Jinsi ma- engineer wanavyotongoza!!!!

Hapo ndo ma ENGINEER 2napo onesha utofauti na NGWINI!!!
Tatizo MATHEMATICS sana imetawala watatuelewa kweli hii mitoto ya siku hizi VILAZA vya hesabu??!!
Eng. Smasher, mahesabu yakielekea huko watoto wako fit sana, mpaka utashangaa mwenyewe continuity theorem wanaimba , conic sections kama kazi mpaka Riemann Integral
 
Umenikumbusha mbali mkuu, watoto walikuwa wanapata taabu sana enzi za uhai wetu na vitu hivyo, Taylor Series Expansion, Gauss Elimination Method............
Hah hah!
 
aaah bana word are not everything that a woman looks to a man
Remember telecom engineering................. word are just like focal point where by all the electromagnetic waves are being concentrated. Back to art of seduction.................. words are instrumental towards making a woman see other strength that you have.
 
Umenikumbusha mbali mkuu, watoto walikuwa wanapata taabu sana enzi za uhai wetu na vitu hivyo, Taylor Series Expansion, Gauss Elimination Method............
Hah hah!
Si kwamba walikuwa wanapata taabu sana.......ila walikuwa hawawezi kabisaaaaaaaaaaa
 
Remember telecom engineering................. word are just like focal point where by all the electromagnetic waves are being concentrated. Back to art of seduction.................. words are instrumental towards making a woman see other strength that you have.

Ndio Engineer, nimekubali!
 
Am proud to be engineer kwa style hii ngoja ni copy hayo maneno nikayapaste kwa msichana mmoja ananisumbua sana.

Omba Mungu asiwe amesoma hii thread maana atajua umecopy na kupaste, wasiwasi wangu ni utaendelea kupigwa tarehe!
 
Umenifurahisha sana, wanachakachua kitu ya msaidizi wa Mungu

Usifanye utani ndugu yangu, kama watu wamemuingiza mjini mzito wa wad(t)anganyika, watashindwa kumteka binti aliyezinguliwa na technical terms?
 
Daah !! unanikumbusha Eng. Magori ( PCM) wa mkwawa alikuwa ni noumar kwa kutongozea Mathematics kwa wasoma BAM.
 
Teh teh teh! haya kazi kwenu maengeneer, sina mbavu. na madaktari je?

Mama Brian Madaktari sijui, ila umenikumbusha mtoto mmoja aliulizwa ambition yake na alijibu hivi:

Teacher: What do you want to become?
Little Johnny: Doctor!!

Teacher: Why?
Little Johnny: Coz it's the only profession where u can tell a woman to take off her clothes and ask her husband to pay for it.

Hahahaaaa!!!!!!!!! we Mabel wewe!!!!

Mbaya ni pale inquisitive mind ya doctors inapokuwa kazini, mambo huwa hivi

Parent: Doctor, doctor! My small son has just swallowed a roll of film.'
Doctor: 'Don't worry. Let him rest a bit and we'll wait and see what develops.'
 
Kwa style hii mwanamke hachomoi,
Kweli engineer ni engineer tu,
Akitaka nyumba itokee kwenye mlima, mlima utaondoka na nyumba itatokea
Akitaka kwenye maji kuwe na barabara, barabara itatokea
Akitaka kwenye joto kuwe na baridi, basi ni full kipupwe
Kweli engineers ni wasaidizi wakubwa wa Mungu hapa duniani

Kiboko ya Injinia ni mwanasiasa.
Akisema nitawanunulia meli na kuwatengenezea bahari hapa.watu wanamkubali na kumpigia makofi.Halafu anasubiri ujenge barabara kwenye maji na yeye anakuja kuizindua na jina lake likiwekwa hapo,na injinia hata hajulikani kama alichangia kitu...
 
Mama Brian Madaktari sijui, ila umenikumbusha mtoto mmoja aliulizwa ambition yake na alijibu hivi:

Teacher: What do you want to become?
Little Johnny: Doctor!!

Teacher: Why?
Little Johnny: Coz it's the only profession where u can tell a woman to take off her clothes and ask her husband to pay for it.

Teh teh teh! sina mbavu.
 
Kiboko ya Injinia ni mwanasiasa.
Akisema nitawanunulia meli na kuwatengenezea bahari hapa.watu wanamkubali na kumpigia makofi.Halafu anasubiri ujenge barabara kwenye maji na yeye anakuja kuizindua na jina lake likiwekwa hapo,na injinia hata hajulikani kama alichangia kitu...

Kwa hiyo yule aliyefanikisha daraja la Mkapa asisononeke kabisa,kwa sababu siku tunazindua daraja lile hata kumtaja tulisahau teheeeeee. Tukala pilau kivyetu na yeye kaachwa anapiga mwayo.
 
Mission successiful: engmtolera na mabel ni mtu mmoja. Kwa kuwa thread hii ipo ktk ID mbili tofauti. Mabel na engmtolera ni mmoja mpaka hapo watakapojitenganisha.
 
Mkuu Gsana heshima kwako,
Soma signature yangu hapa chini,

Wasiwasi ni msingi wa kufanya tafiti juu yake, engmtolera si Mabel japo Mabel ni Mhandis pia. Usiwe na hofu na mimi, siwezi kuwa na user ID 2 haina maana kwangu mkuu.
 
Kiboko ya Injinia ni mwanasiasa.
Akisema nitawanunulia meli na kuwatengenezea bahari hapa.watu wanamkubali na kumpigia makofi.Halafu anasubiri ujenge barabara kwenye maji na yeye anakuja kuizindua na jina lake likiwekwa hapo,na injinia hata hajulikani kama alichangia kitu...

Teh teh, yaani kama dozza vile linatumika kutengeneza barabara sehemu mbaya lakini barabara ikikamilika haliruhusiwi kupita tena, ukikamatwa unapitisha dozza barabarani ni kesi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom