Jinsi mende alivyotaka kunitoa uhai

Wandugu uhai wa mtu ni kitu cha thamani sana na cha kulindwa kwa sababu sisi wanadamu tuko so fragile dakika moja tu mtu anakuwa sio hai tena. Katika ofisi nayofanya kazi ina mende wengi kupita maelezo famigation inafanyika kila mwezi lakini baada ya siku wanaibuka tena.

Jana wakati narejea nyumbani kuilaki familia yangu ambayo haijaniona tangu kukuche nilipatwa na kisa cha ajabu sana. Nikiwa kwenye mataa ya salender bridge nilisikia muwasho maeneo ya paja la kulia, sikushtuka sana baada ya dakika chache nikasikia kitu chenye kama kinatoboa maeneo ya bailolojia nilishutuka sana kutokana na eneo lenyewe lilivyo nyeti badala ya kushika break nikakanyaga mafuta zaidi na kuacha njia. Sikuumia ila ule mshtuko ulikuwa mkubwa moyoni.

Watu waliokuja na polisi waliishia kutabasamu na kucheka kwa sababu walinikuta nimeng'ang'ania bailojia kwa mikono miwili huku jasho linanitoka. Kwa kifupi ndio hivyo nikafanikiwa kumtoa mende alikuwa mkubwa sn. Kama kulikuwa na bonde kubwa pale nilikopata ile thoruba ningezama kwenye bonde au mto na mngesikia ndg yenu nipo MOI.

Kwa wale wanaoishi ofisi kama yangu kabla ya kutoka ofisini ingia rest room toa suruale kung'uta kwa nguvu zote kujiweka salama. Au funga suruale kwa chini na rababendi ili wadudu wasipenyeze.

Inaelekea ofisi yenu ni kubwa tu yenye shughuli kibao ambazo ni full mafaili na makaratasi---- hebu punguzeni matumizi ya paper work na mafaili katika karne hii ya IT---- get ur work computerised banaa ili mupunguze hiyo mifaili!
 
Kwa wale wanaoishi ofisi kama yangu kabla ya kutoka ofisini ingia rest room toa suruale kung'uta kwa nguvu zote kujiweka salama. Au funga suruale kwa chini na rababendi ili wadudu wasipenyeze.[/QUOTE]

Pole sana mkuu,lkn hapo kny red nimecheka sana! is gud alert anyway
 
Hawa mende wetu wanatabia mbaya sana. Kila dakika leo naenda wash room kucheki isikute leo kuna katoto ka mende jana ilikuwa mama yao
Siendelei tena kusoma hii thread inanivunja mbavu, halafu nikiangalia na avatar yako huhuh!!:becky::becky:
 
Hiyo ofisi gani ambayo hadi Mende wanaingia ndani ya Suruali na kupitiliza hadi ndani ya CHuPi?

Au ukiwa kazini huwa unaivua Suruali na kuiacha sehemu na hapo kuanza kazi nyingine?

Siku nyingine agizeni kwenye Hii ofisi huyu Mchina alipiga huko Botswana...

https://www.jamiiforums.com/jokes-utani-udaku-gossips/40493-mchina-wa-botswana-lazima-ucheke.html

Wenzenu wa Whitesands Hotel waliagiza jamaa wakaja kufanya vitu vyao....

white%2Bsands.jpg
 
Sasa akiipulizia hiyo kitu kwenye baioloji afu akakuletea MIC uitumie si utaRIP?
hahaha hahaha heheheeh ops! Kikohozi!!!!!
Pole sana nenda katafute dawa inaitwa BORIC ACID halafu chukua kijiko kimoja kikubwa cha chakula changanya na unga au kiini cha yai la kuchemsha changanya na mkono tu halafu nyunyuzia ofisini kwako kila kona usiitowe hiyo dawa baada ya siku 2 ama 3 hutoona tena mende ofisini kwako
Hii kali. huo mkono anapaswa kuuosha na maji baada ya kuchanganya au mswano tu kwa kuwa dawa inaua mende pekee.

Mtani umenichekesha sana...eti sivai kofuli...ngoja siku yatakukuta .....
teh teh teh, mkuu ungekuwa umepiga hiyo kitu walah usingebabaika kivile. lakini pole sana.
Kuna jamaa yangu mmoja aliniambia kuwa alikosa sabuni ya kupiga BESHENI akamchukua mende akamweka kwenye mfuko wa nylon kisha akaingiza bamboo yake humo. ile shughuli ya mende kuzurura kutaka kutoka ilimpelekea jamaa kurelease misuli yake swaaaafi.
 
Wandugu uhai wa mtu ni kitu cha thamani sana na cha kulindwa kwa sababu sisi wanadamu tuko so fragile dakika moja tu mtu anakuwa sio hai tena. Katika ofisi nayofanya kazi ina mende wengi kupita maelezo famigation inafanyika kila mwezi lakini baada ya siku wanaibuka tena.

Jana wakati narejea nyumbani kuilaki familia yangu ambayo haijaniona tangu kukuche nilipatwa na kisa cha ajabu sana. Nikiwa kwenye mataa ya salender bridge nilisikia muwasho maeneo ya paja la kulia, sikushtuka sana baada ya dakika chache nikasikia kitu chenye kama kinatoboa maeneo ya bailolojia nilishutuka sana kutokana na eneo lenyewe lilivyo nyeti badala ya kushika break nikakanyaga mafuta zaidi na kuacha njia. Sikuumia ila ule mshtuko ulikuwa mkubwa moyoni.

Watu waliokuja na polisi waliishia kutabasamu na kucheka kwa sababu walinikuta nimeng'ang'ania bailojia kwa mikono miwili huku jasho linanitoka. Kwa kifupi ndio hivyo nikafanikiwa kumtoa mende alikuwa mkubwa sn. Kama kulikuwa na bonde kubwa pale nilikopata ile thoruba ningezama kwenye bonde au mto na mngesikia ndg yenu nipo MOI.

Kwa wale wanaoishi ofisi kama yangu kabla ya kutoka ofisini ingia rest room toa suruale kung'uta kwa nguvu zote kujiweka salama. Au funga suruale kwa chini na rababendi ili wadudu wasipenyeze.

Uache tabia yako ya kuweka karanga, korosho na vyakula kwenye mifuko yako ya sarawili!
 
Ahahaahaaaaaaah kweli super star umenivunja mbavu, ingekuwa kwetu hali kama hiyo nadhani ungekimbilia kwa ndugu zake Shehe Yahya! :becky::becky::becky::becky:
 
Wandugu uhai wa mtu ni kitu cha thamani sana na cha kulindwa kwa sababu sisi wanadamu tuko so fragile dakika moja tu mtu anakuwa sio hai tena. Katika ofisi nayofanya kazi ina mende wengi kupita maelezo famigation inafanyika kila mwezi lakini baada ya siku wanaibuka tena.

Jana wakati narejea nyumbani kuilaki familia yangu ambayo haijaniona tangu kukuche nilipatwa na kisa cha ajabu sana. Nikiwa kwenye mataa ya salender bridge nilisikia muwasho maeneo ya paja la kulia, sikushtuka sana baada ya dakika chache nikasikia kitu chenye kama kinatoboa maeneo ya bailolojia nilishutuka sana kutokana na eneo lenyewe lilivyo nyeti badala ya kushika break nikakanyaga mafuta zaidi na kuacha njia. Sikuumia ila ule mshtuko ulikuwa mkubwa moyoni.

Watu waliokuja na polisi waliishia kutabasamu na kucheka kwa sababu walinikuta nimeng'ang'ania bailojia kwa mikono miwili huku jasho linanitoka. Kwa kifupi ndio hivyo nikafanikiwa kumtoa mende alikuwa mkubwa sn. Kama kulikuwa na bonde kubwa pale nilikopata ile thoruba ningezama kwenye bonde au mto na mngesikia ndg yenu nipo MOI.

Kwa wale wanaoishi ofisi kama yangu kabla ya kutoka ofisini ingia rest room toa suruale kung'uta kwa nguvu zote kujiweka salama. Au funga suruale kwa chini na rababendi ili wadudu wasipenyeze.

pole sana ......ila nimecheka sana!!!!! manake hiyo scenario ukiwapa the comedy itakuwa balaa!!!
 
Inaelekea ofisi yenu ni kubwa tu yenye shughuli kibao ambazo ni full mafaili na makaratasi---- hebu punguzeni matumizi ya paper work na mafaili katika karne hii ya IT---- get ur work computerised banaa ili mupunguze hiyo mifaili!

I wish I could......

mkuu mende sooo hata ughaibuni wapo tena kwa kasi ya ajabu..

Sijui Mende waliumbwa kwa sababu gani ni useless kbsa

Uache tabia yako ya kuweka karanga, korosho na vyakula kwenye mifuko yako ya sarawili!

Sio hivyo mkuu ni mazingira yetu ya kazi yalivyo.

NB: Nawashukuru wale wote walionipa pole hapa na waliochukua muda wao kunipigia simu kunijulia hali. Stay blessed
 
Kwa wale wanaoishi ofisi kama yangu kabla ya kutoka ofisini ingia rest room toa suruale kung'uta kwa nguvu zote kujiweka salama. Au funga suruale kwa chini na rababendi ili wadudu wasipenyeze.
pole kijana!:confused2:
 
Kuna jamaa yangu mmoja aliniambia kuwa alikosa sabuni ya kupiga BESHENI akamchukua mende akamweka kwenye mfuko wa nylon kisha akaingiza bamboo yake humo. ile shughuli ya mende kuzurura kutaka kutoka ilimpelekea jamaa kurelease misuli yake swaaaafi.
Kha! Hapa naona usanii umepitiliza mipaka... lol ...
 
hahaha hahaha heheheeh ops! Kikohozi!!!!!
Hii kali. huo mkono anapaswa kuuosha na maji baada ya kuchanganya au mswano tu kwa kuwa dawa inaua mende pekee.

Mkuu Msanii! hiyo dawa hainamadhara kwa binadamu ukimaliza kuchanganya na kuinyunyuzia unanawa mikona kwa sabuni unaendelea na shughuli nyingine, hata ukichanganyia kwenye sahani ukimaliza unaosha sahani yako kwa sabuni unaweka msosi unaendela kama kawa
 
Super Star mimi ningekushauri kila siku kabla ya kuondoka nyumbani unapulizia kwenye mashine dawa ya mbu nunua EXPEL au BAYGON moja unakuwa nayo kazini nyingine nyumbani na ukitoka kazini pia unaipulizia tena mashine dawa.
 
Super Star mimi ningekushauri kila siku kabla ya kuondoka nyumbani unapulizia kwenye mashine dawa ya mbu nunua EXPEL au BAYGON moja unakuwa nayo kazini nyingine nyumbani na ukitoka kazini pia unaipulizia tena mashine dawa wakisikia harufu ya dawa watakuwa hawafiki huko.
 
S. S. Wanafumigate lakini mende wanarudi baada ya mda mfupi??!. Wanatumia dawa gani?. Kwa faida ya wana jf: ili kumaliza tatizo la mende katika compaund yako fanya yafuatayo: hifadhi vyakula katika closed comtainers; ondoa masalia ya vyakula; fumigate kwa insectcide na repelant kwani early stages(lava/pupa) za mende haziuawi na common insectcide ndo maana uki-furmigate compound mende hupotea kwa takriban 14 to 30 days kisha wale waliokuwa immature huwa wamekomaa.
 
Dooh Super Star umenimaliza kwa kicheko na kunikumbusha JENGO LA INTERNATIONAL HOUSE.
Kuna rafiki yangu siku1 akaniambia wanataka kuhama hilo jengo kwa sababu wameshindwa kuhimili mende , pamoja na property manager kupulizia dawa ev.3 month na hatua zingine zote na hiyo kampuni kuweka sheria kama huruhusiwi kuingiza vyakula vyote vinavyonukia etc lakini mende bado wamo,sasa I can imagine dada m sure na viatu virefu ndio anaendesha hiyo gari na mende kaibukia kwenye chupi, mbona hapo Salender pangekuwa sinema?Na nasikia ukiona hivyo, jua panya hawako mbali.
 
Back
Top Bottom