Jinsi series au movie za nje zinavyoaffect in real lyf

g4cool

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
428
200
Najua humu wengi ni wapenzi wa series au movie toka nje hasa marekani na wakorea, hivi umeshawahi kutokewa na kitu in normal lyf ukadhan ni real then baadae ukaja kukigundua kumbe kilitokea kwenye movie, mi nimetoka kuangalia series inayoitwa person of interest sasa kila nikisikia mlio wa simu ya mezani huwa nafikiria ni new number, yaan victim/perpetrator anaehitaji kusaidiwa na kina finch dah!!
 
hii series ya EMPIRE watu wanaipenda sana af mule ndani kuna jamaa shoga na baadhi ya watazamaji wanamkubali acha, bila kujua kwamba hizo series zinaletwa huku kama kuintroduce HOMOSEXUALITY/USHOGA nchini.. Jinsi unavyozidi kumkubali yule jamaa shoga ndo jinsi unavyozidi kuona USHOGA ni kitu cha kawaida na mwisho wa siku kukubali serikali ihalalishe MAPENZI YA JINSIA MOJA.. wazungu wanatumia movies sana kuwashawishi watu, tuwe makini.
 
Dah hicho unachosema ni kweli kabisa
 
Mtaani nilipokulia kuna mwana aliolewa kabisa, na ubwabwa tulikula. Hiyo ilikuwa miaka kibao kabla series hazijafika Bongo.
Unavyosema series zinatumika kuintroduce ushoga nashindwa kuelewa ilhali ushoga upo tangu kale.
 
Mitazamo tu
 
Zinaletwa huku na nani wakati majority wanaoangalia huku wanaangalia kazi za wizi?! Hivi kama sio hizi teknolojia kama Torrents and the like unadhani Afrika wangekuwa wanazipata kirahisi hizo?!

Suala la ushoga wala sio kwamba wanalenga Afrika bali ni wenyewe kwa wenyewe!! Linapokuja suala la ushoga na LGBT kwa ujumla bado miongoni mwao wanatofautiana sana! Miongoni mwao wenyewe; wapo wenye misimamo kama ya Afrika; hususani African Americans kwamba ushoga ni uchafu na ushenzi usiopaswa kuwepo kabisa lakini Wamarekani Mambo Leo kama akina Obama wanaamini kila mtu ana uhuru wa kufanya atakacho na wale waliochagua kuwa mashoga wasinyanyaswe!!!
 
Mtaani nilipokulia kuna mwana aliolewa kabisa, na ubwabwa tulikula. Hiyo ilikuwa miaka kibao kabla series hazijafika Bongo.
Unavyosema series zinatumika kuintroduce ushoga nashindwa kuelewa ilhali ushoga upo tangu kale.
UKWELI MTUPU! Afrika tunapenda sana kuwasingizia wengine matatizo yetu!!! Kama ulivyosema; ushoga upo enzi na enzi lakini leo tunataka kusingizia series! Watu wanapiga miti hadi kuku au mbuzi mambo ambayo sijawahi kuyaona kwenye series yoyote ile lakini linapokuja kugeuzana wenyewe kwa wenyewe tunataka kusingizia series na wazungu kwa ujumla!!!!

Tofauti yetu na wazungu ni moja tu... wakati wazungu hawajifichi Waafrika kuna wengi wanaofanya huo uchafu tangu enzi na enzi lakini wanafanya kwa kujificha!!!
 
:rolleyes::rolleyes:
 
Intelligence movie zinajenga sana kwa kutomuamini mtu...na wengi hata humu if zinawasaidia sanaaa kujiepusha kujulikana umember wao...coz huwa zinajenga kuwa usimwamini mtu....
Mimi huwa sizipendi za mapenzi ila no only intelligence series....kma person of interest ilinijenga vtu fulani hv ila kuna vtu vilikuwa vnaniboa pia
 
Back
Top Bottom