Jina la timu ya taifa ya Tanzania ni "NONSENCE"

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Eti "TAIFA STARZ!" lina faida gani Ktk kujitangaza kimataifa.Kwanza jina lenyewe "kiswanglish".Hebu badilisheni bwana! Mfano kuna watu hawajui mlima kilimanjaro upo nchi gani,kwanini tusiipe timu yetu jina la huu mlima ili wajue upo tz!
 
Uko sahihi sana mkuu, ni jina la hovyo sana. Nadhani sababu mojawapo ya upuuzi huu ni lile dude linaloitwa muungano, maana kama ingeitwa kwa moja ya majina ya mbuga zetu au Kilimanjaro, wale jamaa wanaosubiri kuzama baharini wangeiweka kwenye kero za muungano! Haiingii akilini kuwa tuna mlima mrefu kuliko yote Afrika, ziwa kubwa kuliko yote Afrika, Ziwa lenye kina kirefu, mbuga kibao, creta nk lakini timu yetu ina jina la kiajabu hivi.
 
Halafu hii "nonsence" ndio imeharibu thread yako siku nyingine tumia lugha unayoimudu vizuri, wamekusikia watunzi wa jina wataunda kamati ya kutunga jina la timu.
 
Back
Top Bottom