMASON?

Mhh, hapa kijijini kwetu hayo hayapo kabisa na wakikusikia tu, wazee wanakupa laana ya kukufunulia nyeti na kuzipaka majivu. Hiyo hata ufanyeje, unakuwa umeshamalizwa. Labda kama Unyamwezini kwenyewe wakusikia tu.

Sikonge ....mimi ni mnyamwezi mwenzako na wanyamwezi wengi ni mapunga except me & I doubt u r among

them..........na hii inatokana na kuchanganyika sana na waarabu

9Ru5fzTDz5OsZwAAAABJRU5ErkJggg%3D%3D
X

Similar Discussions

Back
Top Bottom