Jinsi nyege na njaa vinavyoweza kukatisha ndoto zako

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Habari zenu wapendwa!

Kutokana na watu wengi wanaendelea kuaangamia na kushindwa kufikia malengo yao kwa saababu za kizembe kabisaa ..yaani NY!EGE na NJAA, nimeona tujadili hapa kwa kifupi maana hili linawatesa wengi sana na kushindwa kufikia malengo yao hata wengine kufariki dunia kabisa kwa sababu hizihizi mbili.

NJAA- kwa ujambazi.

Mtakumbuka kwamba kumekuwa na matukio mengi sana ya ujambazi yaliyogharimu uhai wa majambazi aidha kwa kupigwa na wananchi wenye hasira ama risasi na police, Aidha wengine hukamatwa na kufungwa kabisa kusota jela na kuacha familia zao zikiteseka kwa kukosa wategemezi…YOOOTE hiyo chanzo ni NJAA ya kutaka mali kirahisi inavouwa ndoto za watu.

NY!EGE ZA KUKU NA UMALAYA

Kumekuwepo na matukio mbalimbali ya ubakaji kwa wanaume kwa kubaka na kulawiti watoto ama wanawake, matukio hayo yamezidi kushamili kiasi kwamba watu wamegeuka wanyama,Hapa si wazee wala vijana wote wamekuwa wendawazimu hadi kutokuaminika kukabidhiwa watoto; Kuna tukio moja lilitokea kwenye daladala moja ifanyayo safar zake kuja kariakoo mwaka 2012, kuna mzee mmoja alipewa amshike mtoto mdogo wa kike umri uliokadiliwa miaka 3, lakini kilichotokea Yule mzee katika kumpakata Yule mtoto kwenye mbanano wa daladala alichomoa Duche…lake nakugusa……ilikuwa ni tukio la aibu sana, mtoto alipochukuliwa alikuwa kachafuliwa vibaya sana na huyo mzee. Of course hadi leo nazani yupo jela maana walimpeleka kituoni (mzee ndoto yake ikafupishwa ny!ege hizo).

Matukio ni mengi na mengine tunaendelea kuyasikia likiwemo la hivi juzi kibaha, mzee alivekuwa anawatafuna watoto wake kwa siri mama yao asipo kuwepo.(huyo mzazi atawaacha yatima watoto endapo atafungwa kwa ny!ege za kijinga)

Mambo hayo ya ajabu yanafanywa na watu wengine wenye heshima kabisa wakiwemo viongozi wa imani zetu, watumishi serikali, mapolice na hata Mawaziri katika nchi hii hii, zote hizo ni NY!EGE. Nani atakumbuka Yule waziri wetu aliyekuwa na kashfa ya kutembea na housegirl miaka ya hivi karibuni iliishiaje?

Hivi itakuwaje kwa familia ya ASIKARI POLICE aliyebaka hivi majuzi juzi tu kule ARUSHA,huyo mtu si alikuwa na malengo makubwa katika maisha yake tena huenda alikuwa msaada mkubwa sana Inakuwaje Anapofungwa maisha kwa Ujinga wa dakika tano tu?, yooooote hayo chanzo ni NY!EGE za kijinga. JARIBUNI KUWA MAKINI NA NYEGE ZENU ILI ZISIKATISHE NDOTO ZENU KWA NAMNA YEYOTE ILE, KUFUNGWA,KUPIGWA AU UKIMWI..Vitakatisha ndoto zenu bure!

ENYI WANAWAKE/WADADA EPUKENI KUPELEKWA SEHEMU HATARISHI NA WANAUME AMBAO SI WAPENZI WENU NI HATARI SANA…..KUMBUKENI KWAMBA KICHWA KIDOGO KIKISIMAMA KIKUBWA KINAKUWA HAKIFANYI KAZI….niwachache wawezao kujicontrol hilo......
kuna mama mmoja mwaka jana kajikuta akibakwa na wahuni hadi kufariki dunia alipokuwa akipelekwa mtoni na mganga wake kuoshwa ili kuondoa nuksi ...
 
mm naona kwnye hzo nyege ukikizidia nibora ukapiga mastabetion kuliko kuangamia kwa starehe za dk 5
 
Duuhh.....!! Asante Mkuu, ila inaonekana kuna kitu ulishawahi kushuhudia kupitia mikasa hiyo!
 
Huyo mzee afadhali afungwe tu, maana akibaki na watoto ataendelea kuwala
 
Nilitegemea ungekuja na majibu ya kwanini hali hiyo hujitokeza, badala ya kulalama na kulaumu tu, kila jambo huwa na sababu zake
 
Nilitegemea ungekuja na majibu ya kwanini hali hiyo hujitokeza, badala ya kulalama na kulaumu tu, kila jambo huwa na sababu zake
Naomba utusaidie Mkuu huo mfano wa huyo mzee kwenye daladala aliyepewa mtoto ampakate akaishia kumchafua ,sababu za huyo mzee kufanya hivyo ni zipi ????
 
Back
Top Bottom