Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

😊👇
images (66).jpeg
images (67).jpeg
 
Habari wakuu!

Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu x mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.

Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii. Nifanye nini wakuu😪😪
First of all, build a bridge between you two.

Second of all, cross the bridge/get over it.

Third and final, burn the bridge.

Hapo utakuwa on the safe side. I hope utakuwa umeelewa.
 
Mwaka sasa
The hardest stage of moving on is not to forget someone but learning to live without them.

Umeweza kuishi mwaka mzima bila yeye, hiyo inatosha. Nadhani tatizo lako unatafuta mtu bora kuliko yeye bila kujicomit kwenye mahusiano. Usipoingia kwenye mahusiano hautakuja kumpata.

Give someone a chance, and get to know them well. They might be better than your X.

Ni mimi #MdakaChozi
 
Hahaha time is the best healer. Ila wewe inaonesha unajiendekeza shoo.... Ukikubali kutokea kwenye uvungu wa moyo wako kwamba he's no longer yours hakika utamsahau.

Mimi ilikuwa nikiona Brevis tu moyo unapiga paaa, asubuhi nikienda mishe mishe lazima nipite njia inayopita kazini kwake + anapoishi. Can you imagine that faken situation i had? Ila nilijiruhusu kumsahau and now I'm all good. Hata nikimkumbuka ni kwa uzuri sio kama zamani nikimkumbuka nakabwa kooni na uchungu. 😂
 
Pole sana mkuu,binafsi sijawahi kukumbana na hiyo changamoto japo napitia wakati mgumu na mpenzi wangu...
Busara isipotumika huenda yakanifika yaliyokufika....maana huyu mtoto wa kichaga nampenda kupita maelezo.
Ahsante mkuu naombea yakukute pia inaumiza sana, try to settle down your issues msifikie breakup
 
Back
Top Bottom