Jinsi panya wanavyofundishwa kugundua mabomu SUA Morogoro kitengo cha APOPO

Ningetaja majina ya watu hapa ambao wali disco SUA wakajiunga na UDSM, na wakaosha huko. Na kwa sasa wengine i big fish in the country. Kuna uwezekano mkubwa wewe ukawa na below ya kufikiri ndiyo maana unasema huu ni uongo. Wenye above wanajua nimeandika nini, wewe una below usibinshane na mimi mwenye above ya kufikiri na kuona

hata povu likutoke udsm z home of intellectuals,ipo hivyo na itabaki hivyo
 
kuipambanisha SUA na UDSM ni sawa na kumpambanisha 50 cent na Daz baba
Achen Udsm ipambanishwe na vyuo kama OXFORD na CAMBRIDGE
Kukipambanisha na SUA ni kukikosea heshima chuo hiki kitukufu

tunachokiangalia ni product na sio mbwembwe za ukongwe ama umaarufu..

Yawezekana unabisha usichokielewa, ni aibu kwa tu anayeelewa mambo halafu akaipambanisha taaluma ya SUA na Udsm,, ngombalo zmejaa sua
 
Me nadhani itakuwa dili zaidi hawa panya wakipewa uwezo wa kunusa na kutambua mafisadi ili wawanuse wagombea wa nyadhifa mbalimbali serikalini.....maana tumechoka kuongozwa na majitu yanayovaa smati lakini kichwani ni mambumbumbu kama nini sijui......
 
Tena sio kuwatambua tu..wakiyatambua wayatafune tafune ma...yao
 
utafiti mwingine ni ule wa chuo cha ARDHI cha dar es salaam kufanya utafiti wa kuzalisha umeme kwa kutumia uchafu wa aina mbalimbali,na huu utafiti wame wwkeza palepale chuoni na mladi mkubwa upo kinyerezi na tiyari washaanza kuzalisha umeme...........tatizo lililopo ni serikali kuwasusia miradi vyuo.
 
Kwa hiyo paka wanaoshika panya nyumbani nao wamefundishwa chuo gani? Au mbwa anayebweka mwizi anayesogea nyumbani nao wana degree za SUA?
 
kila research ina m-babe wake lazima tu kuna mabomu ambayo panya hawezi kunusa wala kutegua... hiyo kitu iligunduliwa toka zamani lakini bado haina msaada sana hasa kwa maeneo yenye vita
 
Unapozungumzia chuo kikuu hapa Tanzania unazungumzia chuo kikuu cha dsm. Na unapotaja university jua unazungumzia UDSM. Any way wee endelea kujifariji na panya wako.
Pole naona bado haujaelimika, kitu gani UDSM wanafundisha ambacho Wahadhili wengine katika vyuo vikuu vingine hawana, au unataka kutuambia hapa kuwa hata wanafunzi wanaojiunga UDSM hawajasoma sekondari za Tanzania, na wakimaliza pale UDSM hawafanyi kazi hapa Tanzania.

Nimekwambia nilikotoka, nawe sema ulikotoka. Mimi ni supa Product ya SUA. Wewe ni product ya wapi. mpaka sasa una degree ngapi?
 
Wapelekwe Kobani. ISIS wameacha shehena za mabomu ardhini, wananchi wanaogopa kurudi
Nikiri nilicheka nilipoisoma hii posti, lakini kiukweli mkuu hapa unapointi ya maana.

Tatizo la Kobani ni tata sana....wanaowasaidia ISIS hawawezi kukubali mradi huo, kwa sababu wao wanataka Assad atoke...! huvyo panya 'wetu' wakienda kusaidia kufukua mabomu hayo kabla ya Assad hajaondoka litakuwa pigo kwao katika harakati za kuwatumia ISIS kuiteka Urusi na dunia kwa ujumla.
 
pole naona bado haujaelimika, kitu gani udsm wanafundisha ambacho wahdhili wengine katika vyuo vikuu vingine hawana, au unataka kutuambia hapa kuwa hata wanafunzi wanaojiunga udsm hawajasoma sekondari za tanzania, na wakimaliza pale udsm hawafanyi kazi hapa tanzania.

Nimekwambia nilikotoka, nawe sema ulikotoka. Mimi ni supa product ya sua. Wewe ni product ya wapi. Mpaka sasa una degree ngapi?

mkuu huyo pangaboya hawezi kukujibu, ni moja ya mazao ya kizembe katika elimu ya tanzania, mitaala yetu inahitaji marekebisho makubwa ili kupata wasomi walioelimika kweli na si bora wasomi!
 
hata povu likutoke udsm z home of intellectuals,ipo hivyo na itabaki hivyo
This is a clear indicator that you did not school though you went to school. Ndiyo ninyi mnaosimama na kuwaona wengine sio watu. Kisa umezaliwa kwenye familia maarufu. UDSM ni maarufu but it is not everything. It is a home of intellectual to you and not to me. Hata Degree niliyosomea UDSM haipo. Sijui unalijua hilo.... au mapovu yanakutoka tu kama mgonjwa wa madawa ya kulevya. Kama kweli wewe ni product ya UDSM iliyoiva vizuri, kwa huu mtazamo wako basi UDSM kitakuwa ni moja ya Chuo Kikuu cha hovyo kabisa hapa E. Africa, ila naamini UDSM haiko hivyo bali baadhi ya product that ni weak sana ktk kuangalia mambo, mfano mzuri ni wewe... Pole kama walimu wako wa Sociology ndivyo walivyokufundisha!!!!!!!!
 
Wamesha ukatia hatimiliki na kuutangaza ugunduzi Huu?. Sio kwa kuzubaa kwetu tukasikia kesho kenya wagundua tech ya panya kutegua mabomu.Na wakenya ni wazuri kujisifia na kujitangaza.Nawajua nyie wanasayansi wa tanzania mlivyozubaa kujitangaza. Hata Diamond Platnum anawashinda na anapiga mabilioni.
Yote kwa yote hongereni kwa ugunduzi. Twataka Tanzania iwe israel ya Africa.
 
This is a clear indicator that you did not school though you went to school. Ndiyo ninyi mnaosimama na kuwaona wengine sio watu. Kisa umezaliwa kwenye familia maarufu. UDSM ni maarufu but it is not everything. It is a home of intellectual to you and not to me. Hata Degree niliyosomea UDSM haipo. Sijui unalijua hilo.... au mapovu yanakutoka tu kama mgonjwa wa madawa ya kulevya. Kama kweli wewe ni product ya UDSM iliyoiva vizuri, kwa huu mtazamo wako basi UDSM kitakuwa ni moja ya Chuo Kikuu cha hovyo kabisa hapa E. Africa, ila naamini UDSM haiko hivyo bali baadhi ya product that ni weak sana ktk kuangalia mambo, mfano mzuri ni wewe... Pole kama walimu wako wa Sociology ndivyo walivyokufundisha!!!!!!!!

kelele nyingi ila ukweli unaujua mpaka ukinya unakubali udsm ndo chuo vingine vya kata
 
Back
Top Bottom