Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

1.Mary ....kwasababu amepevuka kuliko mdogo wake anajua kucheza kwa step,anajiheshimu na sio mlazimisha mambo ..
2.Iryn .... kwasababu amekupatia heshima sehemu mbalimbali mnapokuwa wote,anaendeleza misingi ya mama yake (Kusaidia wahitaji, biashara n.k),amekuboost maishani umejua mengi na hajikwezi (yuko normal)
3.Mama Janeth.....Ni mama mlezi wa iryn muaminifu , charming na hajikwezi......but pia yuko systematic na open katika mambo yake...
4.Familia yako(Baba,Mama na Mama Jr).....Japo hawajazunguzwa Sana ila kwa nafasi yake Mungu amewatumia kama njia kufika hapa ulipo....
5.Insider Man.....ww ndoo kama funga kazi kwanza nikupe kongole kwa kuleta uzi wako hapa JF umewekeza rasilimali muda,akili na gharama zingine story kutufikia .....Pia story yako imekuwa chachu ya baadhi ya watu wanaokata tamaa waongeze juhudi katika yale wanayoyafanya kupitia njia ya kufanya kazi kwa bidii na kuwa waaminifu (Uaminifu unalipa )

 
Kwa upande mwingine niliamua kupotea maeneo yale 😅😅😅

Kwa upande mwingine Iryn alikuwa anavutia kuliko wanawake wote na amebarikiwa vilivyo.......wakuu kama huna pesa itafute usilale.
 

Attachments

  • Screenshot_20230228-210626_Instagram.jpg
    Screenshot_20230228-210626_Instagram.jpg
    94 KB · Views: 23
Wakuu wakuu wakuu shauri zenu kama hamtafuti pesa wakuu, tafuteni chambi chambi watoto wazuri msiwaite mashemeji.

Haka katoto bhna unaeza kunywa chai bila sukari☕☕🍽🍽 yaani sio mweupe sana, siyo mweusi sana yaani chocolate fulani, macho yakuibia ibia, shape sasa kanabebeka flexible nyama nyingi tupa kule, afu sasa kanaonesha hakana shombo yaan kasafi....yaani kwa sie waungwana huwaga sana inaboa in izzo biznezz voice.🎵🎵🎵
 

Attachments

  • Screenshot_20230518-181934_Instagram.jpg
    Screenshot_20230518-181934_Instagram.jpg
    131.4 KB · Views: 20
Halafu inside mapenzi hayo ya Irene huwa nayependa ulaya ndio wako ivyo yaani mate kila mahala hata kwa daladala ,supamaketi. Ila ulizingua Ile kumcheki privacy zake mpaka dm za social networks. Ukipata demu mzungu ukifanya ivyo ndio utajua na una bahati angekuwekea mtego akakunasa ungekula ban mazima. Yaani kumuoa ama kuolewa sio kuwa ndio unammiliki mpaka anachopenda ama Uhuru. Yaani afrika wanajua mpenzi wako Ni mtumwa wako. Ile Ni just agreement ya wawili kuishi pamoja

Siku zote nakuchoraga
 
Dah INSiDER MAN kaitaja Gran Meliá kanikumbusha mbali, once nililala Meliá Arusha ,hizo hotel ni balaa buffet ,rooms kila kitu automated ,lights ,shower ,TV ni balaa. I still dream about the hotel

Melia wana hotel nzuri sana, nimewahi kulala Arusha na Dubai, dubai ME by Melia hatari san hiyo
 
Baby unajua nachukia sana hawa kenge wanavyokuangalia hivi?” Hii kauili ya kiboya sana asee mzee umepandisha sana mabega
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom