Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mzee upo vizuri sana , naiona Jetty Bar & Restaurant

Kwenye hizo swimming 2 zilizojitenga zenye miamvuli ya blue, swimming ya upande wa kulia tuliacha historia nzuri sana hapo
 
Insider anasema hatamani mama j arudi at the same time anamwambia iry hawezi kumwacha mama j ila wanaume hapana kwakwelii siwalewi mnataka nn kwenye haya maisha mkiambiwa mchague moja bado hamtaki mnataka vyote

na unakuaje kwenye mahusino na mtu unajua kabisa ana mtu wake?? na anampenda na hawez kumwacha kwasababu yako hata iwaje??? nikiwaz tu mupenzi ana mupenzi wake naumia hayaa na ndo niwe namjua na huyo mupenzi wake si ntazimia mm jamani
 
Portfolio diversification, sharing is caring
 
Tuseme hujawahi kucheat?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom