jinsi ya ku unlock moderm huawei

Nina shida kama hiyo bora umekuja na swali hili. Nitarudi baadae kujifunza toka kwa wataalam.
 
model:k3565 Rev 2
HSDPA USB stick
imei:356408030899970


hii mordem nilisha angaika nayo kwa ku update farmware na kwa kutumia dc unlocker na njia nyenginezo zote zimegonga mwamba hebu wataalamu tusaidieni mana hizi mordem za k3565 Rev 2 ningumu sana
 
Back
Top Bottom