Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 724
- 295
Wadau,
Watu wengi wamkuwa wakiuliza faida katika biashara ya radio, jibu hili hapa:-
1. Radio hungiza pesa kupitia matangazo. Kwa mikoa kama ya Dodoma, Arusha, Mwanza, shinyanga n.k tangazo moja linalipiwa Tshs 30,000/= kulia mara moja.
2. Kuuza muda wa hewani- kama nilivyosema katika mikoa hiyo saa moja ni Tshs 200,000/= muda wa hewani huo.
3. Udhamini wa vipindi. Makampuni makubwa yanalipa sana, kama vile vodacom, zantel, tigo, airtel n.k Hulipa mpaka Milion 10 kwa mwezi inategemeana na makubaliano. Kuna kampuni kama za JCCP zinalipa mpaka miloni 40 kwa mwaka.
4. Grants- Ukisajili vizuri radio yako. Mfano ukawa na NGO n.k ni rahisi sana kuwa unaomba grants hasa kama ni radio ya jamii. Watu wanapata mpaka grants za dola 100,000/=
Kwa leo nakomea mbinu hizi chahce tu kwanza: Kumbuka tunatoa ushauri wa kitalaamu wa masuala ya radio tuwasiliane kwa : consultancyradio@gmail.com