Jinsi nimwonavyo NILHAM RASHED . . . .

Kama kweli ndivyo alivyo basi mungu kamuumba, isije kuwa kama maneno ya Marehemu Matona alisema hivi, " kina mama mama zetu na maarifa wanayo, ukimiona kwa mbali dodo zilivyosimama, akiwa karibu nawe kizee cha miaka mia" mwisho wa kunukuu:roll::roll::roll::roll:

'

'
 
La la la la la la
Tena mume wake yuko hapa hapa na ananijua then nijianzie tu?!!!
Bora nitafute ID mpya sio hii ambayo nimeshaweka na picha langu kabisa

Infact namuheshimu sana NILHAM kupita maelezo, hata yeye anajua hilo
Najiheshimu pia

Don't give up men, go go go ha ha ha haaaa!
 
Check jibu hilo sasa . . . . kudadadadadadeki
Utafikiri ana madesa

Situumii madesa kwenye shairi ninatesa
Natoa tungo mwanana na maneno yakisasa
Wachimba chumvi nawapoteza nawatesa
Nilham ananijua kwa mashari amenasa
 
Nadhani sasa hashycool anajionea mwenyeweeeeee jinsi NILHAM alivyo mrembo kuliko HAPA JF. .

Mtoto hana papara, bali ameupara
Wenye kuchachawa, wataishiwa kunawa
Kampata wake wa kumfaa, sasa anakura raha
Usoni ameng'aa, kwa urembo aliopewa na Allah
Mtoto kweli umetulia, kwenye ndoa wafaa

Mimi sio kwamba namtaka, ila naeleza ukweli wanajukwaa
Msimletee balaa, bali mpeni heshima yenye staha
Mwangalieni kwa Avatar, macho yalivyo tulia
Akianza kuyarembua, utafikiri anakuita
Hakika aliyemuoa ana raha, nyumba ndogo hazitamfaa

Msimkwaze akajikwaa, msimseme kwa mabalaa
Hana pesa za kuhonga, kama mbunge wa Igunga
Husikia ukimwambia, atakupenda ukimpenda
Hana mambo ya kijinga, ni mdada aliyenoga
Nahitimisha kwa kusema, tutaendelea kukupenda

Originally bY CPU
kamanda mie nimeread between them lines na nimeelewa. senks
 
Mkubwa unatisha kwenye fani.... kama mtoto hato-appreciate basi hana moyo!!!!! ha ha haaaaa
 
waache waseme my dear we hujazoea tuu binaadam ndo tulivyo hivi.... ndio maana pia kukaumbwa na kitu subra...okay??? soo leave it ... and leave it to them what ever they say bora ukweli naujua mimi na wewe.... keep it up my boy...:clap2::clap2:

Kama utani vile lkn CPU kamwopoa nilham kiukweli kweli! Hongera CPU!!
 
kamanda mie nimeread between them lines na nimeelewa. senks

The Following User Says Thank You to klorokwini For This Useful Post:

CPU (Today)​

Chifu Kloro . . . unataka Ulabu, mbege, mataputapu au Zege???
 
ndio. enzi zile tukifungua jf lazima tukute mapost kibado yanamzungumzia ms.

Aaaaaaaaaaaaaah, my dia
Mi bado kinda kabisa hapa JF, sikaribii kabisa umaarufu wa MS
Ni kama vile ardhi na mbinguni . . . :laugh:
 
The Following User Says Thank You to klorokwini For This Useful Post:

CPU (Today)​

Chifu Kloro . . . unataka Ulabu, mbege, mataputapu au Zege???
usjali kaka. niliwahi kuongea hapa kwamba magreti thinkaz tupo wachache na wewe sasa umeingia kwenye list. wengi wao hawakukuelewa. dah! u r a genius mkuu
 
Back
Top Bottom