Jinsi baba alivyo ndivyo watoto walivyo

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Dec 13, 2009
3,398
319
Huu ni msemo wa wahenga, hasa unatufundisha kuwa
Motto hushabihiana tabia na baba yake ama mama yake

Raisi ndiye kiongozi mkuu kwa mfumo wa serikali ya Tanzania
Ikiwa ana watoto wengi kwanzia ngazi ya mawaziri
Hadi ngazi ya mwisho kiutendaji katika taasisi za umma
ambao ni wasaidizi wake katika swala zima la utekelezaji wa majukumu

Na wengi wao ni wezi wa maliza umma, je ina maana hiyo
Tabia wameshabihiana na baba yao? (Rais)
Maana ni vigumu kuwa jasiri na kumkanya mwanao au
Kumwadhibu, kwa tabia mbaya, ambazo hata mzazi unazo,

Wahenga walisema,...' tena mototo wa nyoka ni nyoka'
Tanzania nani wa kumwadhibu mwenzie kwa ufisadi kwa ujasiri???
 
Back
Top Bottom