Jinsi nimwonavyo NILHAM RASHED . . . .

CPU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
3,863
687
Nadhani sasa hashycool anajionea mwenyeweeeeee jinsi NILHAM alivyo mrembo kuliko HAPA JF. .

Mtoto hana papara, bali ameupara
Wenye kuchachawa, wataishiwa kunawa
Kampata wake wa kumfaa, sasa anakura raha
Usoni ameng'aa, kwa urembo aliopewa na Allah
Mtoto kweli umetulia, kwenye ndoa wafaa

Mimi sio kwamba namtaka, ila naeleza ukweli wanajukwaa
Msimletee balaa, bali mpeni heshima yenye staha
Mwangalieni kwa Avatar, macho yalivyo tulia
Akianza kuyarembua, utafikiri anakuita
Hakika aliyemuoa ana raha, nyumba ndogo hazitamfaa

Msimkwaze akajikwaa, msimseme kwa mabalaa
Hana pesa za kuhonga, kama mbunge wa Igunga
Husikia ukimwambia, atakupenda ukimpenda
Hana mambo ya kijinga, ni mdada aliyenoga
Nahitimisha kwa kusema, tutaendelea kukupenda

Originally bY CPU
 
HTML:
Mwangalieni kwa Avatar

.......not sure if we are really serious na kuzidondokea AVATAR......!!
 
HTML:
Mwangalieni kwa Avatar

.......not sure if we are really serious na kuzidondokea AVATAR......!!

Hilo ni shairi kaka, wala sijadondokea Avatar
Soma btn lines uelewe kama kuna sehemu nimeeleza kudondokea mtu hapa JF
 
Hivi hilo Shairi nimemtongoza NILHAM au??!!
Pipo pls, READ BTN LINE
MSIPINDISHE MAANA YA SHAIRI
 
Huwa inaanzaga hivyo hivyo kidogo kidogo kwa sifa sifa....:clap2:

La la la la la la
Tena mume wake yuko hapa hapa na ananijua then nijianzie tu?!!!
Bora nitafute ID mpya sio hii ambayo nimeshaweka na picha langu kabisa

Infact namuheshimu sana NILHAM kupita maelezo, hata yeye anajua hilo
Najiheshimu pia
 
Hongera kwa kujiheshimu.......
 
Nadhani sasa hashycool anajionea mwenyeweeeeee jinsi NILHAM alivyo mrembo kuliko HAPA JF. .

Mtoto hana papara, bali ameupara
Wenye kuchachawa, wataishiwa kunawa
Kampata wake wa kumfaa, sasa anakura raha
Usoni ameng'aa, kwa urembo aliopewa na Allah
Mtoto kweli umetulia, kwenye ndoa wafaa

Mimi sio kwamba namtaka, ila naeleza ukweli wanajukwaa
Msimletee balaa, bali mpeni heshima yenye staha
Mwangalieni kwa Avatar, macho yalivyo tulia
Akianza kuyarembua, utafikiri anakuita
Hakika aliyemuoa ana raha, nyumba ndogo hazitamfaa

Msimkwaze akajikwaa, msimseme kwa mabalaa
Hana pesa za kuhonga, kama mbunge wa Igunga
Husikia ukimwambia, atakupenda ukimpenda
Hana mambo ya kijinga, ni mdada aliyenoga
Nahitimisha kwa kusema, tutaendelea kukupenda

Originally bY CPU

Ni kweli hana papara ni mzuri anangara
Utaishia kusifia mie napewa raha
Macho yake samawati aniangaliapo uhaha

Najua humtamani shemejiyo kumtwaa
Ataemtolea macho nitamwangushia balaa
Rangi yake mbalamwezi sihitaji ndani taa
Amejaaliwa huba ni mcheshi mwenye twaa

Nalham ameliwazika kwangu katulia
Kabla sijamwita Nilham wangu huitikia
Mwezenu naona raha nafsi imetulia
Siku akinikimbia sitanyamaa kulia

Msimseme akainikimbia hasad mkamtia
Mapenzi ninayompa nafsi yake imetulia
Hana haja kuhongo kwangu ametua
Wala hana tamaa nafsi yake maridhia

Nahangaika na jua kwajili yake wangu nyonda
Na bado litawakera wapo wengi wamekonda
Mkuu Mwanakijiji anajua jinsi N ninavyompenda
Dua tuombee watoto wa kheri tupate Allah akipenda
Hashycool ameza mata umemtonesha kidonda

Kaditama namaliza namuomba rabana
Mapenzi yetu yadumu yawe yakufana
Na watoto wawe wema wenye kufanana
Wakijakuwa wakubwa waeweze kufaana.

Source: CPU
 
La la la la la la
Tena mume wake yuko hapa hapa na ananijua then nijianzie tu?!!!
Bora nitafute ID mpya sio hii ambayo nimeshaweka na picha langu kabisa

Infact namuheshimu sana NILHAM kupita maelezo, hata yeye anajua hilo
Najiheshimu pia
i know dat my dear thank 4 the wonerfully shair.....mabrouk kwa kuweza kukamilisha maneno mazuri i wish i could find something for you at dis time.... wait a minute....
 
ameen ya raab...:clap2:
Ni kweli hana papara ni mzuri anangara
Utaishia kusifia mie napewa raha
Macho yake samawati aniangaliapo uhaha

Najua humtamani shemejiyo kumtwaa
Ataemtolea macho nitamwangushia balaa
Rangi yake mbalamwezi sihitaji ndani taa
Amejaaliwa huba ni mcheshi mwenye twaa

Nalham ameliwazika kwangu katulia
Kabla sijamwita Nilham wangu huitikia
Mwezenu naona raha nafsi imetulia
Siku akinikimbia sitanyamaa kulia

Msimseme akainikimbia hasad mkamtia
Mapenzi ninayompa nafsi yake imetulia
Hana haja kuhongo kwangu ametua
Wala hana tamaa nafsi yake maridhia

Nahangaika na jua kwajili yake wangu nyonda
Na bado litawakera wapo wengi wamekonda
Mkuu Mwanakijiji anajua jinsi N ninavyompenda
Dua tuombee watoto wa kheri tupate Allah akipenda
Hashycool ameza mata umemtonesha kidonda

Kaditama namaliza namuomba rabana
Mapenzi yetu yadumu yawe yakufana
Na watoto wawe wema wenye kufanana
Wakijakuwa wakubwa waeweze kufaana.

Source: CPU
 
Hivi ukimheshimu mtu huwezi kumpenda kimapenzi ehh?

Kuna heshima za aina mbili ktk uhusiano
1/ Heshima unayoweza kumpa mtu ambaye ni mzazi wako, dada/kaka yako, au ndugu yako/jirani yako yeyote. Hao unakuwa nao ktk uhusiano wa UPENDO
2/ Heshima unayoweza kumpa mtu ambaye ni mwenzi wako. Huyo unakuwa nae KIMAPENZI, KIUPENDO, KIURAFIKI na uhusiano wowote ule ulio mwema
 
waache waseme my dear we hujazoea tuu binaadam ndo tulivyo hivi.... ndio maana pia kukaumbwa na kitu subra...okay??? soo leave it ... and leave it to them what ever they say bora ukweli naujua mimi na wewe.... keep it up my boy...:clap2::clap2:
Hivi hilo Shairi nimemtongoza NILHAM au??!!
Pipo pls, READ BTN LINE
MSIPINDISHE MAANA YA SHAIRI
 
Back
Top Bottom