Jinsi ya kuhesabu m-cycle kwa couple

mie m cycle yangu siielewi kabisaa mfano nilipata me I then august na je hili nitatizo mana nimeenda hospital I nikawaambia inafika wakati napitisha hata miez 3 nikaambiwa haina shida.

sasa nikitaka kujua ovulation yangu nitaangalia nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom