Jinsi wasanii wanavyoshiriki matamasha

Mkaa Mweupe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
654
183
Leo katika viwanja vya mnazi mmoja kuna tamasha la siku ya figo duniani linaendelea na kwa sasa lipo live kwenye TBC1.
Jambo la kushangaza ni pale baadhi ya wasanii kama Tito kukataa kuvaa t-shirt yenye ujumbe wa tamasha husika akidhani nguo zake za kisharobaro ndio za kupandia jukwaani.
Jamani tujaribu kuwaelimisha watu wanaposhiriki tamasha sio onyesho la binafsi kuonyesha mavazi. Lengo ni kufikisha ujumbe kwa wanaokutazama.
Nawasilisha.
 
Wasanii wengi 2 niliwaona kwenye lile tamasha hawakuvaa hzo tshet,nazan ni vyema waandaaji kuwapa masharti b4,kama kweli msanii anajihic hawez kupiga show bila kuvaa ki'sharobaro' anapigwa chini anatafutwa mwingine,wasanii kbao wanaotaka nafas km hzo ya nini kusumbuana na hao wasio waelewa...?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom