Salamu ndugu zangu, nina imani na kuthamini michango yenu wadau ila please comment positively. Mimi ni muhitimu wa uhasibu katika chuo kimojawapo hapa Tanzania na GPA yangu ni 3.8. Pia nilihitimu CPA mwaka jana na sasa yapata mwaka sina kazi wadau. Katika eneo ninalokaa nimejaribu auditing firm ila majibu hawajanipa ni miezi minne sasa. Nahihitaji ushauri wa kufikia ndoto zangu si utaratibu za kufungua auditing firm au namna nyingine ya kunisaidia.
Please I look foward your posittive and constructive ideas.
Please I look foward your posittive and constructive ideas.