Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mzee pama HUYU HAPA
FB_IMG_1696926570065.jpg
 
Lkn pia maokoto yapo Sana mm napenda lengo la jamaa siyo pisi ile Ni ile maokoto anayopata kwa mrembo yule na Soon atanunuliwa gari

Hata mm mke namuacha kwa muda nifannye maokoto ya kutosha

Ndugu zangu maisha siyo mepesi Kama mnavyofikiria eti jamaa Hana msimamo ,msimamo mbele ya maokoto acheni hzo wazee
Haya ukapata mwenye maokoto zaid utaenda na mwingine utaenda utaacha wangapi kuwa mtumwa wa pesa pesa hazijawahi kutosha utachoka uje zikwa na kilo moja unusu
 
Insider amefanikiwa kitu kimoja kwa wafuatiliaji wa hii story yake. Kwa namna alivyomuelezea na kumsifia huyu Iryn, amefanya kila mmoja ajenge taswira na awe na "Iryn" wake kichwani". Ndiyo maana unaona picha mbalimbali za "kina Iryn" zikiwekwa humu maana hao wanaoweka hizi picha, huyo ndiyo Iryn wa vichwani mwao. Picha zingine mpaka mtu unazishangaa, lakini ndo hivyo tena mwngine ndiyo anaona ni bonge la demu, yaani pisi kali.
Yawezekana kabisa huyu Iryn wa Insider (ukizingatia aliwahi kukiri kuchelewa kuanza ama kuwajua wanawake) akawa ni mwanamke wa kawaida sana sana machoni pa wanaume wengi humu. Hii ni kwa sababu beauty is in the eyes of beholder.... Yes, "uzuri" ni relative, unayemwona wewe mzuri saaaana, wengine watamwona wa kawaida na wengine huenda wakamwona hakuna kitu kabisa. Ndiyo maana siku akiweka picha yake hapa, wapo ambao wataishia hapo hapo kufuatilia hii hadithi nzuri ya kusisimua.
Nyie ndo magreat thinker sasa unaandika kitu kinasomeka kinaeleweka mkuu
 
Mhhh yani watu wanavyotirirk humu mara Iryn hivi mara vile mipicha picha kibaoo...ur all obsessed...
 
Waabeshi ni wazuri by nature,

Mama ni muabeshi + Baba ni Mzungu unafikiri mtoto atakuwaje?

Hiyo combination ni hatari ogopa sana waabeshi ni wazuri sana asee, mwaka 2021 nilikwenda Ethiopia kikazi, nilipagawa sana. Hawa watu ni wazuri sana wamebarikiwa by nature,
Kabisa. Hivi napambania goli nipate mhabeshi mmoja wa kuringia mitaani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom