hahahahaahahahaaaahahahahahahahahahahahahahaahaahaAcha stori za kutunga wewe!!!
Mh!kama siamini amini haka kajistory!kamekaa kiuongo uongo kweli!
Kwanza sheria ya kujamiiana ilitungwa 2002 inayohusu miaka ya mbakaji kufungwa 30 yrs au life in prison. So una haki ya kuitilia shaka story hii.