Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Na vipi kuhusu hali ya kuweweseka kwa Bwana Insider siku kadhaa baada ya kifo cha Mzee Pama....Usiku alikua anamuota sana na kuweweseka

Siku atatuambia "Ile nataka kumvua bra Iryn , ghafla nikasikia simu ikiita, kucheck alikua ni Mama J, nikakuta na ujumbe wapo Mloganzila Junior kameza kijiko" na utaamini
🤣🤣🤣jamaa mzee wa chenga
Story nyingi zile za vijiwe by kahawa kariakoo na posta
 
Kuna mtu humu ndani aliandika nilikuwa sina mipango ya maisha kama kufungua biashara nk, niseme sitaki kushare personal life yangu humu ndani ila nin miradi mingi ambayo nai run.

Kitu cha kwanza niliona kwanza ni busara wife akawa na miradi yake ili kupunguza dependecy kwangu, na hizi ni project ambazo tulizijadili na wife ilikua April, 2022.

View attachment 2768463
MCHANGANUO.

1. Biashara ya kwanza ilikuwa ni butchery ambapo wife angeuza Kuku, samaki, Mayai nknk, changamoto ilikuwa kuanza ni mahitaji mengi yangehitajika kuanzia frem, ukarabati, mashine nknk so cost zilikuwa kubwa sana, tukaipiga chini.

2. Biashara ya pili ilikuwa ni kuuza nguo za watoto na tulianza kufanya Research namna ya kupata suppliers wa mizigo nknk, mizigo ni China na Uturuki lakini kwa Uturuki kwa nguo za watoto wako vizuri. Ilibidi nimcheki jamaa yangu yuko Ulaya nilishandika baada ya kutoka kwenye ile taasisi yeye alikwenda Ulaya kusoma, sasa alikuwa ana connection za huko, niliomba anisaidie kufanya Research

View attachment 2768476

Changamoto ilikuwa ni mtaji wa kuagiza mzigo mkubwa, maana mzigo mdogo ungekata sana hata faida isingeonekana. Tukashauriana tuachane nayo tutadeal nayo baadae,

3. Biashara ya 3 ndo ambayo tunaifanya mpaka sasa na inafanya vizuri na ipo chini ya mchaga wangu mama J. Masuala ya fedha ofisi ipo Mbezi Beach pamoja na biashara ya Vinywaji ila zipo maeneo tofauti. Ukirefer post zangu za nyuma nilishawai kuja humu ndani kuomba connection za kreti na chupa za soda, ilikuwa kwaajili ya hii Biashara.

4. Biashara ya 4 na 2 Wife ana mpango wa kuja kuzifanya baadae akimaliza chuo.

Kuhusu mama J sina shida naye anafanya vizuri sana na ana akili ya biashara sana, anajitegemea kifedha ukiniuliza ni lini nimempa pesa za matumizi nimesahau. Matumizi ya home anatake care mwenyewe labda mimi niwe safari ndo nitakuja na Kuku, mafuta nknk ila pesa zitoagi.

Hata leo nikifa naamini Junior hata pata shida maana mama yake ni mchacharikaji atakuwa sehemu salama.

Mimi niliamua kuwekeza Dodoma ndo mpaka sasa na project zangu huku,

Mnaomdharau Mama J wangu kwenye hii story poleni sana, namuheshimu sana huyu mwanamke, anahudumia watoto church, anasoma bado anasimamia biashara na zinakwenda vizuri.

Leo hii baada ya kutoka church wife kanambia anataka December aaagize gari yake mwenyewe, nimefurahi sana baada ya kupata hizi taarifa.

Kiukweli am inspired na your story ever since niliamua kusoma mana sikuanza nayo ila kuna jambo nataka nikushauri

Em acha kutumia nguvu kuwaelezea watu haya mambo ipo ivi kwenye maisha kila mtuu anaamin anachotaka kuamini hata kama icho kitu ni uongo akiamua kuamin huwez badilisha mawazo yake

kwakweli focus tuu na story mambo ya mama J na biashara zake we achana nazo hazina maana hata mana haitabadilisha mitazamo ya watu

kwa mfano sawa mama J ni jembe and staff like that ila watu wanamwona anazingua kwasababu tu humkuli mara kwa mara yani anakubania mbyuthuthu ko unaenda kwa kina prisca kuifata icho kitu kimebadilisha mitazamo ya watu kuhusu mama J

Ko acha kutumia nguvu kuelezea ishu zako pasono wewe na mama j na hata ukituma hizo picha since watu hawataki kuamini ukweli wanafocus kuona story ni Chai

Kwakweli stick na upande wa mishe zako tuu acha kutumia nguvu kuwaaminisha kuwa watu hii story sio chai mana haijasaidia toka umeanza kutuma ushahidi tunaoburudika tunaburudika wanaoona story ni chai basi achana nao wanajaza repies tuu mtu unajua story imeendelea kumbe mambishano ya Chai
 
Basi nkaenda kumuomba msamaha iryn,katika kumbembeza nkajikuta namla mate huku namçhezea kiunoni.tukiwa tunaendelea iryn nkaona kalegea hajiwezi nkamnyanyua na kumpeleka kitandani,wote tukabaki kama tulivyozaliwa.ile naataka kuchomeka simu yangu ikaanza kuita kuangalia ni mzee mollel anapiga ikabidi nipokee,mzee anaomba pesa itumwe usiku huohuo ili kesho asubuhi na mapema kazi iendelee.nami sababu ni jambo la muhimu sikutaka kumuangusha mzee.nikavaa nguo na kumuaga iryn kisha nikaenda bank

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣Gahawa
 
Unajinyegelesha mwanaume alete story hadithi imeshaisha hapahapa mkuu
 
Kuna kile kipande anasema Yuko na iryn saa nane za usiku akapigiwa simu na mama j Mara akaenda hospital kwa mama wawili Rachel anaumwa au nilisoma vibaya
 
We jamaa mbona kama unazingua au imeisha tujue moja maana nnaona na wewe umekubali kuingia mtego wa wanaokuuliza maswali umeacha kuendelea unahangaika na matutusa wanaotaka kukutoa relini
 
Basi nkaenda kumuomba msamaha iryn,katika kumbembeza nkajikuta namla mate huku namçhezea kiunoni.tukiwa tunaendelea iryn nkaona kalegea hajiwezi nkamnyanyua na kumpeleka kitandani,wote tukabaki kama tulivyozaliwa.ile naataka kuchomeka simu yangu ikaanza kuita kuangalia ni mzee mollel anapiga ikabidi nipokee,mzee anaomba pesa itumwe usiku huohuo ili kesho asubuhi na mapema kazi iendelee.nami sababu ni jambo la muhimu sikutaka kumuangusha mzee.nikavaa nguo na kumuaga iryn kisha nikaenda bank

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha nimecheka kisenge, Maguire ni mwendo wa maboko tu.

Inaendelea......

Nikaona iryn anaiunia vizuri kiuno na mimi bila hiyana nikamvua bikini yake, sikuamini nilichokiona mbele yangu iryn alikuwa kama alivyozaliwa bila kuchelewa nikampanua vizuri mapaja yake na kushika mashine yangu ili nianze kumpelekea moto gafla nikasikia mbwa wanalia sana nje nikavaa suruali yangu na kwenda kuangalia kuna shida gani, wakati narudi nikamkuta iryn ameshavaa nguo zake huku amefura kwa hasira, sikutaka kumuongelesha kwa kuhofia kumuuzi zaidi nikachukua funguo ya gari na kwenda kwangu kulala.

ITAENDELEA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom