mimi nna software za adobe zaidi ya 70 unaposema msaada adobe sjui hata nkusaidieje
may b he should b specific.ha ha ha,. Huyu hata mm cjamuelewa... But i think n ya ku edit pcha... Au pdf reader
halafu adobe reader x ipo inabidi iekwe kule store watu wapate nao ili kuconvert pdf to word kwa wale copy and pasters wa vyuoni
Nisaidie jinsi yakudownload adobe premiere kwenye sumu alafu niilushe kwenye pcmimi nna software za adobe zaidi ya 70 unaposema msaada adobe sjui hata nkusaidieje
Premiere ipi? Angalia pc yako ina uwezo wa kirun version ipi ya premiere.Nisaidie jinsi yakudownload adobe premiere kwenye sumu alafu niilushe kwenye pc
Cjui namba yakuangalia mkuu nielekeze alafu na namba ya kudownload piaPremiere ipi? Angalia pc yako ina uwezo wa kirun version ipi ya premiere.
Kwenye pc nenda my computer au this pc kisha right click chagua properties nisomee jina la cpu fullCjui namba yakuangalia mkuu nielekeze alafu na namba ya kudownload pia