Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

ebunione kama utashidwa tena hata kwa picha
b83714e6cc203e23174553fb5f38fda6.jpg
 
Wale slow leaner fanya hivi.
Chukua Carl blackett kama hii hapa [ ].
Then ndani ya blacket andika jina ya langi unayotaka bila kuluka nafasi.
Mfano kama ni blue,
Andika ndani ya blacket
Color=blue bila kuluka nafasi.
[Color = red] hapa nimeluka nafasi ila ww usiluke nafasi
 
Back
Top Bottom