Jinsi ya kumkamata anaye-cheat kwa kutumia simu...

hahaha Nna similar app installed in me Droid but so as to catch a thief if my 4ne gets stolen or lost! Never thought of this, ngoja ntafte cam kabsa nijiandae nihost na cheaters while i'm at it

  • :becky:
    • :becky:


 
Hivi mjukuu wangu afrodenzi, una ugomvi gani na mimi? Kwanini umeamua kunivunjia ndoa yangu mchana kweupe namna hii?
 
Last edited by a moderator:
ni mambo mengi yanatokea ndani ya mahusiano ya wawili.
Na moja ya hilo jambo ni ugomvi. Na ugomvi mwingi hutokea sababu
ya kutokuaminiana.

Anyway jambo moja ambalo wengi limewashika shati ni hili ku "cheat"
na huwa wengi hutafuta jinsi ya kuwakama wanza wao wanaodhulumu penzi.

Asante kwa mambo ya kisasa . Sasa kumkata anae cheat imekuwa rahisi kama kusoma
jf kwenye cellphone.

Kuna apps mbili moja ajili ya iphone na nyingine ya adroid... Na bei poa kweli kuanzia $2.99us mpaka $2.42 us.

ya adroid phone hii hapa link.
https://play.google.com/store/apps/...smswyldixmiwiy29tlmj1c3rlzgjvb2tzlnnwewfwccjd

ya iphone hii hapa link.
https://itunes.apple.com/us/app/spy-tools-cheating-spouse/id415808214?mt=8

yaaaniii mmhhh kila details ziko humo. Unaweza kusoma message zake zote, unaweza kusikiliza maongezi yake yote,
unaweza kutrack kila anapopita, kila anapokaa, i mean kila kona atakayoenda. Na unaweza kuona pia yuko wapi bila hata ya wewe kugusa simu yake.

So wale ndugu zangu na mie "nimebanwa na kikao kumbe yuko nyumba ndogo " muda wenu umefika.
Hakuna tena mambo ya ku guess na kutoaminiana. Ingia kwenye simu yako download hizo app kazi ianze..

Asante kwa technology kila kitu kitakuwa hewani.

Ps. Kuna wengine hawataipenda hii thread kwa hiyo pita zako tu ...
Na kwa wale wanaowaamini wapenzi wao hii thread haiwahusu,,

be safe, take care.
Afrod.

da ayo ndo mambo ya kishua hapa mjini. Afu wang kamba mbaya wakat ndo huoooo6
 
Haya makorokoro yameanzia Europe, but hayajapunguza hata 1% of cheating, Sembuse Bongo. Let me cheat forever coz cheat is a free trainer of love
 
Kweli watu wabishi!! Lol



Sijui hapa Joseph kasemaje... Kakubali kutembea uchi?
Sidhani kama wewe unaweza kukubali kutembea uchi,inawezekana sikulijibu hilo swali ila haimaanishi kuwa nilikubaliana nalo.
 
Haya makorokoro yameanzia Europe, but hayajapunguza hata 1% of cheating, Sembuse Bongo. Let me cheat forever coz cheat is a free trainer of love

This is a new concept of love. I must admit I was not aware of it!
 
ni ya kulipia.. sijaona njia rahis ya kulipia..naona kuna Visa,mastercard,discovery JCB. KIBONGO KIBONGO...tunafanyeje ili kudownload..na tulipie
 
Haya makorokoro yameanzia Europe, but hayajapunguza hata 1% of cheating, Sembuse Bongo. Let me cheat forever coz cheat is a free trainer of love

Muzee hayo mambo achana nayo kabisa. Siku moja utaumbuka. Kuna devices unaweza kupandikiziwa kwenye nguo utakazo vaa siku husika. Kwa mfano jamaa 1 alipo hisi mpenzi wake ana cheat, alichokuwa anafanya ni kujifanya anamkumbatia huyo anaye mshuku mabusu ya kumwaga kumbe anapanikiza hizo devices. Mwisho wa siku unajikuta unakamatika ki ulaini?
 

Attachments

  • Afrod. Pen..jpg
    Afrod. Pen..jpg
    41.9 KB · Views: 60
Back
Top Bottom