Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Siku hizi hakuna shida mambo yamebadilika mtu anajifungua visu 4 mwilini na bado atashika jembe atalima
Inategemea na hao wataalamu wamefanyaje hiyo operation lakini kiukweli ukichezea vizu huna tena uzima ndugu yangu, omba yasikukute wengine wamepata vilema vya maisha Kwa hizo operations
 
SEASON 2:
CHAPTER 03:

BY INSIDER MAN

TULIKOISHIA……
Mimi niliwaacha na nilikwenda kusogeza gari karibu na nilikuwa nawasubiri chini ground floor na baada ya dakika 1 walishuka kwa lift, tukamweka jane seat za nyuma akiwa na mama na Mary na dada mmoja akakaa mbele nikaondoa gari kwa speed.

ENDELEA……

“Tumewaacha Loveness na Vicky.” Ilikuwa ni sauti ya dada mgeni rafiki wa Jane.

“Hao watakuja, Vicky anaclear bills”

Kuendelea kuongea na kuwajibu nilikuwa naona kama napoteza muda wangu na ukizingatia ilikuwa ni saa 3 usiku tayari. Niliendesha gari kwa speed sana raha ukiwa unatoka Tegeta kwenda Mwenge barabara ya Bagamoyo hainaga foleni. Ndani ya muda mfupi nilikuwa nimewasili pale hospital getini na wajeda baada ya kuona hali halisi walitupa go ahead na nilisogeza gari karibu na reception na ma-nurse walikuwa karibu kutusaidia wakampeleka labour.

Sisi tulikwenda kukaa waiting area tukisubiri utaratibu maana mama alikuwa bado akiandika taarifa za Jane dirishani, na baada ya dakika 10 hivi alirudi kukaa na sisi pale.

Baada ya nusu saa Vicky naye aliwasili akiwa na yule dada mwingine mgeni na muda huu wote tulikuwa tuko kwenye hali ya mawazo sana.

VICKY: “Mama mbona upo hapa? nini kinaendelea?”

MAMA: “Haturuhusiwi kuingia tunasubiri majibu kutoka kwa daktari.”

MIMI: “Umesha clear kila kitu kule?”

VICKY: “Ndio na risiti ninazo.”

MIMI: “Sawa kaa hapa tuendelee kumwombea Jane.”

Saa 5 za usiku mama alikwenda kufuatilia kinachoendelea kuhusu Jane na hakuchukua muda mrefu alirudi, lakini alikuwa ananiangalia sana, nilihisi labda kuna habari mbaya huko.

MAMA: “Nimeshindwa onana na doctor hata sijui hali ya Jane huko ndani.”

MARY: “Mama usiwe na wasiwasi kungekuwa na habari yoyote wangetuambia tuendelee kumwombea.”

MAMA: “Hapana inatia shaka na maswali.”

Na mimi muda huu nilikuwa kimya sana maana nilikuwa nimecheza mchezo wa hatari sana na nilikuwa kwenye mawazo mazito sana na wasiwasi.

Mida ya saa 7 usiku mama aliitwa na Doctor na na baada ya nusu saa mama alirudi, kwa upande wetu sisi tulikuwa tunashauku kubwa ya kujua alicho itiwa. Kwa upande wake alionekana kuwa mwenye furaha na tabasamu kubwa sana na alituambia pale,

“Ohh thank God, Jane kajifungua salama mtoto wa kiume.”

Baada ya kusikia hizi taarifa tulifurahi sana kwakweli maana kila mmoja kwa hamu alikuwa akisubiri hii taarifa. Vicky alinikumbatia kwa nguvu sana na akajilaza kwenye kifua changu maana alikuwa na furaha sana na ghafla alianza kulia,

MIMI: “Vicky mama are you ok?”

VICKY: “Yes! Insider niseme ahsante sana, dada Jane anajifungua salama kwaajili yako hatuwezi kukusahau kwenye maisha yetu.”

MIMI: “Hata mimi siwezi kuwasahau Vicky.”

Nilishusha pumzi ndefu kama mtu ambaye nilikuwa nimechoka sana na nilihisi kuwa mwepesi ghafla kama mtu ambaye nimeshusha mzigo mzito na nilijisemea pale, “Thanks God I did it.”

Kwa upande mwingine mama naye alikuja kunishukuru kwa maamuzi mazuri niliyoyafanya kwa Jane mpaka kujifungua salama. Mary naye hakuwa nyuma kutoa sifa kwangu, yaani ndani ya muda mfupi nilionekana kuwa hero kwa kila mtu pale hospitalini, lakini kwa upande wangu niliwaza,

Now wananipa heshima sababu tumefanikiwa, what if kama mambo yangekuwa tofauti? si kila mtu angenichukia?”

Mama aliondoka kwenda wodin kumsaidia Jane na sisi tulibaki pale tukiendelea na story, muda huu hatukuwa na stress tena maana ilikuwa ni furaha tu.

MARY: “Insider kwa leo nimekupa respect wewe mwanaume uko vizuri, maamuzi yako always yanakuwaga sawa hujawahi niangusha kwa hili.”

MIMI: “Thank Mary japo hukuwa na imani na mimi kabisa.”

MARY: “Honestly nilikuwa na wasiwasi sana lakini mawazo yako yalikuwa sahihi.”

MIMI: “Vicky ongea na dada home aandae mchemsho aje nao.”

VICKY: “Yeah ngoja nimpigie simu hapa maana hajui kama tuko huku Lugalo.”

Saa 9 za usiku Mary aliomba kuondoka kwenda home kulala ili pia awahi kuja asubuhi, alituaga pale akaondoka na mimi niliendeleaa kubaki nikiwa na Vicky na wale rafiki zake Jane.

Baada ya lisaa na mimi niliamua kuondoka maeneo yale sababu hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki pale ukizingatia nilikuwa nimevaa mtoko wa kiofisi. Kuna vitu vya Jane vilikuwa kwenye gari, hivyo ilibidi niongozane na Vicky ili avichukue na baada ya kufika parking
tuliendelea na mazungumzo pale nje ya gari.

“Naona unafuraha sana leo, japo hukuniamini.”

“Insider hata wewe ungevaa uhusika wangu usingekubali kirahisi, uliona hata da Mary alikupinga na sio mimi tu kila mtu.”

“So now you trust me?”

“Of course yes, but Insider kumbe una mto……”

Nilimvuta kwangu na nikaanza kumchapa mate pale, ilikuwa ni ghafla sana lakini alianza kunipa ushirikiano na nilipandisha mikono yangu juu nikaanza kuminya vifuu vyake taratibu lakini nilimwacha.

“Vicky wahi see you in the morning.”

Vicky alikuwa mpole maana mapigo ya moyo yalikuwa yashaanza kukata mawimbi. Baada ya kuagana na Vicky niliondoka maeneo yale kurudi home kulala.
*****

Asubuhi Mary alinipigia simu ili twende wote hospital bila kusahau vitu ambavyo tulikuwa tumenunua kwaajili ya mtoto. Kwa upande wangu nilimwambia kwasasa hakuna umuhimu wa kwenda na vitu kule hospital na tusubiri mpaka Jane aruhusiwe ndo tuvipeleke home.

Baada ya nusu saa nilimiti na Mary pale maeneo ya Rainbow filling station ya Oilcom na tukaelekea na safari ya kwenda hospital. Tangu ninatoka home shauku yangu kubwa ilikuwa ni kumwona mtoto wa marehemu Pama, hata kwa upande wa Mary naye ilikuwa ni vivyo hivyo.

Baada ya kuwasili pale tuliwakuta rafiki zake Jane wakiwa na wageni wengine na kwa upande mwingine alikuwa dada wa home Mbweni, ilibidi nimsogelee ili nimuulize kinachoendelea. Kwa upande wake alinambia hata yeye bado hajafanikiwa kumwona mtoto pamoja na Jane lakini kwa taarifa alizopata hali ya Jane ni nzuri, na kuhusu Vicky alisema amekwenda Mlimani City mara moja.

Nilifanya mazungumzo na Mzee Juma na alinambia jioni atakuwa Tanzania na break yake ya kwanza itakuwa hospital. Kwa upande wake alinipongeza na kunishukuru sana kwa kazi kubwa niliyofanya mpaka Jane kujifungua salama.

Kutokana na hili suala la Jane niliona kuna umuhimu wa kumpa taarifa Iryn japo alikuwa hanirudii wala kunitafuta nilijua ni hasira tu. Pia niliwaza sahivi ni mjamzito na asilimia kubwa wanawake wanakuwaga na hasira za kijinga plus kudeka.

Niliamua kumuandikia ujumbe “Baby mama I love you hata kama hutaki kupokea simu zangu still nakupenda na nimekumiss. I have good news, Jane kajifungua mtoto wa kiume. Have a nice studies.”

Baada ya kumtumia huu ujumbe haikuchukua dakika 10 Iryn alinipigia simu na mimi niliamua kwenda kuipokelea mbali.

MIMI: “Baby mama.”

IRYN: “Yes darling how are you?”

MIMI: “Just fine we haven’t spoken in days, because you won’t return my calls. Nashindwa hata kujua afya yako pamoja na mtoto.”

IRYN: “Because I didn't want to talk to you.”

MIMI: “I understand if you needed space, but communication is important to me in a relationship. Can we talk about what's been on your mind?"

IRYN: “No need because you don’t care about me.”

MIMI: “I'm sorry you feel that way. I do care about you, and I want to understand what's been bothering you. Can we discuss it?"

IRYN: “Insider please change your behavior, kumbuka nina mwanao tumboni, kama unashindwa kunijali na hali hii niliyonayo na unajua fika wewe ndo mtu pekee wa kuongea naye kipindi hiki.”

MIMI: “Baby sorry suala la Jane ndo lilikuwa lina ni keep busy but nashukuru Mungu kajifungua sana.”

IRYN: “Nimefurahi kusikia Jane kajifungua salama na nikupe hongera kwakuwa good watchdog.”

MIMI: “Hahahaaa kweli now I am happy but nasikitika nashindwa kuku-angalia wewe ambaye umebeba damu yangu.”

IRYN: “Usijali baby but everything will be cool. Navyokupigia simu huwa nakuwa nimekumiss, na mwanao pia anataka kusikia sauti yako but you don’t pickup.”

MIMI: “Sorry baby It won’t happen again.”

IRYN: “Baby mwezi huu ninatarajia kwenda France then navyorudi nitapitia Tanzania.”

MIMI: “Don’t tell me umesha m-miss Griezmann.”

IRYN: “No baby already told you kuna project naplan ya kuianza so nakwenda kwa hilo. You don’t trust me?”

MIMI: “I do trust you, wish you all the best tukionana utanambia ni project gani.”

IRYN: “Usijali, so I will send you some coins for Jane na msalimie sana mpe hongera.”

MIMI: “Sawa baby usiwe na wasiwasi.”

Baada ya kuagana na Iryn nilirudi kukaa pale waiting area na kwa upande mwingine Vicky alikuwa karudi tayari. Baada ya kuongea naye alinambia Jane yuko salama na mtoto ana afya kama zote. Hata hivyo Vicky alikuwa ananionea aibu tofauti na siku zote na ilibidi nimwambie ukweli,

MIMI: “Umeanza kuwa na aibu usinambie zoezi la jana ndo limesababisha haya yote.”

VICKY: “Insider umeanza sio kweli mimi niko sawa.”

MIMI: “I did cause nilikuwa na furaha so usi-take negatively.”

VICKY: “Wewe ndo unawasiwasi ila mimi niko sawa.

MIMI: “Hata hivyo una chemchem tamu mummy mpaka sasa nasikia kiu.”

Ilibidi Vicky acheke na mimi niliturn kwa Mary nikamwambia twende tutafute sehemu tupate hata kifungua kinywa na tukaondoka maeneo haya.

Tulikwenda Mlimani pale Downhill kwaajili ya kupata breakfast, mimi niliagiza soup, Mary aliagiza juice na sambusa. Wakati tunasubiri odda zetu nilisikia simu ikiita na alikuwa ni Prisca akipiga, lakini sikutaka kuipokea simu mbele ya Mary, hivyo nikaipotezea kwa lengo la kumcheki baadae.

Tuliendelea mazungumzo na Mary na story zilivyokolea niliwaza kumuuliza kuhusu life yake kwenye mahusiano.

MIMI: “Hivi Mary relationship status yako ipoje? maana sijawahi kukaa na wewe tukaongea hili.”

Baada ya kumwuliza hili swali Mary alinyamaza kwa muda na aliniangalia usoni,

MARY: “Insider it’s complicated na muda siko kwa mahusiano.”

MIMI: “Why complicated?

MARY: “I am single Insider na nina mwaka tayari.”

MIMI: “Mary na uzuri wote huu uliobarikiwa unakuaje single? au unachagua wanaume?”

MARY: “Nilikuwa kwenye mahusiano but mwanaume alikuwa hajatulia tukaachana, kuna mwanaume nilimpata chuo but sikuwa na feel kuwa naye tukaachana. Insider mimi mwanamme mpaka nimpende moyoni otherwise siwezi ndomana nimeamua kuishi hivi.”

MIMI: “Aisee so wewe hapo ni single, jimbo liko huru ni mwaka tayari, na shida zako unazimalizaje sasa au ndo unajipa raha mwenyewe?”

Mary alianza kucheka….

MARY: “Insider ushaanza matani yako, mimi nimeridhika hivihivi na naona kawaida japo nawish sana kuwa kwenye relationship.”

MIMI: “Mhhh I don’t trust you maybe unanificha ili nisijue privacy zako.”

MARY: “Ni kweli Insider chukua simu yangu hii kagua chats zangu uone kama nina mtu yoyote zaidi utaona wanaonitongoza.”

MIMI: “Hapana mimi sihitaji simu yako lakini nikupe pole ya kuwa single. Sikuwahi kujua kama league ni ngumu sana huku nje.”

MARY: “League ni ngumu sana, mapenzi hayana starring. Leo tunakwenda kwako nikamjue na mke wako na mtoto.”

MIMI: “Kwakuwa umeomba kuja kwangu nitakupa hii nafasi, lakini ungejaribu kuomba kuona picha za mke wangu nisingekuruhusu kuja kwangu.”

MARY: “Insider uliwahi majukumu hongera sana ndomana unaakili ya maisha.”

MIMI: “Suala la maisha ni akili ya mtu tu! Sidhani kama vina link na kuwahi kuoa.”

MARY: “Ni kweli, twende Palm village tukanunue vitu vingine vya mtoto, mpaka tunarudi Jane atakuwa katoka.”

Mary alifanya malipo na tuliondoka maeneo yale kwenda Palm village, kwa upande wangu Iryn alikuwa tayari kanitumia pesa kwenye account kwaajili ya shopping ya mtoto.

Baada ya kuwasili Palm village kuna duka tulikwenda kwanza na kuna dada tulimkuta pale, Mary alinitambulisha kama best yake na tukaendelea na shopping zetu. Tulinunua mazaga mengi sana kwaajili ya Jane na baada ya hapo tuliondoka kurudi hospital maana ilikuwa saa 6 mchana tayari.

Baada ya kuwasili pale hospital wakati niko getini nilishusha vioo vyote kwaajili ya ukaguzi kama utaratibu wa pale ulivyo, na niliona afande akisogea kuja usawa wangu.

AFANDE: “Unaelekea wapi na unashida gani?”

Baada ya afande kuongea tukaanza kuangaliana pale, nikaanza kumfananisha pale huyu mtu tulikutana wapi?. Kwa upande wake pia alikuwa akiload na akili yangu ilikuwa inanambia huyu jamaa tulikuwa wote jeshini si mgeni kwangu, na nilipata kumbukumbu huyu ni Bob.

“Bob”

“Insider?”

Ilibidi nipark gari pembeni kwanza na nikashuka ili tusalimiane vizuri na Bob. Ipo hivi Bob ni moja ya masela wangu wa jeshi enzi hizo Kigoma ilikuwa imepita miaka 7 toka tuachane Jeshini na hatukuwa na mawasiliano since tumalize mafunzo.

MIMI: “We ms*ng* kumbe ulibaki jeshi nilijua unazingua.”

BOB: “Daah kitambo sana na baada ya kutoka pale hata mawasiliano yakapotea. Mzee baba hivi yule dem wako Nana yuko wapi siku hizi?”

MIMI: “Hahahaha Nana kaolewa aseee ana watoto…”

Na muda huu Mary alitoka kwenye gari ili awahi na aliniaga anatangulia kwenda ndani.

BOB: “Oya mzee huyo manzi ni hatari shem nini?”

MIMI: “Shem wako huyo kuwa na heshima.”

Ilibidi nimwambie Bob hivyo ili asiombe namba ya simu ya Mary maana Bob ni fisi sana.

BOB: “Mzee una gari kali una dem mkali upo vizuri nazijua standard zako toka jeshi.”

MIMI: “Hahahaa mzee unanikumbushia maisha magumu yale.”

BOB: “Vipi una ishu gani huku hospital?

MIMI: “Kuna shem wangu amejifungua na niko hapa toka jana usiku.”

BOB: “Niachie namba zako tutaongea vizuri si unaona muda wa kazi huu.”

Tulibadilishana namba pale na mimi nikaondoka kuelekea hospital, kwa mbali nilimwona Jane akiwa amekaa pale reception na nilifurahi sana. Baada ya kuwasili pale nilimsalimia pamoja na kumpa hongera ya kujifungua salama na nilimuomba Mary anipe mtoto nimshike, ukweli nilikuwa nashauku sana ya kuiona sura yake.

Damn! mtoto alikuwa copyright na Pama na niliishia kutabasamu kwa bashasha zote pale. Wakati nimemshika mtoto nilikuwa namwangalia sana na hapa nijisikia amani sana moyoni na nilianza kumkumbuka Pama.

kwa upande mwingine macho yote yalikuwa kwangu, na mama ndo alikuwa wakwanza kuongea,

MAMA: “Insider unajua kubeba mtoto vizuri, yaani! Unawashinda wanawake wengi sana.”

VICKY: “The way ulivyo m-hold kama mwanao.”

MIMI: “Huyu ni mwanangu kabisa huoni anavyo nifurahia.”

Nilikaa chini kufanya mazungumzo na Jane pale na habari kubwa alinambia jumamosi anatarajia kuwa na ugeni mkubwa kutoka Tabora ni familia ya Pama akiwemo mama mkwe wake (Mama yake na Pama).

Saa 11 jioni mzee Juma naye aliwasili pale hospital pamoja na binti yake Camila, kabla ya yote aliomba kumwona mtoto kwanza. Mzee alifurahi sana kwakweli baada ya kumwona mtoto na alimbeba,

“Huyu ni Pama kabisa, rafiki yangu angekuwa hai angelifurahi sana kwa hii zawadi ambayo alikuwa anadream kwa muda mrefu sana.”

Kutokana na mazingira ya pale kuwa finyu na watu kuwa wengi nilitafuta sehemu ya tofauti na pale nikakaa. Baada ya nusu saa kupita niliona mama Jane akija usawa wangu na akakaa pembeni yangu upande wa kulia.

MAMA: “Mbona umejitenga mwanangu?”

MIMI: “Nimeona pale pamejaa sana na kila mtu kaja kumwona mgonjwa wake, nimeona nisogee hapa nisiwe mbali na mazingira.”

MAMA: “Insider mwanangu niseme ahsante sana kwa kijitoa kwako kwa kipindi chote, tangu Jane akiwa mjamzito mpaka anajifungua salama ni jitihada zako, mimi kama mama nasema ahsante sana na Mungu atakubariki.”

MIMI: “Mama usijali kuwa na amani nyinyi ni kama familia kwangu, nafanya kwaajili ya family na ushirikiano wetu utaendelea daima.”

MAMA: “Ahsante sana mwanangu, natamani sana Jane angekuwa na mme wake halali wa ndoa lakini aliangukia kwa mme wa mtu.”

Ilibidi niweke attention nzuri baada kusikia mama akitoa maneno kama haya,

MIMI: “Mama mimi naamini kila kitu ni mipango ya Mungu, pia huwezi jua ameepushwa na nini, huna haja ya kuwa na mawazo cha muhimu anaishi maisha ya furaha.”

MAMA: “Ndoto za sisi wazazi ni kuwaona mkiwa na ndoa zenu na sio kuiba mme wa mtu au mke wa mtu, ila naomba Mungu sana kwa Vicky lisitokee hili.”

MIMI: “Ina maana Jane alikuficha hili suala?”

MAMA: “Ndio alinificha na nimekuja kujua baada ya kuja Dar na kufika pale kwake, ndo kunambia ukweli wa kinachoendelea.”

MIMI: “Sio mbaya cha muhimu alipata mtu sahihi na aliyempenda maana kujengewa nyumba, kupewa urithi so kitu cha kawaida mama.”

MAMA: “Ni kweli mwanangu lakini hujui sisi wazazi huwa tunajisikiaje…”

Maongezi yetu yalikatika baada ya Vicky kuja na akakaa upande wangu wa kulia. Kwa jinsi nilivyo msoma mama nilijua tu atakuwa anahisi binti yake Vicky ananielewa afu ukizingatia na mimi ni mme wa mtu.

VICKY: “Mbona mmejificha huku?”

MIMI: “Kama tumejificha umetuonaje?”

VICKY: “Si nimewatafuta ndomana nikawapata.”

MAMA: “Wewe nawe ukimwona Insider tu unapagawa.”

VICKY: “Mama una wivu wewe sasa mimi nikipagawa kwa Insider kuna tatizo?, Mzee Juma anataka kuondoka anawaulizia.”

Tulindoka pale na baada ya kurudi eneo husika mzee Juma aliagana na kina Jane na tukaongozana na mzee mpaka parking. Wakati tuko njiani tulikuwa tunaongea masuala mbalimbali ya Jane lakini cha ajabu Cami binti yake alikuwa kimya utafikiri sio yeye.

Inshort mzee Juma alifurahi sana kwa hili tukio na kazi kubwa niliyoifanya na alinambia atakuwepo sana hapa mjini na atanipigia simu ili tuonane kwa maongezi zaidi, na baada ya maongezi aliingia kwenye gari wakaondoka.

Muda huu nilimpigia simu Asmah ili kujua kinachoendelea kule ofisini na alinambia kila kitu kipo sawa na hakuna tatizo lolote. Baada ya kumalizana na Asmah nilimpigia simu Lucy na yeye niliuliza maendeleo ya ofisi naye akanambia kila kitu kipo sawa kasoro atawahi kutoka kwenda kumpeleka mama yake hospital.

Nilirudi kumuaga Jane maana sikuona sababu ya kuendelea kubaki pale na kubwa Jane alinambia kesho ataruhusiwa kurudi nyumbani. Mary kwa upande wake alisema ataendelea kubaki na Jane mpaka jioni ndo atarudi home. Kwa upande mwingine watu mbalimbali walikuwa wakimiminika pale hospital kumwona Jane na wengi wao walikuwa wenye hadhi.

Kabla ya kurudi home nilipitia Mlimani city kununua mahitaji ya nyumbani na mazaga ya dogo na nilitumia muda mfupi sana kufanya shopping na nikarudi home. Baada ya kuwasili home niliwaona dada na Junior wanacheza kwenye bustani wanakimbia, ofcourse hawakuniona ila kwa upande wangu nilikuwa nasikia faraja sana na niliona kama nina deni kubwa sana kwa Elena.

“Elena amemlea Junior toka akiwa mtoto na mpaka sasa anakimbia ni dada ambaye tunampenda sana na ni moja ya familia yetu na anajitoa sana.”

Nilikuwa nikijisemea moyoni huku nikiendelea kuwaangalia wakicheza na baada ya Elena kuniona alimgeuza Junior upande wangu,

“Junior daddy yule..”

MIMI: “Elena hujambo mmeshindaje?”

ELENA: “Salama tu, pole na kazi kaka.”

MIMI: “Ahsante! Toka jumamosi hatujakaa tukazungumza hivi mmeshawasiliana kule home wanajua upo Dar?”

ELENA: “Ndio wanajua nipo huku hakuna tatizo.”

MIMI: “Hapo sawa, afu na wewe nikuulize kitu. Hivi unapenda kwenda shule? na kama ndio ungependa kusomea nini?”

ELENA: “Kwenda shule ndio napenda na nilipenda sana kusoma science.”

MIMI: “Kwani form 4 una ufaulu gani?”

ELENA: “Nina Division 3”

Nilishtuka kusikia hivi maana niliona ni utani huu..

MIMI: “Are you serious? Na ilikuaje ukashindwa kwenda shule wakati umefaulu?”

ELENA: “Nilikosa mtu wa kunisomesha maana bibi ndo hivyo hana uwezo na mamdogo wangu ndo hivyo naye. Toka uncle afariki kwangu kila kitu kilibadilika na niliamua kurudi kijijini kwa bibi na uncle ndo alikuwa ananisomesha. Baba nimekuja kumjua baada ya kurudi kwa bibi na niliambiwa alinitelekeza.

MIMI: “Pole sana na mjomba alifariki lini?”

ELENA: “Wakati nimemaliza form 4 na mimi kwa mama nilikuwa peke yangu.”

Ofcorse nilijisikia uchungu sana na nilianza kumwonea huruma Elena na hapo nikapata jibu kwanini alikuwa analia ile siku aliyo rudi. Sikutaka kuendelea kumuhoji sana, hivyo niliona ni busara nikaongea na mama J atakuwa anajua mengi kuhusu Elena.

MIMI: “Usijali shule utakwenda na ndoto zako zitatimia, naomba uniandikie shule uliyosoma pamoja na namba yako ya mtihani then utanipa baadae.”

ELENA: “Sawa kaka ahsante.”

Na mimi niliingia ndani kwenda kulala maana nilikuwa nimechoka sana na hizi purukushani.

*****
Asubuhi baada ya kuamka nilipiga simu kwa Vicky kuulizia maendeleo yake na nikaambiwa ni shwari, hivyo niliondoka kwenda kazini na break yangu ya kwanza ilikuwa kwa mama Janeth. Wakati nawasili pale kwake nilimwona mama pale nje akimwagilia maua yake na mimi nilisogea mpaka usawa wake tena kwa confidence ya hali ya juu.

Tulisalimiana na nilichukua mpira na nikaaendelea kumwagilia maua na story zingine zilikuwa zikiendelea. Mama aliulizia maendeleo ya mgonjwa na nilimpa taarifa kuwa amejifungua salama na alifurahi sana baada ya kuzisikia hizi taarifa. Tuliendelea kuongea kuhusu maendeleo ya training na mama alionesha kufurahishwa sana na mwenendo wa wanafunzi maana walionekana kumasta kwa haraka mafunzo.

Kwa upande mwingine mama alisema anasafari ya kwenda Arusha kwaajili ya kikao na atarudi baadae, hivyo aliniaga ili akajiandae maana gari ya kumchukua ilikuwa imeshawasili pale home.

Baada ya kumaliza kumwagilia maua sikutaka kuendelea kupoteza muda hapa, hivyo niliondoka kwenda ofisini ili nikaendelee na majukumu yangu na kubwa nilikuwa nataka kuwasiliana na dada wa clearing kuhusu progress ya mzigo.

Baada ya kuwasili ofisini nilikwenda moja kwa moja mpaka ndani na nilianza kuandaa payroll, hizi kazi alikuwaga anafanya Iryn baada ya kuondoka aliniachia mimi. Baada ya lisaa Asmah naye aliingia na alikuwa kawaka sana na niliishia kumtizama kwa macho ya kifisi mpaka anakaa kwenye kiti na alinisalimia.

MIMI: “Leo umewaka sana ulijua nitakuja ofisini?”

ASMAH: “Kwamba napendeza kwaajili yako?”

MIMI: “Sasa umependeza kwaajili ya nani? au una appointment badae?”

ASMAH: “Insider nikivaa hovyo unanisema nikipendeza tena shida, what do you want?”

MIMI: “I want to f** you”

ASMAH: “Eeh what? Never gonna happen again na sitaki shida.”

MIMI: “Asmah bwana wewe ni aina ya wale wanawake ambao ni sitaki nataka, the fact nishakuvua pichu na hili halitachange kwenye historia ya maisha yako.”

ASMAH: “Insider tuheshimiane please.”

Niliwaza pale Asmah yuko serious na kamind kweli na nilihisi kuna kitu kama hakipo sawa mbona sijamzoea kuwa hivi?. Mimi na yeye kutaniana ni kawaida sana tukiwa ofisini, lakini kwa leo hataki kabisa utani.

MIMI: “Badae tutakwenda wote Posta kufuatilia mzigo mummy, we endelea kuninunia.”

ASMAH: “Okay.”

Nilitoka nje kwenda kukaa kibarazani na muda huu nilikuwa nachat na Iryn na habari kubwa alinambia ameshongea na baba yake kuhusu ujauzito wake.

“So baby umemwambia hali halisi kuhusu mimi?”

“Yeah mzee hana shida as long as am happy, anasema mimi ni mtu mzima tayari hawezi ingilia maamuzi yangu.”

“Good news na vipi kuhusu Ethiopia?”

“Huko bado baby navyotoka France nitapitia pia.”

“Sawa baby I love you, takecare .”

“And you too darling ❤️”

Licha ya Iryn kunambia mzee hajaonesha sign yoyote lakini wasiwasi wangu ulikuwa ni kule Ethiopia maana niliona kama wananguvu sana. Pia nilikuwa nawaza hivi mama Janeth akija kujua itakuwaje? Na atalichukuliaje hili suala? maana mpaka sasa hajui chochote kinachoendelea. Na itakuwaje pale ambapo atakuja kujua nina mke na mtoto si itakuwa violence? niliwaza pale lakini majibu nilikuwa sipati na niliona kama nachanganyikiwa.

Mchana baada ya lunch niliondoka na Asmah kuelekea Posta kwaajili ya kuonana na dada wa clearing na lengo langu kubwa Asmah aanze kupata uzoefu taratibu. Wakati tuko barabarani kila mtu alikuwa kimya mpaka tunawasili Posta na nilipark gari mitaa ya Samora tukaelekea kwa dada.

Baada ya kumalizana na dada kuna mzigo ulikuwa upo tayari kutoka pale bandarin hivyo nikampigia simu dereva akaufate. Tulikwenda kuwatembelea baadhi ya wateja wetu wa jumla pale Posta na baada ya hapo tukaondoka kurudi ofisini, na lengo langu nimuache Asmah then mimi niende hospital maana muda ulikuwa umekwenda.

Baada ya kumdrop Asmah sikutaka kupoteza muda na nilianza safari ya kwenda Lugalo hospital. Baada ya kuwasili pale walikuwa wako tayari kwaajili ya kuondoka, kwa upande mwingine vitu vilikuwa ni vingi sana hivyo gari moja isingetosha. Mary alifanya kurequest uber ambayo ilibeba vitu na watu ambao walikuwa wamebakia na wanakwenda Mbweni.

Barabarani nilikuwa naendesha gari kwa mwendo wa taratibu sana tena kwa nidham ya hali ya juu. Na muda huu mama Janeth alinipigia simu na baada ya kuongea naye alikuwa anahitaji kuonana na mimi kuanzia saa 1 usiku ni urgent issue.

Baada ya kuwasili Mbweni kwa Jane nilizugazuga pale sebleni na ilivyofika saa 12 niliwaaga, nikaondoka kuelekea Masaki maana muda ulikuwa umekwenda tayari. Saa 1 za usiku ndo nilikuwa naingia pale ofisini na nilimpigia simu mama kumpa taarifa, akanambia tufanye saa 2 usiku.

Kwa upande mwingine pale ofisini Asmah alikuwa ameondoka tayari lakini huduma zingine zilikuwa zikiendelea maana ofisi huwa inafungwa saa 4 usiku. Muda huu nilikuwa napitia taarifa za mauzo na balance iliyobaki bank incase mama akiuliza niwe na figure za uhakika.

Baada ya dakika 15 hivi Hilda alikuja ofisini kwangu na alilala kwenye coach,

MIMI: “Hilda una Agenda gani huku na umetoka training hujachoka tu.”

HILDA: “Nilikuja kuchukua vitu vyangu sasa nilivyoona gari yako nikasema nikupe hi! na wewe mpaka sasa bado upo ofisini, manager unapiga sana kazi.”

MIMI: “Niliondoka muda sana ni mama aliyenirudisha huku nina appointment naye ndo ananiweka hapa.”

HILDA: “Mama tumepishana mimi natoka yeye anaingia.”

MIMI: “Bhasi soon atakuwa hapa, anyway umependeza sana HR wangu.”

HILDA: “Thank you, jumamosi tunamaliza training utatupeleka wapi?”

MIMI: “Chagua nikupeleke wapi?”

HILDA: “Nitakwambia.”

Mama Janeth alipiga simu kunipa taarifa ya kuonana na alisema niende Papparoti nitamkuta pale akinisubiri.

MIMI: “Hilda acha nikaonane na mama, unarudi home na usafiri gani?”

HILDA: “Kwani baada ya kuonana na mama kuna sehemu nyingine unakwenda?”

MIMI: “Hapana narudi home.”

HILDA: “Twende wote mimi nitabaki nakusubiri kwenye gari.”

MIMI: “Sawa no problem.”

Tuliondoka na uelekeo wa Papparoti na baada ya kuwasili pale niliiona gari ya mama ikiwa pale nje parking na mimi nilipark mbali kidogo na yeye. Baada ya kuingia ndani nilimwona mama amekaa pembeni kwenye kona na alikuwa kapendeza sana na mimi nilikwenda mpaka usawa wake tukasalimiana nikakaa.

MIMI: “Mama umependeza sana leo.”

Mama Janeth alifurahi sana kusikia hivi,

MAMA: “Thank you! agiza menu unayotaka hapo tuendelee na discussion.”

Na muda huu dada mrembo mhudumu alikuwa akiniangalia kwa tabasamu kali sana. Ukweli nilikuwa nafungua ile menu lakini hata sioni cha kuagiza, mle ndani naona vitu vya ajabu yaani uzungu mwingi. Mama alikuwa akiniangalia jinsi navyofungua ile menu na bila shaka alijua mimi ni mgeni na vile vitu, mwisho wa siku niliagiza tukaendelea na maongezi.

MIMI: “Mama nimekuja kusikiliza wito wako.”

MAMA: “Mwanangu mimi naondoka jumamosi asubuhi mimepata dharura nitakwenda South Africa.”

Baada ya kusikia anakwenda South moyo ulipiga PAAAH!! Nikajisemea huu msala tayari na lazima ataonana na Iryn na siri itafichuka, mambo yote yatakuwa hadharani. Sikutaka kuuliza kama anakwenda kikazi ila nlikuwa mnyonge ghafla,

MIMI: “Sawa mama haina shida kuna maagizo yoyote?”

MAMA: “Yes! akina Hilda wamenikosha sana nina Ipad zao nimewanunulia utawakabidhi jumamosi watakapomaliza mafunzo kama zawadi na nimetembea nazo kwa gari.”

MIMI: “Ahsante sana mama hii itawapa hamasa sana ya kufanya kazi kwa bidii.”

MAMA: “Nimepata recommendations nzuri kutoka kwa mwalimu wao ndomana nikawa inspired.”

Tuliendelea kuongea mambo mengine ya maisha pamoja na biashara na tuliondoka tukaongozana kwenda kwenye gari yake, akanikabidhi Ipad na na akaondoka.

Kwa upande mwingine Hilda alikuwa anasoma mchezo mzima pale parking mpaka narudi kwa gari na niliziweka zile ipad seat za nyuma na tukapotea maeneo yale.

HILDA: “Mhh mama Janeth kapendeza sana sijui ana appointment na nani? Wakati tunapishana hakuwa kavaa hivi. Insider naomba nikuulize, mama Janeth ana mume?”

MIMI: “Inawezekana ana appointment na kuhusu mume mwenyewe simjui ila si unaona ana watoto? Lazima atakuwa naye tu. Mbona unauliza hivyo kuna nini?”

HILDA: “Mama anaonekana mjanja sana afu kingine toka nianze kushinda pale sijawahi kumuona mwanaume ndomana nikawa na maswali.”

MIMI: “Umeanza kuchunguza maisha ya watu badala ya kusoma, nahisi ana mume atakuwa huko nje.”

HILDA: “Insider utaniacha hapo best bite ili ninunue chakula”

MIMI: “Sawa mummy usiwe na wasiwasi.”

*********
Jumamosi ilikuwa ni siku ya kufunga training na nilihitajika sana uwepo wangu maeneo yale pamoja na Asmah, lakini kabla ya kwenda Masaki niliplan niende kwanza Mbweni. Baada ya kupata breakfast niliweka vitu vyote tulivyonunua kwenye gari na niliondoka kwenda Mbweni na nilimpitia Mary tukaendelea na safari yetu.

Wakati tuko njiani mimi na Mary story huwa zinakuwa ni nyingi sana,

MARY: “Badae ratiba zako zikoje? Wish sana tutoke out.”

MIMI: “Ooh really? Ratiba zangu leo ziko taiti sana but nitajitahidi tutoke out Mary.”

MARY: “Why kila nikikuomba hili suala huwa hukosi sababu Insider? Why?

MIMI: “Sorry usichukulie hili jambo negatively, kule kazini kulikuwa na mafunzo yanaendelea na leo ndo tunafunga. Sijajua kama nitawahi kutoka ama laah! kama leo itashindikana bhasi kesho tutatoka mummy.”

Mary alinyamaza kimya dizaini kama alikuwa kamaindi na hakupenda majibu yangu na mimi niliendeleza kukimbizia gari mpaka tunafika kwa Jane.

Baada ya kufika kwa Jane tuliingia ndani lakini pale seblen palikuwa na watu wengi sana na Jane baada ya kuniona alikuja akanikumbatia. Lilikuwa ni tukio la ghafla sana ambalo liligusa hisia za watu mle ndani,

JANE: “Insider thank you for everything I know what you did.”

MIMI: “Shem usiwe na wasiwasi I promised you si unakumbuka?”

Na aliegeukia upande wa pili akamkumbatia Mary,

“Wow my beautiful Mary karibuni mkae, nmefurahi sana kuwaona.”

Tulikaa pale seblen na muda huu nilikuwa nimemshika mtoto, dogo alikuwa na Jina tayari ambalo Pama alikuwa kampa tumuite “Johnson”.

Kadri muda unavyokwenda wageni walizidi kuingia na kutoka ila idadi kubwa walikuwa wanaongezeka. Mimi ni antisocial sana mazingira ya kukaa seblen kwangu yalikuwa magumu hivyo niliamua kutoka nje.

Nilivyotoka nje nikapata wazo la kwenda kuosha gari maana ilikuwa chafu kwakweli na nilimuita Vicky tukasaidiana kutoa vitu kwa gari, nikaondoka kwenda car wash. Nyumbani kwa Jane na hio carwash hata sio mbali sana na ni moja ya carwash nzuri sana kwa kule Mbweni. Jamaa za pale Carwash wananijua vizuri na ni watani zangu sana huwa nakwenda sana kuosha gari. Hawa jamaa zangu tuwaite Mayele na Mkude, sababu ni mashabiki kindaki wa Simba na Yanga.

Wakati naingia maeneo yale walikuwa bado hawajanisoma maana nilikuwa na gari mpya, sasa wakati nashuka ndo Mkude ananitambua na alianza kuongea,

MKUDE: “Tajiri hata sikujua ndo wewe, hii chuma yako mpya ni hatari sana nilikuwa napiga hesabu ni tajiri gani anashuka muda huu, aiseee hongera sana. Oyaaa Mayele mara ya mwisho umeosha lini Audi?”

MAYELE: “Bro hizo gari ni adimu ikija kama hivi tunapata baraka ya hela.”

MKUDE: “Tajiri kakae pale usubiri chombo yako ipewe huduma, yule dada toka unafika alikuwa anakuangalia sana ufeli wewe tu kula kazi ile.”

MIMI: “Oyaa Mkude kazi ya wapi ile unaifahamu? naona iko makini sana.”

MKUDE: “Mteja wetu yule dada, oyaa ile ni pisi hatari ila kwa hizi pigo za leo haiwezi kukuchomolea nigga! na leo ushamaliza kazi.”

Ilibidi nicheke maana Mkude alikuwa ananipa baraka zote za kuongea na ile kazi na pembeni Mayele ndo alikuwa anaosha gari yake Crown. Ndani ya gari nilikuwa na pakiti ya korosho hivyo nilitoa nikasogea mpaka usawa wa dada na nikampa hi.

Mimi siogopagi mtu anayeitwa mwanamke, hawa watu niliwaogopaga enzi hizo ila sio kwasasa,

MIMI: “Dada mambo naitwa Insider nimeona upo alone nikasema nije nikupe kampani.” Na nikampa korosho.

DADA: “Ahsante sana nasubiri kigari changu kioshwe.”

MIMI: “Hongera sana afu sio kigari ni mashine hio AKA ndege ya chini.”

DADA: “Mhhh na wewe useme nini hio Audi sio poa wewe ndo una mashine.”

MIMI: “Kama umeweza kumiliki Crown hii ni kitu kidogo sana kwako, ukiamua tu ni chap tu. Unaishi hukuhuku Mbweni?”

DADA: “Yeah nakaa mpiji.”

MIMI: “Kwenye zile apartment za ghorofa jeupe unafika?”

DADA: “Nakaa kwenye hizo apartments unapajua kumbe.”?

Mbweni nilikuwa naijua vizuri sana kutokana na kufanya Uber, kwahiyo huwezi nipoteza wala kunidanganya mitaa ya kule.

MIMI: “Yeah kuna mshikaji wangu amekaa sana pale but alipata mchongo nje akahama.” Ilibidi nimdanganye.

DADA: “Na wewe ni mwenyeji wa huku?”

MIMI: “Yeah mimi nimekaa sana huku lakini kwasasa nimehamia Mbezi Beach huku ni kwa dada yangu, mara moja nakuja kumsalimia kama weekend hivi.”

Ndani ya muda mfupi story zilikuwa zimekolea sana na niliweza kujua anajishughulisha na kampuni ya masuala ya security za nyumbani na maofisini. Na yeye kwa upande wake alitaka kujua mimi najishughulisha na nini? Nilimwambia mimi ni manager, kampuni yetu inadeal na masuala ya urembo. Nilitoa simu mfukoni nikamwonesha bidhaa zetu kwa ujumla ni alipagawa sana na akaahidi kuja kupata huduma, na mimi nilimwambia nitampa offa ya discount.

Kwa upande mwingine gari yake ilikuwa ipo tayari hivyo kabla ya kuondoka nilimpa business card yangu ili anitafute na nikampa offa ya kulipia huduma ya car wash. Wakati dada anaondoka kwenda gari yake niliishia kula kwa macho tu na alinipungia mkono tena akaondoka.

Kwa upande mwingine Mkude alikuwa haamini kama case closed,

MKUDE: “Si nilikwambia? Toka unaingia dada alikuwa anakuzingatia sana.”

MAYELE: “Huyu dada yuko vizuri sana, Oyaa Mkude tutafute hela dem mpaka kamuaga tajiri kwa mara ya pili sio poa.”

MKUDE: “Mimi na level zangu pia za kuvimbia uninifananishe na wewe fala.”

MAYELE: “Bwege unakula kazi mbovu afu unajisifia hapa.”

Nilikuwa nacheka tu pale maana walikuwa wananifurahisha sana na maongezi yao, hawa jamaa ni washikaji sana lakini likijaga suala la Simba na Yanga huwa mpaka wanagombana.

Muda huu Mary alinipigia simu kunipa taarifa ya kwenda kula chakula cha mchana maana alihisi nimeondoka tayari na nilimwambia ndani ya dakika 10 nitakuwa around.

Baada ya kuwasili pale home Mary aliniandalia chakula na tukawa tunakula wote pale dining na mimi ndo nilikuwa wakwanza kumaliza. Kwa upande mwingine Vicky alikuwa jikoni anapika chakula cha Mbwa, hivyo nilikwenda kule kumpa hi. Wakati naingia mle jikoni Vicky alikuwa anajifanya hanioni sababu kulikuwa hakuna watu nilikwenda nika slap kalio lake na kibao PAAAH!

VICKY: “We insider ndo unafanya ujinga gani huu.”

MIMI: “Umeanza lini kuigiza bongo movie?”

VICKY: “Niache napikia mbwa wangu.”

MIMI: “Ukiondoka kwenda shule watakumiss sana.”

VICKY: “Insider kwanini hukunambia kama una mke na mtoto?”

MIMI: “Kulikuwa na umuhimu wowote wa wewe kujua hili?”

Vicky aliniangalia afu akanyamaza kimya maana hakutegemea hili jibu langu, na nilitoka nje kwenda kuangalia maendeleo ya mbwa maana hawa mbwa wa kizungu wanataka matunzo sana.

Kwa upande mwingine Asmah alikuwa kashaanza kunipigia simu na kuuliza nilipo maana kule walikuwa wanakaribia kumaliza mafunzo. Muda ulikuwa unasoma saa 10 za jioni hivyo nikaona hakuna sababu ya kuendelea kushinda kwa Jane. Niliingua ndani ili nimwage Jane lakini alikuwa chumbani kalala, pale seblen kulikuwa na wagenu hivyo nilimuaga Mary na nikamwambia atanisaidia kumwaga Jane akiamka, Mary naye alisisitiza sana nimpe taarifa mapema kama tunatoka out ama laah!.

Niliondoka kwenda Masaki na nilianza kupitia kwanza ofisini kuchukua zile ipad na nilielekea kwa mama. Baada ya kuwasili pale niliweza kuonana na Asmah na alikuwa kashika camera na nilimwomba anipige baadhi ya picha na zingine tulipiga pamoja.

Tulikuwa tumekaa pale seblen tukipiga story lakini alionekana bado hayuko sawa hivyo nikajisemea acha leo nimbembeleze na nifanye ujasusi wangu.

MIMI: “Asmah there’s something wrong with you, ni nini? Au Iryn kakuharibia mood?”

ASMAH: “Hamna niko sawa Insider wasiwasi wako tu.”

MIMI: “Sijakuzoea hivi au ulimindi that day?”

ASMAH: “Hamna Insider mimi niko ok.”

MIMI: “Kwahiyo ulikuwa unaninunia bila sababu serious?

ASMAH: “Something happened ndomana but niko sawa.”

MIMI: “Leo tunatoka out sawa?”

ASMAH: “Insider mbona sina ….”

Na mimi nilimkatisha,

MIMI: “Tunatoka out utake usitake.”

Ndani ya muda mfupi Asmah alikuwa karudi kwenye mood yake na akawa yule niliyemzoea kila siku. Na hapa nikajua huyu ananuna sababu hajapata dudu muda mrefu hivyo ana ny*ege sana ndomana anakuwa ananuna nuna bila sababu.

Saa 12 jioni mwalimu alikuwa kamaliza kutoa mafunzo na tulipiga picha za pamoja na story zingine zilikuwa zikiendelea. Baada ya zoezi la picha kuisha, tulipata chakula cha pamoja na nilifanya kuwapa zawadi zao kutoka kwa mama pamoja na zile pesa zao, ukweli walifurahi sana maana ilikuwa ni surprise.

Nilimpigia Iryn video call kupitia whatsapp na nilikuwa namwonesha jinsi ambavyo team yake inafuraha. Iryn alifurahi sana na alitupongeza mimi na Asmah kwa kusimamia zoezi hili toka mwanzo, pia aliomba awasalimie na kila mmoja alimsalimia Iryn. Baadae nilitoka nje tukawa tunaongea masuala mengine kuhusu sisi,

IRYN: “Baby kesho nitahamia kwangu ili hata ukija uwe free.”

MIMI: “Unaona utakuwa sawa nje na home?.”

IRYN: “Yeah niko na mdogo wangu hakuna kitakacho haribika baby.”

MIMI: “Sawa mummy but nimekumiss sana.”

IRYN: “Me too darling and when we meet you will fu** me crazy.”

MIMI: “Baby hivyo tutamuumiza mtoto, itakuwa slow but sure.”

IRYN: “Naku-miss sana darling nawish sana tuishi wote niwe nakuona muda wote kama hivi.”

MIMI: “Wewe soma kwanza mke wangu, pia naenjoy sana kuwa na baby mama msomi na mrembo kama wewe.”

IRYN: “Baby msalimie na mwanao, amemiss kusikia sauti ya baba yake.”

Iryn alishusha simu mpaka tumboni bhasi muda huu nilikuwa najisikia raha sana na nilikuwa na furaha sana.

“Baby atleast mwanao leo atalala vizuri maana aliku-miss.”

MIMI: “Hata mimi nime-enjoy baby nimefurahi sana I love you.”

IRYN: “Byee darling! takecare.”

Yalikuwa ni maongezi marefu sana na nilirudi ndani na muda huu nilikuta akina Hilda wanaplan sehemu ya kwenda usiku huu.

HILDA: “Insider bora umerudi tunakwenda wapi usiku huu? Kama pesa kila mtu kapata.”

MIMI: “Wavuvi au Samaki?”

REBBY: “Twendeni Uncle’s pana vibe pia.”

JULIETH: “Shoga angu usinambie ulipata sponsa wa kukupeleka huko.”

HILDA: “Bhasi tupige kura kati ya Samaki, Wavuvi na huko Uncle’s.”

REBBY: “SamakiSamaki tunakwenda sana guys leo tubadilishe location, Uncle’s pana vibe sana.”

Baada ya muda walikubaliana twende Uncle’s na hatukutaka kupoteza muda tukaondoka kwenda maeneo mapema sana. Baada ya kuwasili maeneo yale tulipata angle nzuri tukakaa na mhudumu alikuwa ameshakuja kutusikiliza pale.

MIMI: “Ninawapa offa ya Moet leo vingine juu yenu.”

ASMAH: “Insider mimi hio siwezi niagizie wine atleast.”

REBBY: “Ladies bossy wetu katupa offa tayari na sisi tujichange tuagize hennessy.”

MIMI: “Mummy wine lazima uhakikishe unaimaliza.”

ASMAH: “Wewe! sitaweza mwenzio maana unanijua vizuri.”

MIMI: “Alcohol yake ni ndogo sana haiwezi kukusumbua, mimi pia nipo una wasiwasi gani? Kama home nitakupeleka.”

ASMAH: “Wewe nidanganye tu.”

Mida ya saa 5 wakati pombe ndo zimekolea kwa upande mwingine simu yangu ilianza kuita na ile kucheki ni Iryn anapiga simu, kwanza ilibidi nishangae what the f*ck? Huyu mwanamke anataka nini tena?. Niliamua kuzipotezea simu zake maana kama kupokea ingenilazimu nitoke nje ukizingatia na mazingira sio mazuri hivyo ingeleta shida na alipiga mara tatu.

Baada ya dakika tatu kupita Asmah alinionesha simu na ilionesha Iryn akimpigia simu hapa sasa nikaanza kupatwa na wasiwasi why ampigie simu Asmah?. Asmah alianza kupatwa na wasiwasi pale na alitaka kutoka nje akapokee lakini nilimkatalia asijaribu kupokea aachane naye.

Nilijiuliza kwanini nikiwa na Asmah Iryn huwa anapiga simu? What’s really going on? Na nilihisi huenda Iryn ametu-hack.

Na haikuchukua muda nilipata ujumbe kutoka kwa Iryn uliosomeka kwenye screen,

“This is the kind of stupid game you're playing with Asmah. Well, we’ll see!.”
 
Back
Top Bottom