Jinsi walimu tulivyoanza kugawanywa kimatabaka awamu ya tano

Hebu waje waaalim watuambie kama kweli walilipwa elfu kumi? Kwa usimamizi
 
Taifa la watu wa kulalamika tu, shukuru kwa hicho kidogo ulichopata wenzako hawajui mchana watakula nini? Be patient tanguliza uzalendo mbele usitangulize pesa, Hii nchi imetoka mbali kuna wazee wameitumikia mpaka hapo ulipoikuta, wangetanguliza pesa mbele usingekuwa mwalimu, Tusilaumu kila kitu nyie walimu ni sehemu ndogo Sana la Taifa hili la watu zaidi ya milioni 45
Atatangulizaje uzalendo wakati anakufa kwa njaa kama analipwa 10000 na nauli tu ni 14000.
 
Walimu ni shida, kuna mwalimu mchaga pale mtoni shule ya msingi anakaa kinondoni mwaka sasa hajaenda kazini anajifanya anaumwa eti ana dose lakini yeye na mume wake wanahishi, mwanamke anajiuza maana utamkuta na wazungu kimahaba, tunakutana bar usiku, nilichukua no ya simu siku nipompigia kuomba mchezo akasema nimuandalie laki mbili akaja nikapiga nikampa 20 akalalamika huyo ila Yule mkuu wake sijui ananini

Kwahiyo soon mtasaidiana kula dozi! Halmashauri inamlipa hela ya dozi anayotumia! RIP wewe
 
Shukuru Mungu kwan kuna watu ata hawana uhakika wa mia5 kwa siku...alafu fanyen kaz sio kulaum tu wakat hii nchi ni yakuchapa kaz sio kudeka deka....
 
Taifa la watu wa kulalamika tu, shukuru kwa hicho kidogo ulichopata wenzako hawajui mchana watakula nini? Be patient tanguliza uzalendo mbele usitangulize pesa, Hii nchi imetoka mbali kuna wazee wameitumikia mpaka hapo ulipoikuta, wangetanguliza pesa mbele usingekuwa mwalimu, Tusilaumu kila kitu nyie walimu ni sehemu ndogo Sana la Taifa hili la watu zaidi ya milioni 45
Gussie akili zako mbovu kabisa pia inawezekana huna hata chembe
 
Alafu awawalimu ndiowanaongoza kuwamakada wa ccm nandiowatumishi wanaoonewa kulikowote Tanzania sijui nanikawaroga kwenyesherehe zaemwenge waondiovinara wakuvaasare zamwenge wanakera
 
Fuata hatua za uandishi ndio urudi! Unakosoa walimu wakati kuandika hutulii kama umekalia mwiba bwana!
 
Taifa la watu wa kulalamika tu, shukuru kwa hicho kidogo ulichopata wenzako hawajui mchana watakula nini? Be patient tanguliza uzalendo mbele usitangulize pesa, Hii nchi imetoka mbali kuna wazee wameitumikia mpaka hapo ulipoikuta, wangetanguliza pesa mbele usingekuwa mwalimu, Tusilaumu kila kitu nyie walimu ni sehemu ndogo Sana la Taifa hili la watu zaidi ya milioni 45
Ukiwa na mawazo ya kimaskini ni hatari sana.
Mtu kudai kulipwa kingi kuna uhusiano gani na wengine wanaoshindia mlo mmoja?
Umaskini hauwezi kuuondoa au kupunguza kwa kuwachukia wanaolipwa mshahara mkubwa au matajiri.
Pole sana.
 
Alafu awawalimu ndiowanaongoza kuwamakada wa ccm nandiowatumishi wanaoonewa kulikowote Tanzania sijui nanikawaroga kwenyesherehe zaemwenge waondiovinara wakuvaasare zamwenge wanakera
Ha ha ha nyie ndiyo mnaoshia njiani hamfiki shule.
Unawakashifu walimu kwa uandishi huu?
Ha ha ha ha. Ungekuwa shuleni. Ungenikoma ww. Bahati yako umeishia darasa la pili. Tafuta mwalimu wa tuition kwanza ndiyo uje kujibu hoja
 
Ombi lako limesikika dada naamini huo ni uonevu kwa baadhi ya wilaya
Tushukuru mitandao ya jamii
Kwani ufumbuzi utapatikana

Hoja yako nzuri sana dada
 
Inasikitisha, kwa hakika na Elimu sasa inakufa.

Baada ya mitihani ya kidato cha nne, leo mitihani ya kidato cha pili inaanza tarehe 14/11/2016

Kwa kawaida mitihani hii walimu ulipwa posho ya usimamizi, semina na nauli ya kuja kwenye semina. Aghalabu semina na nauli huwa ni wastani wa elfu 30 mpaka 40 kwa siku moja.

Kisha fedha ya usimamizi kwa siku huwa elfu 25, mwaka jana ilifika elfu 40 kwa siku. Kwa hesabu mwalimu akisimamia siku sita mpaka saba waweza pata posho ya Tsh 200,000/ (laki mbili) au juu kidogo ya hapo.

Mwaka huu tumegawanywa kila wilaya/ mkoa una kiwango chake na kisichozidi elfu 30 (ajabu sana hii)

Kilosa wilaya imevunja rekodi, walimu wamelipwa semina pamoja na nauli Tsh. 10000/= (elfu kumi tu). Na kila siku moja ya kusimami italipwa Tsh 10000/= (elfu kumi) yani kama ukisimamia siku sita utalipwa tsh 60000/= (elfu sitini).

Kumbuka mitihani hii unasimamia nje ya kituo cha kazi.

Tuanze na semina iliolipwa Tsh 10000/= semina hufanyika wilayani, kuna walimu (kulingana na jiografia) hutoka mbali kuja kuhudhuria semina. Kwa mfano kwa wilaya ya kilosa, mwalimu akitoka mikumi kuja wilayani nauli ni Tsh 7000/= kwenda na kurudi ni Tsh 14000/= hapo sijaweka kitu kingine chochote cha ziada ikiwepo kulala na kula maana hawa ulazimika kusafiri siku moja kabla.

Wapo wanaotoka mbali zaidi, kama Ruaha, Uleling'ombe hutumia hadi elfu 20 kwa safari ya kuja tu, lakin leo serikali inalipa Tsh 10000/= pesa ambayo haitoshi kutoka mikumi kuja wilayani kilosa. Hivi hii ni sawa?

Mwalimu anaondoka nyumbani kwake anaenda kusimamia mitihani kituo kingine, tufanye kila kitu ni constant hivi elfu 10 kwa siku si ni nauli tu? Na kwa wengine haitoshi hata nauli.

Tuache La pesa, Mwaka huu eti wasimamizi wakuu (Supervisors wa mitihani ni mkuu wa shule husika, Kweli? Tunapenda elimu au tunaiua?

Kuhusu malipo, Wapo watakaosema ni sehemu ya kazi, lakini ukweli ni kuwa mitihani inaenda hadi muda wa ziada, yaani wakati saa za kazi zikiisha saa 9:30 mchana mitihani hufanyika hadi saa 11 jioni.

Lakini pia kutoka nje ya kituo cha kazi bado inaifanya hoja hiyo kuwa hafifu kwa mujibu wa sheria za utumishi.

Swali linabaki kwanini tulipwe kila wilaya kwa viwango vyake, mnatugawanya?

Kwanini elfu 10 kwa siku ni haki?

Elimu inakufa. Uzi huu ubaki kumbukumbu, siku moja tutaambiana.

Tunafanya kazi tukiwa tumevunjwa moyo, lakini hakuna namna. Tutafanya.

Siku njema. Siwezi kuwa adui kwakusema ukweli.
Ombi lako limesikika dada naamini huo ni uonevu kwa baadhi ya wilaya
Tushukuru mitandao ya jamii
Kwani ufumbuzi utapatikana

Hoja yako nzuri sana dad
 
Katika kada ya taaluma ambayo sitaionea "huruma yangu" ni kada ya ualimu. Huwa inapofika wakati wa uchaguzi mnajifyatua ufahamu. Hamsikii wala hamuelewi kuhusu mabadiliko ya uongozi, ninyi hamuangalii mtu anaefaa kuongoza Bali mnaangalia chama. Endeleeni kulalamika mpaka mtakapoona wanachoona wenzenu
 
Back
Top Bottom